Tuesday 2 August 2016

[wanabidii] Mafunzo ya biashara ya Ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara siku ya jumamosi tarehe 13/8/2016


Kampuni ya CPM Business Consultants inatarajia kuendesha mafunzo ya biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara.Mafunzo haya yatafanyika siku ya jumamosi tarehe 13/8/2016 katika ukumbi wa Hawaii, Kimara Baruti kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana. Kiingilio cha mafunzo ni sh. 15,000. Motisha ya Sh. 5000 kwa kila mtu aliyealikwa itatolewa kwa mtu yeyote atakayealika watu wengine.
Mada zitakazowasilishwa ni;

1.Umuhimu wa ufugaji wa kuku na faida zake.
2.Maandalizi ya ufugaji wa kuku
3.Jinsi ya kulisha kuku
4.Jinsi ya kutunza vifaranga
5.Magonjwa ya kuku
6.Tiba za kuku za Kisasa na za jadi.
7.Jinsi ya kutunza kumbukumbu kwa ajili ya biashara ya kuku.
8.Jinsi ya kuuza bidhaa za kuku.
Baada yamafunzo washiriki watakaohitaji vifaranga, kuku, madawa ya mifugo, chakula cha kuku na ushauri, wataunganishwa na duka letu na wataalamu wanaotoa huduma na bidhaa hizo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Charles Nazi Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya CPM Business Consultants kwa simu namba 0755394701. Thibitisha kuhudhuria mafunzo haya mapema usije kukosa fursa ya kuhudhuria mafunzo haya. Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa marafiki zako.

 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment