Najua sio rahisi kuamini haraka haraka kwa hiki nitacho andika, lakini hii ndio research yangu juu ya RUPIA hela ya kijerumani ya wakati huo,
huwenda ume sikia mengi juu ya jambo hili la rupia lakini naomba nichangie machache niliiyoyakusanya kwa watu ambao wanajua vizuri what
rupia is? ifahamike sio kila rupia ina maajabu zingine ni pesa ya kawaida kama pesa zingine duniani, Mjerumani alitumia technologia ambayo still hadi leo
imekuwa siri yao, kwa mfano anataka kuja Africa na milioni themanini, je kiusalama atabebaje fedha yote hiyo, kipindi hicho hapakuwa na benk, walichokifanya
ni kuweka pesa yote katika coin moja(rupia)kwa namna wanayoijua wao, then hubeba hiyo coin kiurahisi sana, wakifika Africa na kuna kitu anataka kununua
walikuwa wanazunguka nyuma ya nyumba na kurudi na hela, walichokifanya na kutoa hiyo pesa ilikuwa siri yao hadi leo, sasa zipo rupia ambazo pesa ilishatumika yote hizo
hazina miujiza yoyote kwani inaonekana kulikuwa na mfumo wa kima jini, na zile ambazo zilikuwa bado zina hela kuzitoa hela hiyo kwa mtu mwingine ambae sio aliweka mathalan labda muafrica mbinde, kazi ipo, na ndiipo hapo hadi matapeli wakaingilia, kwa nini inakitu kama password, jambo hili linataka kufanana na M-pesa, Tgopesana zinginezo kasoro tu
mifumo ya sasa imekaa kisayansi zaidi, mtu anweka milioni moja mbili n.k kwenye line yake ya simu the same does to lupia, kwenye line no one can use your money unless upo prompt
to password ya the owner.
ni mtazamo jamani msi ni attack

0 comments:
Post a Comment