Thursday, 4 August 2016

RE: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Dominick,tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza zaidi ya miaka 20 iliyopita, walau mimi binafsi sijawahi kushuhudia ghasia yoyote au machafuko yoyote yaliyoanzishwa na Chama chochote cha Siasa. Hizo ghasia zitaanza awamu hii ya 5? Sijasikia mtu anayemtukana Rais isipokuwa watu wanatoa mawazo yao mbadala. Na hata kama kuna aliyemtukana Rais si taratibu za kisheria zipo? Hoja hapa ni kwamba, vyama vya siasa vyote vipo kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi. Vinapaswa kufanya kazi na shughuli zao za kisiasa kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi na si kwa matamko. Leo wengine mnaunga mkono kwa sababu matamko hayo yanaonekana wazi wazi kuwa dhidi ya Vyama vya Upinzani ambavyo mnavichukia. Tusitoe nafasi kwa jamii yetu kuogozwa kwa matamko. Tuache Katiba na Sheria vituongoze na hii inahitaji kuvumiliana. Tukishabikia matamko na kuweka Katiba na Sheria kando, kesho yanaweza kuwa dhidi yetu wenyewe. Hatuwezi jua!

Date: Thu, 4 Aug 2016 13:28:03 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com; embegu@hotmail.com; wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Angalia vizuri. Wapinzani wanamtukana rais wengine nasikia ni wanasheria. Mtu anamtusi mtu mwingine mnmnafurahi.! Hili si jambo jema. Chuki ya wapinzani kwa rais ni kubwa mno, unaiona waziwazi. Tulifikia hatua ya watu katika nchi hii kutaka kuurithi urais kama ufalme na usultani. Au kupokezana kwa urafiki na undugu. Kwa kuwa yote mawili yalishindwa, wale waasisi wake wanatafuta visingizio vya namna zote ili kuleta fujo na ghasia hata kama damu ikimwagika na uhai kupotea wao so shauri yao. Kufeni kwa nini hamkutuchagua sisi
a kanent from Yahoo Mail on Android

On Thu, Aug 4, 2016 at 12:06, Edgar Mbegu
<embegu@hotmail.com> wrote:
Jamani msiwachukie watu wa Vyama vya Upinzani. Ni Watanzania kama wengine. Ni nduguzetu, Baba zetu, Mama zetu na watoto wetu. Wana haki ya kutoa maoni yao kama wewe na mimi. Tuungane wote kupigania Demokrasia ya kweli kwa ajili ya Maendeleo ya wote. Walioapa kulinda Katiba na kusimamia Sheria za Nchi yetu tuwasaidie wafanye hivyo kwa ukweli na umakini. Tusiogope kuwasaidia, tusiogope kuwakosoa wanapokosea kwani na wao wanajua kuwa wanaongoza binadamu ambao wana akili na wanafikiri, siyo kundi la wanyama wasioweza kufikiri na kutoa maoni. Chuki za kisiasa hazitatufikisha kokote! Asubuhi njema kwa wote!

Date: Thu, 4 Aug 2016 06:15:30 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Lessian;
Mtakao andamana ni nyie ambao hamtakuwa na kazi siku iyo.
Siku hiyo haiko mbali,tusubiri tutawaona.
 
Reuben

On Wednesday, August 3, 2016 10:27 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

DomiickKma ulvyooa wanawithdraw kutoa msaada kwa polisi kuzuia mkutano wa CC ndivyo watakavyofanya kuhusu september 1.Huenda waliowapa petrol wakajitoa maanawanakaribiw na watajitahidi kukwepa aibu.
--------------------------------------------
On Wed, 8/3/16, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, August 3, 2016, 8:42 PM

Kwenye
jambo hili tumegawanyika kama taifa. Wapo ambao wanaiunga
mkono serikali. Wapo wale wapinzani. Wapo wasiojua waende
wapi. Pia wapo wapinzani ambao si wapinzani kwa hoja hasa
ila chama  ni kwao watokapo. Wapo wapinzani kwa sababu toka
nchi hii ipate uhuru imani yao haijapata kuongozwa na mtu wa
imani hiyo, hivyo watapinga tu hata ungefanya nini.
Wanajulikana sana, na dhamira ya ndani mwao unaiona
waziwazi. Je ni tukio la bahati mbaya au ajali watu fulani
kujilundika kwenye uongozi wa upinzani. Ni kweli andamaneni,
msababishe damu za watu kumwagika, mharibu taifa kwa sababu
ninyi ni watu bora kuliko wengine.

    On Wednesday, August
3, 2016 6:55 PM, 'Lesian' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
 
  Thubutuuuuuuuuu'subir
sepember mtaanza kusema wamenunuliwa...naamini hata hao
wapiga kura wenu mil 8 watakuwepo.....
Hv
unadhania waliambiwa kua hawatajengewa nyumba na serikali
hii, ilhali jk alisema angewasaida bro magu juz akawaambia
anahangaika na madawati si nyumba kuwajengea....hv unadhania
boda boda wako happy, unadhani machinga, hawa waalimu, hata
wana harakat kama cc tutaandamani wacha waje na jeshi
lote

De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:

>Reuben,
>I bet HE WONT. hakuna mjanja wa kufanya huo
ujinga.
>Naweza kusema hayo maandamano
yatakuwaje;
>1. boda-boda zitakuwa
chache, nyingi zitawekewa mafuta na zitawakimbia.
>2. Vijana wasio na ramani kiasi, baada ya
kulazimishwa na viongozi kadhaa.
>3.
baadhi ya mikoa kama Dar hamtapata watu kabisaa. itakuwa
aibu.
>4. FINALLY, kushindwa kwa
maandamano haya ndio anguko kubwa la CDM
>kisiasa na mtajuta ni bora msingetangaza
hii kitu.
>
>--
>*"Anyone who conducts an argument by
appealing to authority is not using
>his
intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa
Vinci
>*
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
>To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment