Tuesday, 2 August 2016

[wanabidii] Serikali yakata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa dhidi ya ndoa chini ya miaka 14

Habari wandugu

wanasheria nisaidieni kunifafanulia hapa, Kwanini serikal inakata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na mahakama idhidi ya sheria inayorushusu watoto wa miaka 14 kuolewa.

Tafsiri yake ni nini? waendelee kuolewa au wanataka nini? 

Wanasheria tafadhali naomba ufafanuzi maana naona kama ndivyo hivyo basi kuna kitu hakiko sawa ndani ya serikali yetu

Asanteni 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment