Tuesday, 18 October 2016

[wanabidii] Namaingo Kunufaisha Wananchi 3,000 Ufugaji Kuku Mkoani Lindi

Namaingo Kunufaisha Wananchi 3,000 Ufugaji Kuku Mkoani Lindi


[caption id="attachment_75769" align="alignnone" width="750"]<img class="size-full wp-image-75769" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/10/IMG_1430.jpg" alt="Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo. " width="750" height="600" /> Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_75767" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-75767" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/10/IMG_1422.jpg" alt="Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo. " width="800" height="479" /> Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo.[/caption]

&nbsp;

&nbsp;

<strong>KAMPUNI</strong> ya Namaingo Business Agency (T) LTD, mwezi ujao inazindua mradi mkubwa wa ufugaji kuku chotara wenye thamani ya sh. bilioni 30 utakaowawezesha wananchi 3000 wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ubwa Ibrahim  amesema mradi huo mkubwa na wa aina yake umeanza kujengwa Lindi Vijijini.

Amesema kuwa watakaonufaika ni wananchi wa mikoa hiyo watakao timiza taratibu zote, ambapo kila mmoja atakopeshwa na benki sh. mil. 10 ambazo zitakwenda moja kwa moja kwenye mradi wa kuku utakaokuwa unaendeshwa na watalaamu kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Anasema kuwa mradi mzima utasimamiwa na JKT kwa ushirikiano na Kampuni ya Namaingo ambapo mfugaji atafaidika kwa kupata faida baada ya mauzo yatakayokatwa gharama zote za mradi huo.

[caption id="attachment_75765" align="aligncenter" width="604"]<img class="size-full wp-image-75765" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/10/IMG_1410.jpg" alt="Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo. " width="604" height="600" /> Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo.[/caption]

&nbsp;

Katika mradi huo kila mwanachama atajengewa banda la kufugia kuku chotara 1000 watakaofugwa kisasa na kwa utalaamu unaotakiwa ili kupata kuku wenye ubora na kilo nyingi hivyo kuuzwa kwa bei nzuri.

Alitaja baadhi ya vigezo na taratibu anazotakiwa mwanachama kukamilisha kabla ya kupatiwa mkopo huo kuwa ni; Kwanza kuwa mwanachama wa Namaingo, kufungua akaunti katika benki za NMB, CRDB, pia kujiunga na NSSF, NHIF, PSPF, Bima ya Maisha, kusajili jina la biashara Brela.

Pia mwanachama anatakiwa kuwa na Tin number,  ajiunge Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja (UTT-AMIS),  awe na leseni ya biashara, cheti cha TDFA, cheti cha GSI, cheti cha TBS bila kusahau kopi ya kitambulisho cha mpigakura, leseni ya udereva au kitambulisho cha utaifa.

Pia Kampuni hiyo inatarajia kufungua miradi mbalimbali ya kilimo na ufugaji mikoani itakayowanufaisha wananchi wengi.

&nbsp;

[caption id="attachment_75766" align="alignnone" width="765"]<img class="size-full wp-image-75766" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/10/IMG_1416.jpg" alt="Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo. " width="765" height="600" /> Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Bi. Ubwa Ibrahim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za ujasiriamali katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_75768" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-75768" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/10/IMG_1426.jpg" alt="Baadhi ya wanahabari pamoja na wajasiriamali wakiwa katika mkutano huo Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo. " width="800" height="476" /> Baadhi ya wanahabari pamoja na wajasiriamali wakiwa katika mkutano huo Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo.[/caption]

--
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment