Unapohji utekelezaji wa maamuzi unahoji serikali au chombo husika. Unapohoji wizi au ufisadi unamhoji mtu. Hapa ndipo penye hoja.
--------------------------------------------
On Wed, 5/18/16, emuganda@gmail.com <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, May 18, 2016, 2:49 PM
Hivi,
si kweli kwamba Magufuli alishiriki na kusimamia uuzwaji wa
nyumba za serikali? Sasa kuna ubaya gani kukumbushia
ukweli?em
Sent from my iPhone
On May 18, 2016, at 2:20 AM, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:
Kaka, umejieleza kweli kweli, lakini umeishia
kutukana na kujikita kwenye itikadi. Wabunge wa upinzani
wanaibua hoja, na ndiyo kazi yao. Ni jukumu la upande wa
serikali kujibu hoja na kufanya marekebisho yanayohitajika
au kuweka msimamo. kinachoendelea sasa huko bungeni ni
kwamba Bunge limeungana na serikali kuhakikisha mambo
yanapita. Hiyo inawezekana kutokana na wingi walio nao,
lakini si afya kwa taifa. Ingekuwa bora kama hoja nzito
zinazoibuliwa na upinzani zingepata majibu badala ya kuzimwa
na kutupiliwa mbali kama vile zimetolewa na watu kuoka nchi
za nje. Kinachotokea ni kwamba msimamo sahihi ni ule wa
serikali na wabunge wa CCM, msimamo usio sahihi ni wowote
ule unaotokea upande wa upinzani, sidhani kama hiyo ndiyo
democrasia ya vyama vingi tuliyoikubali.
Hata maandishi yako yanafikia kutukana, ukiona
hivyo, huo ndio ukomo wako wa kufikiria, hii siyo sawa
kabisa. Acha hoja ijibiwe kwa hoja. Hata hayo uliyoyaeleza
kwenye andiko lako na ukaishia kutukana mbona yamenyoka tu!
Walisema bajeti ni kubwa sana kama caution kwa serikali
ijipange vizuri kwenye makusanyo ya kodi na kuangalia
matumizi. Bajeti za wizara ni suala la mtazamo tu kwamba
sekta ipi ni muhimu zaidi ya nyingine na ipi inahitaji ipewe
bajeti kubwa kuliko nyingine. Sasa wewe ukisikia hivyo
unatukana.
2016-05-17 22:58
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Siasa si mchezo wa vichekesho. Siasa ni kazi maalum yenye
mchango wake katika maendeleo ya taifa letu kama madaktari,
mabwanashamba, wanajeshi nakadhalika. Tunapokwenda kwenye
uchaguzi tunakuwa tunatafuta watu watakaofanya kazi maalum
kwa maendeleo ya taifa letu.
Tumechagua wabunge ili waweze kufanya kazi kama wabunge na
wawakilishi wa wananchi katika kuisimamia, kuishauri
serikali.
Tumeletewa mfumo wa siasa za vyama vingi na kwa kweli wakati
wa awamu iliyopita pale serikali ilipokuwa imelala tumeona
manufaa yake.
Haya. 2015 tukafanya uchaguzi. Tukampata rais anayeyaangalia
matatizo ya wananchi kwa makusudi ya kuyatatua.
Tumelitengeneza bunge. Tukaongeza idadi ya wabunge wa vyama
vya upinzani. Tukatarajia kuona nguvu ya upinzani ikiisaidia
serikali hii inayoonekana kuyaangalia matatizo yanayogusa
wananchi.
Ninaanza kuwa na matatizo na mambo ninayoyaona yakiendelea
bungeni. Kuna wabunge hawaoni ulimwengu unachoona kikifanywa
na serikali. Ndani na nje ya Tanzania kila mwenye akili
kamili anaona serikali ya Magufuli inachokifanya na kila
kona anapongezwa.
Niongelee moja kama sio mawili: Serikali ilipotangaza kuwa
mwaka ujao wa fedha (2016/17) inatarajia kutumia fedha za
kitanzania Trilion 29 kutoka trillion 22 za mwaka unaoisha.
Viongozi wetu walisimama kidete kuikatalia serikali kuwa
haiwezi kuzikusanya fedha hizo kwa hiyo bajeti hii ni
kiini macho. Binafsi nilielewa wanalolisema japo niliielewa
serikali kuwa kwa juhudi inazoonyesha za kukusanya kodi na
kubana matumizi inaweza kuzifikisha. Kilichonitisha ni pale
wakati wabunge hao hao wakijadili bajeti za wizara wanaibuka
na kutaka budget za wizara zisipitishwe kwa sababu wizara
zimetengewa fedha kidogo. Nashindwa kuwaelewa wawakilishi
wetu. Wanapendekeza wizara ziongeze fedha (kwa kuwa
hazitoshi) ambazo zinatokana na budget wanayotaka ipunguzwe
(kwa kuwa haziwezi kupatikana). Kuna bongo ngapi vichwani
mwao? Sielewi. Lakini mbunge mwingine ambaye anaheshimika
sana anasema wabunge watamkumbuka JK. Watamkumbuka kwa
sababu hakuwahi kuwazuia kumsema. Kazi ya bunge ni kumsema
rais au kuisaidia serikali? Mbunge huyo anasema hivyo kwa
sababu bunge limemzuia kumbambikiza Magufuli ujinga kuwa
aliuza nyumba za serikali. Wabunge hawajui kuwa Magufuli
hakuwahi kuuza nyumba hizo bali serikali iliuza nyumba zake
kwa uamuzi wake na Waziri (Magufuli) akatekeleza uamuzi wa
serikali. Anaambiwa aondoe neon magufuli na aweke neon
Serikali nanasema hawezi kusoma maoni ya kambi ya upinzani.
Upumbavu huu naulinganisha na ule ambao watu wazima
walifafanuliwa zaidi ya mara nyingi kuwa Dr. Slaa alisema
ataanzisha mchakato wa katiba ndani ya siku 100. Wao
wakaendelea kusema alisema atalipatia katiba Taifa ndani ya
siku 100. Nauita upumbavu kwa sababu hawakuelewa kabisa
licha ya kufafanuliwa. Ni huo ambao watu wanalinganisha
uuzaji wa nyumba na kashfa ya Richmond.
Wabunge wanaotaka mijadala ambayo inaisha baada ya
kujadiliwa wataua upinzani. Tunatarajia wajadili mambo
yatakayoleta matunda baada ya kujadiliwa. Kutaka kujadili
nyumba zilizouzwa na serikali kunatarajia kuleta faida gani
baada ya mjadala.
Mtu mmoja ameniuliza kuwa sababu ilizotoa serikali
kutoonyesha mijadala ya bunge live ni sahihi? Nikamjibu kuwa
sio sahihi. Sababu ni kuwa serikali ilitaka kuliondolea
taifa aibu kutokana na mijadala kamahi kama ambavyo watu
fulani huwaficha watoto walemavu ili kuficha aibu za
familia. Kuna wabunge ni aaibu kuonekana live.
Elisa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment