CCM acheni kutumia Malori kusafirisha Wanachama wenu. Licha ya kuvunja sheria za Barabara lakini pia mnahatarisha maisha ya wanachama, wapenzi na wafuasi wenu ambao mbali ya kuwa na sifa hizo ni Rasilimali watu ya Taifa hili.
Kada mmoja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekufa papo hapo na wengine zaidi ya 85 wamejeruhiwa vibaya baada ya lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T420 APM walilokuwa wakisafiria kwenda kwenye mkutano wa uchaguzi wilayani Chunya kupinduka.
http://wotepamoja.com/archives/7691#.UGgiuOZWuBc.gmail --
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment