HK
Zitto na JK hawafanani kbs, Zitto yupo mbele kilometa 1000 katika
vipengele vyote,kasoro umri tu
2012/9/28 <hkigwangalla@gmail.com>:
> Zitto ni mwanasiasa makini sana kama JK, hawa mimi siku zote nimekuwa
> nikiwa-admire! Ni watu wenye ndoto na wanajua watazifikiaje...rare qualities
> for rare personalities!
>
> Zitto songa mbele na ndoto yako, nyuma mwiko! Mimi naku-endorse! Nasubiri
> kusikia wengine nao ntawapima kwa sifa na uwezo wao
> HK.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> ________________________________
> From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 28 Sep 2012 08:19:17 +0100 (BST)
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>
> Reuben
>
> Zitto ni kijana makini sana anajua anachokisema na anajua mahali anapotaka
> kwenda. Anajua kupima upepo wa kisiasa kuliko wengi hasa maadui zake
> wanavyodhani. Hata ndani ya CHADEMA wengi tu hawamfikii katika uelewa wa
> mambo ya kijamii na kisiasa. Kazi ndiyo imeanza acha tuone itakuwaje. Kila
> mtu yuko huru kutoa mawazo yake. Nchi hii nzuri sana.
>
> K.E.M.S.
> ________________________________
> From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, 28 September 2012, 0:08
> Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>
> Comrades;
> Zitto kama mtanzania mwingine ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, binafsi
> sijaona plan B yake iwapo suala la umri katika katiba ijayo litabaki kuwa
> kikwazo kwake na pia kama CDM hawatampatia fursa hiyo atashughulika na nini?
>
> Reuben
>
> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Friday, September 28, 2012 9:46 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>
> Zitto kweli anaweza kuwa rais na anao uwezo na pia katiba ya nchi
> pamoja na chama chake cha CHADEMA vinatoa mwanya huo kama kweli ana
> nia ya dhati. Tatizo ninaloliona hapa ni mahali na namna anavyotangaza
> nia yake, anaonekana kama kuna kitu anakiogopa au kiko nyuma ya pazia
> (something fishy). Hii ni mara ya pili kumsikia akitangaza nia hiyo
> kwa utaratibu kama huo.
>
> Kwa vile chama chake kinao utaratibu wa kufuata ingekuwa vyema kama
> ataanza kutangaza nia hiyo kupitia chama chake ili apate kuungwa mkono
> na ngazi za chama kabla ya kuutangazia umma moja kwa moja? Sijui
> anafanya pilot test au anataka kupata nguvu ya umma ili Chadema
> wakikataa kumpitisha umma umpe support? Anaposema Ubunge basi ana
> maana gani kama kweli bado ana nia ya kuuendeleza upinzani? Anajua
> fika kwamba kwa nchi za dunia ya tatu kuking'oa chama tawala ni sawa
> na kuung'oa mbuyu, inakuwaje aone ni rahisi kugombea na kuupata huo
> urais na hivyo kuachana na mambo ya ubunge?
> Akumbuke hata huo ubunge si mwepesi kuupata maana uchaguzi uliopita
> (2010) alimzidi mpinzani wake kwa kura kidogo tu ukilinganisha na
> kipindi kilichopita(2005) alipokuwa amemzidi mpinzani wake kwa mbali
> sana.Sijui anapata wapi nguvu ya kujiamini kuupata huo urais na
> kuachana kabisa na ubunge wakati upepo wa siasa kwake haujakaa vizuri
> sana (the trend is not out of doubt).
>
> Mimi namshauri wakati anapopanga kugombea urais ni vyema akajiimarisha
> katika ngazi zote za chama toka ngazi ya chini hadi ya juu kabisa. Pia
> namshauri aachane na wazo la kuundoa ubunge akilini mwake maana
> amefanya kazi nzuri na bado tungependa aendelee kuwemo bungeni na
> kuuimarisha zaidi upinzani. Kitendo cha kusema ubunge basi kinaonyesha
> kama vile anajua fika anakubalika vya kutosha kwa wapiga kura na hivyo
> urais must. Ndugu zangu wa Kigoma jimbo hilooo limetangazwa anza
> kuchangamka mapema bahati yaweza kuwa yako tangaza nia mapema kama
> alivyofanya zitto kwenye nafasi ya urais.
>
> 2012/9/28 samson charles <samchaz307@gmail.com>:
>> naamini.............. anaweza
>>
>>
>> 2012/9/28 John George <georgejn2000@gmail.com>
>>>
>>>
>>> Nampa hongera Mh. Zitto kwa uamuzi huo. Anaweza kuwa Rais
>>>
>>> 2012/9/28 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>>>
>>>> "Nimefanya kazi kubwa katika kazi yangu ya ubunge, nimeleta mabadiliko
>>>> mengi kuanzia bungeni mpaka jimboni. Nadhani inatosha na hata
>>>> nikiongezewa
>>>> miaka mingine sitaweza kufanya yale yaliyonishinda katika kipindi cha
>>>> miaka
>>>> kumi. "Kama Mungu ataniweka mpaka mwaka 2015, sitagombea ubunge tena kwa
>>>> sababu kazi niliyofanya inatosha. Natangaza rasmi kuwa nitagombea urais
>>>> kupitia chama changu cha Chadema, bila kusababisha msuguano wowote na
>>>> sitaki
>>>> kuingia katika historia ya kurudisha nyuma harakati za upinzani kushika
>>>> dola," alisema Zitto.
>>>> http://wotepamoja.com/archives/7516#.UGUpr1ZTOfU.gmail
>>>>
>>>> --
>>>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>
>>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment