Saturday, 29 September 2012

Re: [wanabidii] CHADEMA YAPOTEZA UMEYA JIJI LA MWANZA

Kilichotokea hapa Nyamagana Mwanza ni sawa na wala sioni la ajabu. CDM ni chama kinachofuata utaratibu. Uongozi wa juu uligundua kuwa ndani ya msafara wa Mamba kulikuwemo kenge wawili. Kenge hao mmoja ni  alikuwa kada wa CCM kwa muda mrefu, alivyoenguliwa kwenye kula za maoni mwaka 2010 ndo akakimbilia CDM, akapokelewa na kugombea kwa tiketi ya CDM, akaupata udiwani na kuendelea kutafuta kile alichokuwa akikitafuta binafsi, (kwa maslahi yake na si kwa maslahi wa umma kama sera ya CDM ilivyotarajia), mwingine  simlaumu sana - ni utoto na tamaa ya fedha ambazo labda hakuwahi kuzipata wala kuwaza kuzipata; hivyo kama tujuavyo kuwa CCM huwa wanatumia fedha kurubuni watu na kupoteza mwelekeo wa vyama vingine - ndo lililofanyika kwa huyo kijana. 
CUF - ni ukweli usiopingika kwamba hao ni CCM B; hivyo wao kuungana na CCM ili wapatiwe chochote ilikuwa dhahili. Wanamwanza / Nyamagana kama inavyofahamika kwa miaka mingi ni watu wenye msimamo, sitegemei meya mpya kama atafanya madudu na  akaendelea kukalia kiti hicho, nguvu ya Umma makao yake makuu ni Kanda ya ziwa, na makao makuu ya kanda ya Ziwa ni Mwanza, hapa ndo kuna mkusanyiko wa karibia wakazi wote wa kanda hii. Na zaidi Mbunge wa Nyamagana (Mhe. Wenje)  sina uhakika kama anaweza kuyumbishwa na kawimbi haka kadogo kwa kuwa nyuma yake ana madiwani na wananchi na sio fedha kama ilivyo kwa CCM. 
Hapa CCM wakijifanya kuelekeza nguvu ya vyombo vya dola kuwavuruga wananchi wa jiji la Mwanza watakuwa kama wamechokoza nyuki. Umoja wa nyuki naamini hakuna asiyeufahamu, wanamwanza wako tayari kwa lolote lile kutetea haki zao.
Ninavyomfahamu Meya mpya ni mtu mstaarabu - kwa akili yake anaweza kufanya yaliyo mema na wananchi wakafurahia uongozi wake; ila sasa nyuma yake kuna mafisadi na watu waroho wasioridhika na walichonacho. Wanatamani kuwanyanganya maskini walichonacho, na ikitokea akawakumbatia  hao na kuwabeza wananchi kwa ujumla ambao ndo nguvu kuu yatatokea ya kutokea na hapo ndo CCM itakapokuwa imekufa moja kwa moja ndani ya Mwanza.

Mt. B;
Bukoba Municipal,
Tanzania - East Africa.

From: MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 28, 2012 4:28 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA YAPOTEZA UMEYA JIJI LA MWANZA

kwa hiyo ina maana hizo kura 11 2 ni za CUF si ndio maana yake

2012/9/28 Dismas Anthony <anthonydismas1@gmail.com>
Ezekiel
Hakuna suala la watu wa kanda ya ziwa hapa, kama chdema wana madiwani 8, ccm 7 na CUF 2, unategemea chadema ashinde? sio rahisi na ni kama haiwezekani kabisa, kutaka kugeneralize mambo ni siasa tu hizo. kama kweli ni kanda ya Ziwa hawataki mbona basi hao chadema wana madiwani wengi tu. K

2012/9/28 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>

CHADEMA kwa CUF imeponzwa na vile walivyofanyiwa fujo ya kupopolewa mawe na vijana wao. Wanajua hili fika kama wanasiasa.

Hata hivyo watu wa kanda ya ziwa wana misimamo yao wakisema hapana waamaanissha hapana na si vinginevyo. Ukiwafahamu vizuri utawafurahia vinginevyo utaishia kuwalaumu kama hivi

------------------------------
On Fri, Sep 28, 2012 10:46 BST Monica Malle wrote:

>
>
>Kwa mtaji huo Chadema hawapaswi kushangaa ushindi kwa ThiThim ulikuwa wazi. wangesoma tuu alama za nyakati
>
>
>> Date: Fri, 28 Sep 2012 12:40:33 +0300
>> Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA YAPOTEZA UMEYA JIJI LA MWANZA
>> From: mngonge@gmail.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Mbona CUF na CCM lao moja?
>>
>> 2012/9/28 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>:
>> > CUF ndio waliokuwa wameshika Turufu ya Chadema. kwa vile Chadema hawapendi
>> > ushirikiano na vyama vingine vya upinzani
>> > matokeo yake ndio hayo.!!!!!
>> >
>> > Date: Fri, 28 Sep 2012 12:25:27 +0300
>> >
>> > Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA YAPOTEZA UMEYA JIJI LA MWANZA
>> > From: mngonge@gmail.com
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> >
>> > Ukikumbuka kilichotokea Kigoma, Arusha na sasa Mwanza hakuna jipya
>> > tofauti na mbinu zetu zile zile
>> >
>> > 2012/9/28 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>:
>> > > Sina uhakika lakini kwa hali ya siasa iliyokuwepo sitashangaa ikawa
>> > > hivyo
>> > >
>> > > 2012/9/28 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:
>> > > Paul,
>> > >
>> > > Ni kweli jambo hili?
>> > >
>> > >
>> > > K.E.M.S.
>> > > ________________________________
>> > > From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>> > > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > > Sent: Friday, 28 September 2012, 1:47
>> > > Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA YAPOTEZA UMEYA JIJI LA MWANZA
>> > >
>> > > Sawa, watapata mianya ya kuchezea rasilimali za jiji sasa
>> > >
>> > > 2012/9/28 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:
>> > >> Umeya wa Jiji la Mwanza uliokua unashikiliwa na CHADEMA sasa umerudi
>> > >> CCM baada ya kushinda kwa kura 11 kati ya 8 za CHADEMA .
>> > >>
>> > >> --
>> > >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> > >>
>> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > >> ukishatuma
>> > >>
>> > >> Disclaimer:
>> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > >> legal
>> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > >> must be
>> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > >> agree to
>> > >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > >>
>> > >>
>> > >
>> > > --
>> > > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> > >
>> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > > ukishatuma
>> > >
>> > > Disclaimer:
>> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > > legal
>> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > > must be
>> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > > agree to
>> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>> > > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > >
>> > >
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment