Muhingo, umeandika vizuri, umenifurahisha, siyo kwa hoja, bali kwa lugha, style na ulivyoyapanga vizuri maneno!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 28 Sep 2012 13:21:42 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!
Dr. Sidhani kama namchukia Zitto. Nampenda sana ila nalinganisha ninavyomuona na lengo lake kutaka kuliongoza Taifa la Tanzania akiwa Rais. Kuna wakati naona kama watu fulani wanaona kuongoza nchi ni kama kuendesha trakta kulima akikosea jembe likakatika hasara inaishia aliposimama-shambani. Kama unampenda kama ninavyoona wengine wanampenda hakuna shida kupiga naye picha. Nimesikitika sana kuona unaenguliwa kugombea ujumbe wa NEC. Sijasema ngoja niseme. Sidhani kama nakupenda ndiyo maana nilitaka ugombee. ila nalipenda taifa ndiyo maana nilitaka ugombee ili uende utumike katika ngazi hiyo. Kama ni kwa msingi huo unam-admire Zitto nitapenda unieleze kwa nini. Ukitaka nitakueleza kwa nini nilipenda ugombee na upate ujumbe wa NEC (ya CCM). Si kwa sababu sikuchukii La. Ni kweli sikuchukii lakini wako wengi siwachukii nisingependa wapendekezwe kugombea-na wamependekezwa na huenda watachaguliwa kuwa wajumbe wa NEC maskini.
--- On Fri, 9/28/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!! To: wanabidii@googlegroups.com Date: Friday, September 28, 2012, 1:09 PM
Eliza, inakuwa ngumu sana kwa mimi kutokuamini kama unamchukia Zitto. Let him be, I see nothing in him than a man with a dream! I am a dreamer too and I have learnt over my lifetym to love, respect and cherish such fellow men, please do you also Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Fri, 28 Sep 2012 12:29:14 -0700 (PDT) To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!
Nimeipokea kisawasawa. Mimi nkokotoa tangu huyu jamaa apande chati baada ya kuadhibiwa na Bunge kwa sababu alifaya kosa kweli lakini kwa kuwa watu walishaichoka serikali wakaamua kumshangila mhalifu. Afterall alifanya kosa akitetea UKWELI. Hii ilimpandisha chati kiasi CHADEMA nikafikiri lazima iende naye kwa tahadhari maana watu wamemshangilia kama waJerumani walivyombeba Hilrer. Mtu aliyemuelewa Hitre mapema angekuwa na busara kunyamaza kuliko kusema. Zito ni mbunge mzuri nami naamini sitashangaa asipopewa wizara 2015 kama CHADEMA itashinda. N awakitaka kumpa lazima wapate ushauri kutoka TAKUKURU.
--- On Fri, 9/28/12, gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com> wrote: From: gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!! To: wanabidii@googlegroups.com Date: Friday, September 28, 2012, 12:18 PM
Elisa Pokea Saluti yangu nikiwa mguu sawa Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Fri, 28 Sep 2012 12:15:35 -0700 (PDT) To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!
Nanukuu kutoka Zanzibar Kwetu '------Tuliwahi kusema huko nyuma na tunasema tena na leo pia, kuwa…"Chadema inabidi iyakabili kijitu kizima matatizo ya huyu kijana, bila ya Zitto kudhibiti mdomo wake, chama ambacho kinategemewa na wengi to form the next government in the country will slowly and surely bleed again to an ignominous defeat in 2015!". Kwa muda mrefu mimi naamini CHADEMA wanajitahidi kujitenga ka tabia za Zitto. Kila mtu anajua aliyeropoka ni Zitto si CHADEMA. Angekuwa Slaa, Mbowe hata Tundu Lisu ingekuwa rahisi kufikiri CHADEMA imeropoka. Ila kwa Zitto, labda zamani zile. Nafikiri kwa muda mrefu hisia kuwa Zitto kanunuliwa zinaweza kuwa zimewaingia 'wapangaji' wa CHADEMA. Na kama bado nitafikiri basi sio chama makini. Kama tayari basi ni kweli pia wanakwenda naye kwa tahadhari wakijitofautisha na upuuzi anaoweza kuufanya. Yesu aliwazuia wahudumu wa shamba kuwa magugu mengine wasiyang'oe yasije yakang'oka na Ngano. Sijasema Zito ni Gugu. Atakayesema sitapinga.
--- On Fri, 9/28/12, John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:
From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> Subject: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!! To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Friday, September 28, 2012, 11:18 AM
"Ni kweli kuwa hakuna makosa kwa mwanachama wa chama chochote kile kutangaza nia ya kugombea
nafasi yoyote ya chama hata ya urais, lakini unapotangaza kuwa na ubunge pia hutogombea wakati hujui kama chama chako kitakuchagua wewe au vipi, inatia shaka sana kuwa kuna kitu nyuma ya pazia".
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
| -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
| -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment