Saturday, 29 September 2012

RE: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Kigwangala unanipa mamlaka ambayo sijawahi kuwa nayo. Mimi sijawahi kuandaa sera ya madini ila nilialikwa kushiriki kwenye mkutano wa kujadili rasimu ya sera mpya ya madini. Tulitoa mawazo yetu lakini mwenye uamuzi wa mwisho ilikuwa ni serikali na nyie wabunge mlioenda kupitisha sheria mpya ya madini kwa sauti kubwa ya 'NDIYOOO' na vigelegele pale bungeni.
Nakuhakikishia, wazalendo wengi tupo huku nje kuliko ninyi ambao kila siku mnahangaikia madaraka, tena bila ya kuwa na malengo yoyote ya kuwasaidia wananchi.
Kama una uzalendo hasa, naomba uende hospitali ukatibu, utakuwa umetoa mchango muhimu zaidi, maana kule uliko sijaona mchango wako.
Ile pistol uliyoitumia vibaya, ukitaka kuiuza unijulishe. Kumiliki kitu kama hicho inahitajika nidhamu na mafunzo mazuri ya shabaha, sina uhakika kwenye shabaha utamzidi yule rafiki yako, wenzio wameanza kuzichezea wakiwa na miaka 3.
Bart
Sent from my Nokia phone
-----Original Message-----
From: hkigwangalla@gmail.com
Sent: 29/09/2012, 13:23
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Bart, sitaki kujibu hapa kuhusu Rais, hoja inahsu tangazo la kuwania urais alilolitoa mwana-CDM mwenzio anayeitwa ZZK! Mimi kama mtanzania nimemuunga mkono kwa maana namuona ni mtu makini, objective na nationalistic, siyo kama wewe (cf ushiriki wako kwenye kuandaa sera mbovu ya madini) uliyefilisika uzalendo! Najua hawezi kushinda let alone kupewa fursa ya kugombea na chama chake, kwa kuwa CDM hamuwezi kumpitisha kwa kuwa mko offended na uwezo wake! Mnamchukia kwa sbb za kitoto kabisa na hamuwezi kumfanya kitu kwa kuwa mnamuogopa (ni kigogo ndani ya chama chenu na nchi). Angejua angekihama hicho chama na kusogea kwenye chama kitakochokuwa tayari kuutambua uwezo wake na kumpa nafasi aanze safari kuelekea kuongoza nchi yetu.

Mi namuunga mkono kwa kuwa he is a dreamer, just like me! Nilimfananisha na JK kwa sbb kubwa moja tu kuwa alisimama kwny mstari wa ndoto yake mpaka akafanikiwa, namuona Zitto ana ndoto na yuko imara kuisimamia! Namtakia kila la kheir.

Regards,
HK!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 29 Sep 2012 00:20:36
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Nilishituka sana, niliposikia maneno ya Kigwangala kuwa 'Zitto ni kama Kikwete', nikaishiwa nguvu. Kama maneno ya Kigwangala ni sahihi, basi Zitto aondoe kabisa hilo wazo. Gharama tutakayoilipa katika miaka hii 10 tusingependa itokee tena katika jamii yetu. Wananchi wanataka mabadiliko ya kuwapa maisha yenye matumaini, mtu anashabikia tupate mwingine atakayekuwa kama JK.
 
Legacy kubwa atakayoiacha JK kwa Watanzania ni kuwaondolea utu wa kujua kuwa Watanzania ni binadamu kama binadamu wengine popote Duniani, wanaoweza, na wanaostahili kutumia rasilimali zao za akili, nguvu na asilia kujiletea maendeleo. Wengi sasa wanaamini kuwa nchi yetu na watu wake wote ni 'walemavu waishiwa' yaani vilema waliokosa viungo vyote vya kuweza kujitegema (tuna walemavu wa kawaida wanaojitegemea), na hivyo kustahili kurushiwa na walio wazima.
 
Hatutaki kabisa aje Rais wa kuendelea kuharibu akili za Watanzania waamini kuwa wao ni watu duni, wasioweza kufanya chochote bali kurushiwa na waliokamilika. Watanzania tumekuwa ombaomba vipofu, na Rais wetu ameshikilia fimbo kutuongoza sehemu ya kwenda kuomba. Tunataka Rais atakayekaa hapa nyumbani, ambaye kila siku anatafakari kwa kushirikiana na Watanzania, namna ya kuondokana na umaskini wa akili na ujasiri wa kutenda, hatutaki 'Rais Kiguu na Njia', anayependa kwenda kustajabia walivyotolea jasho watu wengine. Aende nje kwa sababu anamini ana jmchango katika jamii ya kimataifa, asiende kama mtu duni anayeenda kila siku kudondoshewa vya bure.
 
Bart

>________________________________
> From: Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Saturday, September 29, 2012 9:58 AM
>Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>
>
>Muganda kwa maneno yako hayo machache lakini yenye kugusa hisia za watu unadhani yataacha kumkuna huyo mwenzetu aliyetaka kuwania nafasi kwa gharama yoyote hata kama ni kutoa roho ya mtu, pale alipotoa bastola kumsimamisha mwenzeka asirudishe form. Watu wenye mawazo kama hao wanatambua kweli kwamba kunawenzao wanaostahili kuishi?
>
>
>
>
>
>________________________________
> From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Saturday, 29 September 2012, 7:40
>Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>
>
>Muganda, huo ni mtazamo wako na nasikitika kuona unajiunga na kundi la watu wavivu wa kufikiri ambao they think they could oust the government and the ruling party just by their hatred against the seating president with 78 perc majority in the house of parliament! They think winning an election is nothing more than rallies and gatherings
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>________________________________
>
>From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Fri, 28 Sep 2012 11:10:39 -0400
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>
>It is interesting that mbunge Kigwangalla compares Zitto to Kikwete. To me Kikwete is the problem in Tanzania.
>He wanted to be president so bad he forgot what he needed to do when he gets to Ikulu except travel.
>God forbid if Zitto is another Kikwete. We cannot afford another term of a Kikwete clone.
>em
>
>
>2012/9/28 <hkigwangalla@gmail.com>
>
>Zitto ni mwanasiasa makini sana kama JK, hawa mimi siku zote nimekuwa nikiwa-admire! Ni watu wenye ndoto na wanajua watazifikiaje...rare qualities for rare personalities!
>>
>>Zitto songa mbele na ndoto yako, nyuma mwiko! Mimi naku-endorse! Nasubiri kusikia wengine nao ntawapima kwa sifa na uwezo wao
>>HK.
>>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>>________________________________
>>
>>From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Fri, 28 Sep 2012 08:19:17 +0100 (BST)
>>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>>
>>
>>Reuben
>>
>>
>>Zitto ni kijana makini sana anajua anachokisema na anajua mahali anapotaka kwenda. Anajua kupima upepo wa kisiasa kuliko wengi hasa maadui zake wanavyodhani. Hata ndani ya CHADEMA wengi tu hawamfikii katika uelewa wa mambo ya kijamii na kisiasa. Kazi ndiyo imeanza acha tuone itakuwaje. Kila mtu yuko huru kutoa mawazo yake. Nchi hii nzuri sana.
>>
>>K.E.M.S.
>>
>>
>>________________________________
>> From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Friday, 28 September 2012, 0:08
>>Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>>
>>
>>Comrades;
>>Zitto kama mtanzania mwingine ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, binafsi sijaona plan B yake iwapo suala la umri  katika katiba ijayo litabaki kuwa kikwazo kwake na pia kama CDM hawatampatia fursa hiyo atashughulika na nini?
>> 
>>Reuben
>>
>>From: mngonge <mngonge@gmail.com>
>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>Sent: Friday, September 28, 2012 9:46 AM
>>>Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>>>
>>>Zitto kweli anaweza kuwa rais na anao uwezo na pia katiba ya nchi
>>>pamoja na chama chake cha CHADEMA vinatoa mwanya huo kama kweli ana
>>>nia ya dhati. Tatizo ninaloliona hapa ni mahali na namna anavyotangaza
>>>nia yake, anaonekana kama kuna kitu
anakiogopa au kiko nyuma ya pazia
>>>(something fishy). Hii ni mara ya pili kumsikia akitangaza nia hiyo
>>>kwa utaratibu kama huo.
>>>
>>>Kwa vile chama chake kinao utaratibu wa kufuata ingekuwa vyema kama
>>>ataanza kutangaza nia hiyo kupitia chama chake ili apate kuungwa mkono
>>>na ngazi za chama kabla ya kuutangazia umma moja kwa moja? Sijui
>>>anafanya pilot test au anataka kupata nguvu ya umma ili Chadema
>>>wakikataa kumpitisha umma umpe support? Anaposema Ubunge basi ana
>>>maana gani kama kweli bado ana nia ya kuuendeleza upinzani? Anajua
>>>fika kwamba  kwa nchi za dunia ya tatu kuking'oa chama tawala ni sawa
>>>na kuung'oa mbuyu, inakuwaje aone ni rahisi kugombea na kuupata huo
>>>urais na hivyo kuachana na mambo ya ubunge?
>>>Akumbuke hata huo ubunge si mwepesi kuupata maana uchaguzi uliopita
>>>(2010) alimzidi mpinzani wake kwa kura kidogo tu ukilinganisha na
>>>kipindi kilichopita(2005) alipokuwa amemzidi mpinzani wake kwa
mbali
>>>sana.Sijui anapata wapi nguvu ya kujiamini kuupata huo urais na
>>>kuachana kabisa na ubunge wakati upepo wa siasa kwake haujakaa vizuri
>>>sana (the trend is not out of doubt).
>>>
>>>Mimi namshauri wakati anapopanga kugombea urais ni vyema akajiimarisha
>>>katika ngazi zote za chama toka ngazi ya chini hadi ya juu kabisa. Pia
>>>namshauri aachane na wazo la kuundoa ubunge akilini mwake maana
>>>amefanya kazi nzuri na bado tungependa aendelee kuwemo bungeni na
>>>kuuimarisha zaidi upinzani. Kitendo cha kusema ubunge basi kinaonyesha
>>>kama vile anajua fika anakubalika vya kutosha kwa wapiga kura na hivyo
>>>urais must. Ndugu zangu wa Kigoma jimbo hilooo limetangazwa anza
>>>kuchangamka mapema bahati yaweza kuwa yako tangaza nia mapema kama
>>>alivyofanya zitto kwenye nafasi ya urais.
>>>
>>>2012/9/28 samson charles <samchaz307@gmail.com>:
>>>>
naamini.............. anaweza
>>>>
>>>>
>>>> 2012/9/28 John George <georgejn2000@gmail.com>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Nampa hongera Mh. Zitto kwa uamuzi huo. Anaweza kuwa Rais
>>>>>
>>>>> 2012/9/28 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>>>>>
>>>>>> "Nimefanya kazi kubwa katika kazi yangu ya ubunge, nimeleta mabadiliko
>>>>>> mengi kuanzia bungeni mpaka jimboni. Nadhani inatosha na hata nikiongezewa
>>>>>> miaka mingine sitaweza kufanya yale yaliyonishinda katika kipindi cha miaka
>>>>>> kumi. "Kama Mungu ataniweka mpaka mwaka 2015, sitagombea ubunge tena kwa
>>>>>> sababu kazi niliyofanya inatosha. Natangaza rasmi kuwa nitagombea
urais
>>>>>> kupitia chama changu cha Chadema, bila kusababisha
msuguano wowote na sitaki
>>>>>> kuingia katika historia ya kurudisha nyuma harakati za upinzani kushika
>>>>>> dola," alisema Zitto.
>>>>>> http://wotepamoja.com/archives/7516#.UGUpr1ZTOfU.gmail
>>>>>>
>>>>>> --
>>>>>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>>>>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>>>>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>
Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>>>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>>>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility for any legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>
>>>>>
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
be
>>>> presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>
>>>>
>>>
>>>--
>>>Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>>Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>>Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
--
>>Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment