Friday, 7 October 2016

Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF

Elisa,
Uliiua wewe UKAWA? Mbona sisi wafuasi wake tunaona bado ipo? Ndio maana mmemkazania Lipumba arudi kuwa mwenyekiti ili CUF iwe kama NCCR chini ya Mrema, eeh?
em

2016-10-06 17:34 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
UKAWA ipi inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni lini umesikia habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa? Hata wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa agenda. Toka tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema UKAWA inaishi? Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo kuiua????
--------------------------------------------
On Thu, 10/6/16, 'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM

 Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,
 nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu nyuma ya
 pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama vya siasa
 kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama hukupata
 fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa undani
 zaidi.
 Sent from
 Samsung Mobile

 -------- Original message --------
 From: 'Lesian' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
 Date:
 04/10/2016  21:08  (GMT+03:00)
 To:
 wanabidii@googlegroups.com
 Subject: Re:
 [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof.
 Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF

 Bro muganda
 Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia
 mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa kasi ya
 ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na kuisambarartisha
 UKAWA
 Prof atengewe pesa a nn wkt
 ashakwishaa

 Emmanuel
 Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

 Sounds like
 habari hii ni ya kupikwa. Who is
 Tazama?em
 2016-10-04 13:22 GMT-04:00
 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 CHAMA
 cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa kutenga
 mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la kummaliza
 kisiasa mwenyekiti
  wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba. Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa hivi
 zinabainisha
 wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la
 kuhahikisha, pamoja na
 mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu wa
 Cuf. Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa profesa
 Lipumba
 iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya mwenyekiti, ni
 kuvurugika
 kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao ulianza
 kuratibiwa kwa
 mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika uchaguzi wa
 mwaka wa
 jana, Edward Lowassa. Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu ya
 kisiasa kwa
 upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa kuunganisha
 nguvu za
 kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili
 ikiwezekana, kufikia
 mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa chama
 kimoja. Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa wanasiasa
 kisiasa wa
 wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward Lowassa na
 Maalim Seif
 Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata dola  katika
 pande zote
 mbili za muungano 2020. Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba kutaka
 kurejea kwenye
 uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba ya chama
 hicho, huku
 pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi,
 akionekana
 kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi wa juu wa
 chadema,
 hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling katika
 kuhakikisha kuwa
  suala hilo haliwezekani. Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa wale
 wanaoitwa
 marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa Lipumba,
 uongozi wa
 chadema unadaiwa kujipanga kutumia kila aina ya silaha,
 ikiwemo vyombo
 vya habari na baadhi ya wasomi nchi kumdhalilisha Profesa
 Lipumba ili
 aonekana hafai machoni mwa jamii ya kitanzania. Hata hivyo, pamoja na mikakati hiyo ya chadema kummaliza
 kisiasa Profesa
  Lipumba, kambi ya mwanasiasa huyo, ambayo tayari inakalia
 ofisi ya kuu
 ya Buguruni, Dar es Salam, imeapa kupambana hadi mwisho,
 huku ikiweka
 bayana "daima haki itashinda". Kwa mujibu wa kambi ya Profesa Lipumba mgogoro wa sasa ni
 baina ya kundi
  la waasi nan a wavunjaji wa katiba wakiongozwa na katibu
 mkuu Maalim
 Seif Sharif Hamadi na kundi la watetezi, walinzi na walinzi
 wa katiba ya
  chama hicho wakiongozwa na Profesa Lipumba. Kutokana na hali hiyo kundi la Profesa Lipumba linasema wazi
 kwamba hata
  kama uongozi wa chadema utaamua kukusanya mamilioni ya
 shilingi kwa
 ajili kwa ajili ya kufadhili kundi la la waasi linaloongozwa
 na Maarif
 Seif Sharifu Hamadi, ni wazi fedha hizo zitateketea bure kwa
 maelezo
 kuwa hakuna mahala popote duniani ambako dhulma
 ikashinda. Afisa mmoja wa Cuf, aliyeko kambi ya Profesa Lipumba, Abdul
 Kambaya,
 amekiri kufahamu mpango huo wa chadema kutenga mamilioni ya
 shilingi kwa
  ajili ya kummaliza mwenyekiti wao, ikiwa ni pamoja
 kuhakikisha harejei
 tena kwenye uongozi wa juu wa chama hicho. "Tunafahamu sana kundi la maarim Seif linaendeshwa na
 chadema na wao
 ndio wanaoamua cha kufanya. Tunafahamu chadema wametenga
 fedha nyingi
 sana kwa ajili ya kuhahikisha profesa Lipumba harejei kwenye
 uongozi wa
 juu wa Cuf, lakini niwahakikishie daima haki itashinda
 dhulma tu"
 anasema Kambaya na kuongeza "sisi tupo ofisini, wao wapo msituni. Hii ni vita kati ya
 watetezi wa
 katiba, hivyo basi kamwe hawaezi kushinda vita hii, na ndio
 maana
 Profesa Lipumba anaendelea na  majukumu yakle ya kukisuka
 upya chama
 chetu, huku wao wakihangaika huko nje, wakidhani Chadema
 itawasaidia. Chanzo Tazama
                                          --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. --

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment