Thursday 11 August 2016

Re: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonyamumewake kutoshiriki UKUTA

Ha ha ha Kamala tena!?
Nilisema, LKK kwake haki anayoijua ni ya CHADEMA Tu. Hauelewi chochote juu ya haki za wakina mama kama Joyce anayenyanyasika sasa na uhuni wa CHADEMA. Kulinganisha Winnie Mandela na hili ni kukosa umakini kwenye comparison. ANC hawakuwa wahuni kama Hawa!. ANC hawakuwahi kumtelekeza Mandela kama CHADEMA w alivyofanya kwa kilewo!
Acheni utani

On 11 Aug 2016 13:01, "'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ireneus,

Nilikuwa sijausoma uzi wako. Kwa vile umenitaja kwa jina nitakujibu!
Kwanza niseme binafsi sina kadi ya chama chochote; ila napenda uhuru wangu na demokrasia yangu. Hivyo mtu akiingia anga zangu, akajaribu tu kuninyanyasa, tutakula sahani moja.

Pia uanaharakati wangu ni wa kudhibiti matumizi ya tumbaku, kujali afya za watu. Kama umekuwa unanisikiliza kwenye vyomba vya habari na kunisoma, hili hulisimamia kikamilifu, hata kama ningekuwa naongea na nani;  maana ninaamini nafanya kilicho bora, na yeyote anayepinga, ana maslahi binafsi!

Kuhusu habari ya Joyce, binafsi namuonea huruma, namuona kama ni mama asiyejitambua. Hivyo mimi siwezi kumtetea. Tuna mifano ya wamama wengi duniani, waliopambana bega kwa bega na waume zao; akiwamo Winnie Mandela, tena wakati huo akiwa na watoto wawili wadogo; akahamishwa toka nyumbani kwake, akapelekwa kwenye kijumba cha udongo ni pamoja na mateso yote aliyoyapata, kama utakuwa unaijua historia. Hadi siku ya mwisho, akaenda kumpokea mumewe kwa heshima kubwa, alipoachiwa toka gerezani. Nilimuheshimu sana. Ningependa kumuona Joyce akifanya hivyo kwa mumewe, na si kulia lia kwenye hii mitandao.

Halafu kama kweli Joyce yuko karibu na mumewe; kama nilivyoona akimuita "mpenzi", basi wangeweza kuyamaliza ndani kwao, bila yeye kuyamwaga mtandaoni. Kwa mtu mwenye msimamo wa kisiasa, si rahisi kutishwa na vitu kama hivi; ndo maana Mandela aliachana na mkewe wa kwanza, baada ya yeye kukataa kuungana naye katika mapambano. Kama Mandela angemsikiliza, si ajabu Afrika kusini ingekuwa bado inatawaliwa na makaburu. Hongera zake Mandela kwa kufanya uamuzi wa busara. Maana wakati mwingine ni muhimu kwa wachache kuumia, au hata kufa, ili wachache wakomboke.

Kuna jamaa aliandika mtaa wa pili kuwa, kwa Joyce kujianika hivi, ina maana kuna matatizo kati yake na mwenza wake, na hivyo nafasi ya kuongea na kukubaliana haipo! Sijui nikubaliane naye?

Nimeshasema kwingine, haya yanayotokea sasa hivi, yanapashwa kuogopwa si tu na wapinzani, bali hata wanachama wa chama tawala, na wote wapenda amani, haki, uhuru na demokrasia ya kweli. Kwangu mimi siyaoni yakiishia hapa, bali mwisho wa siku yatawagusa wote, hata wale wanaoyashangilia kwa sasa. Muda tu utatwambia.

Kamala, ruksa kunitukana kama ulivyozoea; ila msimamo wangu ndo huo!

LKK
 
On Thursday, August 11, 2016 12:31 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ludo;
Umetumia ujanja ili kuwavuta waje kutoa kauli.
Nazani kwa kauli yako tutawaona sio muda,otherwise waamue kukaa kimya sababu tumewastukia kwamba tunawavuta kwa nguvu sasa,sio rahisi kwamba hawajaona hii post inayohitaji maoni yao.
 
Reuben

On Thursday, August 11, 2016 12:16 PM, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Akina Mama NKYA, LKK, nk huwezi kuwaona hapa maana wao haki wanazozitambua ni za CHADEMA Tu!
On 11 Aug 2016 12:09, "'salhabakari' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Irenius,
Salha(mimi), ni mwanamke.
Nilishatetea msinamo wa Joyce in few days back.
Pamoja sana na Joyce!
This
SB
On Aug 11, 2016 8:38 AM, ireneus kakuru <ireneuskakurumushongi@gmail. com> wrote:
Bwana Kamala,,

Niilimsahau dadetu Ma Lutgard Kagaruki pia kwenye orodha ya wanaharakati wetu jukwaani. Joyce inawezekana kweli kakosea kuileta hii huku jukwaani sababu is more personal lakini pia inawezakana ni makusudi ili aweze kufikisha ujumbe ktk jamii kubwa zaidi ukizingatia kuwa hili ni tatizo la kijamii at large.
Ndio wapo wenye interest zao binafsi kisiasa zaidi na ambao wanajitoa ufahamu na kuliona hili so mambo la msingi. Dhamira zao zinawasuta kwa ndani sababu ht wao pia wanalenga kujijenga kupitia Makundi haya na siasa hizi.
Wengi wao watajifungia maofisini au majumbani kwao na simu au vilaptop kusubiri tu kuandika matukio huku jukwaani. Hawatakwenda wao huko kwenye UKUTA though ni waongeaji/waandikaji na hapa ndio tunauona unafiki ktk ushabiki wao kisiasa!

Siku ya UKUTA haiko mbali sana nitakuwa nikifuatilia hawa wakereketwa wa UKUTA watakuwa wanaandika kutoka wapi na ama kushare images za pale watapokuwa wakishiriki maandamano.

Huyu mama ana hoja ya msingi na nategemea kina mama wenzake wamtetee wamsemee hapa hapa jukwaani. Bahati mbaya sijamwona hata mmoja. Uzi huu haupaswi ukamilike bila mchango wa kinamama. Mko wapi???
Naona kina Baba tu wanadominate mjadala wenye hisia za huyu mama.

From: J L Kamala
Sent: ‎8/‎11/‎2016 6:11 AM
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonyamumewake kutoshiriki UKUTA

Mshongi umenena. ningependa kusikia maoni ya wanaharakati wetu wa maswala ya kijinsia kwa mwanamke mwenzao hapa

2016-08-09 7:24 GMT+03:00 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Wapinzani/chadema hawajui hiyo thamani iliyomo ndani ya utu. Anayejua kwa hakika thamani ya mme ni mke wake aliyekula kiapo cha ndoa yao. Mtoto yatima peke yake ndiye anajua uhakika na thamani ya baba au mama. Huyo mme aliapa kwa ajili ya mke wake na watoto wake. Atambue kuwa baraka zake zinatokana na familia yake. Akikaidi anaweza kupata madhara makubwa katika maisha yake. Mkewe kamuonya hadharani. Inabidi ajitafakari hana sababu zaidi za kushupaza shingo yake.
Sent from Yahoo Mail on Android

On Mon, Aug 8, 2016 at 15:08, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii

Ha ha h. kakuru. Umeikumbush kituko fulani wakati Algentia iipovami visia vya Falklad na uingereza ikalazimika kupigana vita.marekni ilikuwa na mtihani mgumu-Kuungana na OAC (Orgaization of American Countries kuipiga uingereza au kumsaidia shoga wake Uingereza kuipiga Argetina. Sasa naona dilemma waliynayo hao uliowataja-Wamteteemama mwenzao au naihii

------------------------------ --------------
On Mon, 8/8/16, ireneus kakuru <ireneuskakurumushongi@gmail.c om> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mumewake kutoshiriki UKUTA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 8, 2016, 1:50 PM

Humu
jukwaani huwa Kuna kinamama fulani wanahar
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment