Sunday, 2 October 2016

Re: [wanabidii] MOTO UMEUNGUZA MASHAMBA NA MAKAZI KIMBIJI ,WILAYA KIGAMBONI SIKU YA KUPANDA MITI

Suala hili la kuchoma mashamba ya Miti lipo pia Mikoa ambayo miti ni Cash Crop. Wao huchoma kumkomoa mwenye miti wanapoona anakaribia kuvuna kupata mihela. Hufanywa pia mikoa ambapo miwa ni cash crop. Unakaribia kuvuna na utapata mihela-moto unaunguza miwa ukose hela.

Hapo jiulize-tunaua wanawake na wanaume vizee kwa kuwashuku uchawi? Hawa wanaotuchomea mashamba ya miti na kuua binadamu-wangeendelea kama kweli tungetumia Uchawi huo kuwafanya watembee mitaani kama vichaa wamevua nguo na kujitaja kuwa mimi ndiye niliyechoma shamba la fulani na miwa au miti, niliyevunja benki, maduka, kuvamia magari kuua na kupora?

Kumbe uzushi mtupu tunapoonewa na kuua wachawi ambapo hatuwezi kuwatumia kukomesha ushezi huu wengine wezi na waovu kama wao wakakoma?

Halafu-tumejitawala, serikali haina demokrasia, masikini hatuna pesa etc halafu tunakomoana kwa kukatiana mazao, kulishia mazao ya mwenzako mifugo ekari 1-5 usiku mmoja, kukata ,miti, kumuua mtu bila hatia unamuonea na matendo yanaendelea daima? NYUMBU!!
--------------------------------------------
On Sun, 2/10/16, 'Wanakijiji Kimbiji' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MOTO UMEUNGUZA MASHAMBA NA MAKAZI KIMBIJI ,WILAYA KIGAMBONI SIKU YA KUPANDA MITI
To: "Wanakijiji Kimbiji" <wanakijijikimbiji@yahoo.com>
Date: Sunday, 2 October, 2016, 17:57

MOTO
UMEUNGUZA MASHAMBA NA MAKAZI KIMBIJI ,WILAYA KIGAMBONI SIKU
YA KUPANDA MITI

Tukio la uzuni na majonzi la kuunguzwa makazi na
mazao limewapata wakazi na wamiliki wa maeneo ya ardhi
katika Kata ya Kimbiji mtaa wa Ngobanya wilaya
Kigamboni,mkoa wa Dar-es-salam siku ya tarehe 1 Oktoba 2016
baada ya watu wasio julikana kuchoma motouliosababisha kuungua kwa mazao na miti pamoja na
makazi kule Kimbiji-Ngobanya, wilaya Kigamboni,mojawapo ya
mashamba yalioungua lilikuwa na miti aina ya mitiki 140 na
nyumbandogo ambayo ni makazi,moto huo ulizuka mchana
wakati wenyewe waliustukia tu na uwendaumesababishwa na watu wenye vitendo vya kuchoma
moto maneo ,taarifa za moto huo zililipotiwa kwa viongozi wa
kata hiyo ya Kimbiji akiwemo mwenyekiti wa serikali za mtaa
waNgobanya bwana Ismail Mahembe kwa taarifa zaidi
simu 0713846688




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment