Wednesday, 3 August 2016

Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Kwenye jambo hili tumegawanyika kama taifa. Wapo ambao wanaiunga mkono serikali. Wapo wale wapinzani. Wapo wasiojua waende wapi. Pia wapo wapinzani ambao si wapinzani kwa hoja hasa ila chama  ni kwao watokapo. Wapo wapinzani kwa sababu toka nchi hii ipate uhuru imani yao haijapata kuongozwa na mtu wa imani hiyo, hivyo watapinga tu hata ungefanya nini. Wanajulikana sana, na dhamira ya ndani mwao unaiona waziwazi. Je ni tukio la bahati mbaya au ajali watu fulani kujilundika kwenye uongozi wa upinzani. Ni kweli andamaneni, msababishe damu za watu kumwagika, mharibu taifa kwa sababu ninyi ni watu bora kuliko wengine.


On Wednesday, August 3, 2016 6:55 PM, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Thubutuuuuuuuuu'subir sepember mtaanza kusema wamenunuliwa...naamini hata hao wapiga kura wenu mil 8 watakuwepo.....
Hv unadhania waliambiwa kua hawatajengewa nyumba na serikali hii, ilhali jk alisema angewasaida bro magu juz akawaambia anahangaika na madawati si nyumba kuwajengea....hv unadhania boda boda wako happy, unadhani machinga, hawa waalimu, hata wana harakat kama cc tutaandamani wacha waje na jeshi lote

De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

>Reuben,
>I bet HE WONT. hakuna mjanja wa kufanya huo ujinga.
>Naweza kusema hayo maandamano yatakuwaje;
>1. boda-boda zitakuwa chache, nyingi zitawekewa mafuta na zitawakimbia.
>2. Vijana wasio na ramani kiasi, baada ya kulazimishwa na viongozi kadhaa.
>3. baadhi ya mikoa kama Dar hamtapata watu kabisaa. itakuwa aibu.
>4. FINALLY, kushindwa kwa maandamano haya ndio anguko kubwa la CDM
>kisiasa na mtajuta ni bora msingetangaza hii kitu.
>
>--
>*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
>his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
>*
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment