Wednesday, 3 August 2016

Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Reuben,
I bet HE WONT. hakuna mjanja wa kufanya huo ujinga.
Naweza kusema hayo maandamano yatakuwaje;
1. boda-boda zitakuwa chache, nyingi zitawekewa mafuta na zitawakimbia.
2. Vijana wasio na ramani kiasi, baada ya kulazimishwa na viongozi kadhaa.
3. baadhi ya mikoa kama Dar hamtapata watu kabisaa. itakuwa aibu.
4. FINALLY, kushindwa kwa maandamano haya ndio anguko kubwa la CDM
kisiasa na mtajuta ni bora msingetangaza hii kitu.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment