Monday, 8 August 2016

RE: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mumewake kutoshiriki UKUTA

Humu jukwaani huwa Kuna kinamama fulani wanaharakati wazuri sana. Mama Nkya na Anna Mgwira sijawaona kabisa kwenye Uzi huu.

Ningefurahi kuona wao wanalionaje hili make anayeongea hapa ni mama mwanamke mwenzao anayejaribu au anayehangaika kuipigania km si kuitetea familia yake, ambayo tayari ilishakutwa na madhara kwa mazingira sawa na haya.

Waasisi wa harakati za namna hii huwa wanaziweka mbali familia zao..huwa hazishiriki maandamamo. Sana sana ni vijana zaidi bodaboda watajaziwa mafuta kwenye pikipiki kuwekwa front kuwa ngao za waheshimiwa. Niliona lawama nyingi Mh Masha alivyowekwa ndani kwa kuwabwatukia polisi lakini wale makumi ya mamia ya vijana walioathirika ktk harakati hizi sikuwahi ht kuona press conference inayoandaliwa na waasisi kuwasemea ht kuwatembelea huko Mahabusu ama mahospitalini. Hapa ndipo Kiria anapopalalamikia! Tunawashawishi watu kuandamana lakini hatushuhuliki nao wakipata madhara. Ni familia zao tu zinazohangaika! Hapa kuna hoja, isibezwe.

Wanaharakati kina mama humu jukwaani Jitokezeni mkamtetee mama huyu. Mnadhani ana hoja ya msingi?

From: 'misangocharles' via Wanabidii
Sent: ‎8/‎8/‎2016 9:53 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mumewake kutoshiriki UKUTA

Ngurumo, andiko la Joyce liko sawa kabisa. Anayo haki ya kutetea uhai na afya ya mumewe. Ndiye mlinzi wa mume na familia. Anayo haki ya kumpigania ktka jambo analoona ni hatari kwake.
Kumbe badala ya kumbeza, tumtie moyo na NAMSHAURI mume wake, atumie busara kumsikiliza mkewe na watoto

Sent from my Huawei Mobile

'Ngurumo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Joyce Kiria ana matatizo makubwa. Hii ni dalili tu!

On Aug 7, 2016 3:22 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
HAYA NDO MANENO ALIYO ANDIKA MWANA DADA JOYCE KIRIA
Yes sikulilia ndani alipoingia matatizoni….. Niligangamala nikapaza sauti na wanangu mchana kweupeee… Haikuwa rahisi hata kidogo lakini ilinibidi kujitoa fahamu kwa ajili ya kuokoa familia yangu.

Leo napoona dalili nyingine za kuingia kwenye matatizo makubwa zaidi ya haya, kamwe siwezi kukaa kimya…. Yes sintakaa kimya nimwache aende kutumbukia shimoni nitamwambia bila aibu kama nilivyompigania bila aibu .
.
Dear love, umenikasirikia sana kwa kitendo hiki ninachofanya… Lakini naomba ukumbuke wakati unapitia matatizo, ni Mimi nilikuwepo na wewe wakati wote mpz wanmtoto nililazimika kumwachisha ziwa akiwa mdogo sana akalia sana akazoea nikamwacha na Dada kila ilipokuwa tarehe ya kesi nikaja kukutia moyo mpz wangu Tabora mbali kote… Nikajikaza sanaaaa, kukuonyesha tabasamu ili kukupa Amani japo njia nzima nililia sana kwa uchungu ulilia kila uliponionamimi nilijikaza sikulia mbele yako ili nisikuache na mawazooooo….

Kila nilipokuja Gerezani kukuona uliwaulizia rafiki zako ulokuwa unawaamini sana, tena uliamini wangekuja kesho yake, hukuwaona mpaka ukatoka…ulikuwa unawaulizia kama wamenitafuta, nilikujibu hakuna aliyenitafuta mpz ukaumia sana mpz wangu… Kuna wengine hukutaka hata kuongea nao baada ya kutoka ndani na kurudi uraiani….

My love, Siko tayari kupitia mateso niliyopata love, siko tayari kukuona katika mazingira magumu kama yale mbaya zaidi ni ya KULAZIMISHA… Labda yatokee bahati mbaya… Lakini ya kwenda kuyatafuta hapana baba….. Najua tena nauhakika hauko tayari kuniona tena katika mateso kama Yale…hilo nauhakika nalo….Nimewaambia watoto wanisamehe kama nitakuwa nimekosea, lakini naimani hata wao cha moto walikiona, wasingependa baba yao aingie tena kwenye shida kama ile au zaidi ya ile Popote ulipo jua nakupenda sana ndo maana nakulinda mume wangu kwa garama yeyote .Kwangu Mimi Familia kwanza, Taifa kwanza, chama baadae…..

TAFADHALINI UKUTA WEKENI KANDO MFANYE MAZUNGUMZO MEZANI… MSIFANYE UBABE TULIZENI JAZBA KWA FAIDA YA FAMILIA ZENU NA TAIFA ZIMA….

Chanzo Jf

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment