Thursday 4 August 2016

Re: [wanabidii]

Kwa sheria za chuo, mwanafunzi akiwa na kesi mahakamani, na hasa akishitaki chuo anasimama kwanza mpaka kesi iishe mahakamani.
Sasa yaonekana anaendelea na masomo pending hilo lenye Matatizo yenye maana hapo linashughuliwa na chuo ama vipi?
Lakini mwalimu anaweza kumharasi vipi mwanafunzi kwenye mitihani? Pili umesema mpaka akaamua kutoka! Je aliomba ruhusa!? Kama hapana na mitihani unaendelea kwa nn msimamizi asifikiri anataka kutazamia MAJIBU?
Awe mwanaume au mwanamke mwalimu hawezi kumuingilia chooni akijisaidia!
Nadhani kuna mengi hayajafahamika! Eleza tena!

On 3 Aug 2016 11:10, "'Marsha Daniel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Habari zenu wanasheria,naomba mnisaidie hivi mwalimu akimharasi mwanachuo wake ktk chumba cha mitiani naakamaliza mitiani akatoka  nakuelekea chooni mwalimu akamfata kumlazimisha amkague mwalm niwakiume akakufata chooni ndani ukiwa unajisaidia,naukaenda kushtaki nakesi ikafika police then Mahakamani,Mahakama ikatoaajibu kesi hiyo inacontradict pande zote wanaushaidi wamacho nawalimu wenzie wanasema hakuingia mashaidi wamwanafunzi wanasema aliingia,mwaka nazaidi majibu yamtiani chuo hakijatoa majibu wakidai kuwa wanasubilia kesi,mwanafunzi mpaka kamaliza  mwaka watatu lkn somo.lamwaka wapili halijatolewa maamuzi,hii imekaaje IPO sawa au,kila mwanafunzi akienda kwenye uongozi wanasema wesiulikataa kufuta kesi tusubiri,nichuo kikunwa ktk Tanzania hh,nanivhaserikali,naombeni msaada.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment