Saturday, 29 September 2012

[wanabidii] RE: [TPN] Nashukuru nimechaguliwa mjumbe wa NEC

Ndugu yangu Magesa,

Hongera sana kwa hatua kubwa sana uliofikia. Ni jambo la kujivunia kumpata mtu kama wewe kwenye chombo muhimu kama NEC kwa mchango wako ni dhahiri na najua hutabadilika utakapokuwa kuwa huko ndani bali objectively utalisaidia Taifa letu kusonga mbele kimaendeleo.

Hongera tena na namshukuru Mungu kupata nafasi ya mwanzo kukupongera.

Mungu aendelee kukubariki.



Yona Samo
Procurement Analyst
6th Floor,  International House
Shaaban Robert St./Garden Avenue,
P.O.Box 9182, Dar es Salaam
TANZANIA

Direct:+255 22 2112576
Fax:+255 22 2111168
Mobile: +255 784 606464







-----Original Message-----
From: wanataaluma@googlegroups.com [mailto:wanataaluma@googlegroups.com] On Behalf Of Phares Magesa
Sent: Sunday, September 30, 2012 6:09 AM
To: wanabidii@googlegroups.com ; mabadilikotanzania@googlegroups.com ; wanataaluma@googlegroups.com
Subject: [TPN] Nashukuru nimechaguliwa mjumbe wa NEC

Nashukuru Mungu nimechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kupitia Temeke.
Uchaguzi umemalizika alfajiri ya leo, nimepata kura 623 na aliyefuatia amepata 580 ndg. Issa Mangungu, nawashukuru wote kwa sala na dua zenu.

Phares Magesa.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment