Saturday, 29 September 2012

Re: [wanabidii] NAPE: Dk. Slaa Ameikimbia Mwanza Mapema - Mwanzo

Mkuu MM,
Nape ni kiongozi wa ajabu sana, licha ya kuwa mwanasiasa hopeless lakini hana nidhamu kabisa kwa viongozi ambao si wa rika yake. Siasa ni mfumo wa maisha mtu anapofikia hatua ya kutamka maneno ya hovyo kwa mtu kama Slaa ambaye licha ya kuwa far ahead him pilitically bado ni mkubwa sana kiumri kwa Nape inasikitisha sana!

Pamoja na "uhuni" walioufanya huko Mwanza siku ya jana hakukuwa na sababu yoyote kutumia lugha zilizojaa kejeli namna hii!

Tarehe 29 Septemba 2012 9:59 asubuhi, Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> aliandika:
Kinacho nisikitisha kwa Nape muda wote anapo jadili maswala ya kisiasa hasa yanayo mhusisha Dr Slaa huwa anapenda kumfanyia character assassination! Hapendi kujadili hoja au kuibua hoja bila ku attack personality yake, huu ni uwenda wazimu kwa mwana siasa kijana kama yeye. Character assassination ni miongoni mwa uovu wa kama uovu mwingine kwa mtu yoyote.

Naamini mdhaifu wa hoja huleta vioja, au kutanguliza vioja ili apate hoja, na akifanikiwa kuipata hoja huijenga kwa nguvu zenye misuli mufulisi ili kupumbaza wasio ona nguvu ya hoja. Hatafanikiwa maana wengi wamesha anza kufikiri kwa vichwa badala ya matumbo kama yeye!
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Date: Sat, 29 Sep 2012 09:38:15 +0100
Subject: Re: [wanabidii] NAPE: Dk. Slaa Ameikimbia Mwanza Mapema - Mwanzo

Mkuu FM,
Naona Bwana Nape katumia maneno makali sana hapo! Ila mchezo walioucheza Mwanza umefahamika!

Inakera sana!

Tarehe 29 Septemba 2012 9:20 asubuhi, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> aliandika:
Mgema ukimsifia saaaaaaaaaaaaaaaaana.........................!!

Felix

2012/9/29 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>

"Babu (akiwa na maana ya Dk Slaa) alisema CCM Mwanza itaondoka madarakani, imejidhihirisha wazi katika uchaguzi wa leo kuwa CCM bado ina nguvu na ni Chama kikongwe kisiasa, vingine vinaiga."

"Chadema wameona mavuno ya ubabe wao japo kura za CCM ni ndogo…., Babu ajiulize kwa nini ameshindwa kwenye uchaguzi huo wa Meya na Naibu Meya." Alisem Nape na kuongeza kwamba, kutokana na dalili za kushindwa zilizoonekana mapema, ndiyo maana Dk Slaa alikimbia Mwanza mapema.

http://wotepamoja.com/archives/7581#.UGajzcmlWlg.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment