Wednesday, 25 May 2016

Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

Ananilea.
Wakati wa awamu ya uharibifu wa taifa letu, nilikuwa na mawazo kama yako (kuwa Katiba ni dawa ya matatizo yetu). Ninaandaa mada nyingine ijadiliwe humu kuhusu jambo hili. Sasa ninafikiri kuwa pamoja na katiba nzuri lazima tuwe na KIONGOZI BORA. Mabadiliko tunayoyaona na tunayoomba yaendelee yanakuja kukiwa kilichobadilika ni kiongozi. Si Katiba. mafisadi ambao tuliwaona tukawataja na wasishugulikiwe sasa wanashughulikiwa bila kubadili Katiba ila kubadili kiongozi. Kumbe pamoja na Katiba nzuri lakini huwezi ku-undermine aina na tabia ya kiongozi.

Kutokana na hilo jiandae kunipinga nitakapoandika kuwa Katiba yetu inastahili kuyabakiza madaraka makubwa ya Rais labda kama ilivyo. na nitajieleza. Huenda tunadanganywa sana kama tulivyowahi kudanganywa pale tunapoambiwa Katiba yetu iwe wazi na democratic kama ya nchi zilizoendelea. Hapana. Tunahitaji bado maamuzi ya udictator kwa manufaa ya mataifa yetu.

Lakini pia hatuwezi kutegemea Katiba kumaliza matatizo yetu na wanaotwambia hivyo wanataka tuimarishe uwezo wetu wa kushindana na mamlaka zenye majeshi na polisi ili tuuane na kupelekana ICC.
Pia tunajua kuwa pamoja na kuwa na Mfumo mzuri Ngazi ya Kimataifa tuliona ulimwengu unaingia vitani Iraq bila ridhaa ya 'katiba' ya Umoja wa mataifa. Kisa 'Mtu'.
Itakuwa mada nzuri. Inakuja
--------------------------------------------
On Thu, 5/26/16, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 26, 2016, 3:01 AM

Kaka
Elisa Muhingo,Ni
kweli mtu--yaani tabia ya mtu ni muhimu katika uongozi 
lakini muhimu zaidi sana katika zama hizi za uutandawazi
wizi na siasa za vyama vingi,   misingi iliyowekwa
Kikatiba ni muhimu sana.  Misingi hiyo inaepusha mtawala au
kikundi ya  watawala kuwa fisadi.  Ufisadi  wa EPA, Deep
Green, Twin Towers, Richmond, Escow, Lugumi and many more
ni ishara kwamba  mkataba kati ya watawala na watawaliwa 
(Katiba ya Nchi)  katika Jamhuri yetu ni dhaifu sana. Ni
ishara mkataba una  matobo makubwa sana yanayowezesha
watawala  kukwapua mali za  wana wa nchi kilaini tena
bila kuchukuliwa hatua zinazoweza kukomesha au kupunguza kwa
kiasi kikubwa ufisadi nchini.  Naye Rais  wetu
Magufuli --ni kweli anaonekana kuwa na dhamira ya
kuirejesha nchi katika nidhamu ya uongozi, lakini
 asipolielewa hili  tatizo la msingi na akalifanyia 
kazi--hata atende mema kiasi gani--tuendako giza litakuwa
nene zaidi  kuhusu ufisadi angamizi ndani  ya Jamhuri yetu
na  mamilioni wataendelea kuumia kwa ufukara.Ananilea
Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com



On Wednesday, May 25,
2016 8:29 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Tunajadili hatma ya
taifa letu. Tunajadili upatikanaji wa viongozi wetu.
Tunawajadili viongozi wetu kuwa na malengo, kuweka misingi
lakini kwa kutokuwa na ushawishi wa nani afuate misingi
ikabomoka. nyerere aliweka msingi Mwinyi akabom oa. mkapa
alilipa madeni JK akaleta mengine kwa sababu mkapa hakuweza
kumuweka atakayeyaendeleza. mada hii inalenga kumshawishi
rais wetu kuliona hilo. Wametajwa watu ambao ameanza nao
ambao akiwalea wanaweza kulinda mafanikio yao. Huo ni
mstakabali wa taifa letu. naona kamala na Mganda mnaenda nje
kidogo na kuna madhara makubwa kusema mambo ya mtu binafsi.
Haikuwa maana yangu wakati naandika mada.
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania
kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 25, 2016, 6:49 PM

Kamala,Mimi si
mwanasiasa. Sikukimbia nchi. I would have
loved to serve
Tanzania but fate had it
that after I graduated my father
died and
the onlyway I could help my 2 little

sisters continue their education is get a job in America
and
bring them here. So you can call me
what you
maybut I do not regret
contributing to my
sister's education
something I would not have been able
to do
if I had returned to Tanzania and

startlooking for a job. Lakini wote

waliokimbia azimio la Arusha walitaka Tanzania iwe kama
ilivyo baada ya Mwinyi kufuta azimio la Arusha
na
ndiosababu wanakula bila kunawa, bila
aibu.em
2016-05-25 6:31
GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
Tumpe muda gan si ndo huu? Yaan wewe bado
tu
unahofu na Magu???

Kukimbia nchi mbona wewe unakaribia marekani?
Wewe n mzalendo kweli????
On
May 25, 2016 1:14
PM, "Emmanuel
Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Kukimbia nchi si
uzalendo. Nina hakika walikimbia kwa sababu
azimio liliziba
mianya ya kutumia nafasi
zao kujitajirisha.em

Sent
from my iPad
On May 25, 2016, at 4:53 AM, J
L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote:


Muganda.

What is the
problem with makonda au polepole na
other
youth working with Magu? Wenye akili walikuwepo zaidi
ya hao labda wa karibu ni Salim Ahmed Salimu,
hayati
sokoine. Tentemeke Sanga, Mzee
Lwizandekwe, Jackson Makweta
to mention but
a few.
Kipindi cha Nyerere watu kadhaa
waliokuwa na
elimu walikimbia nchi kukwepa
Sera ya ujamaa ya kulingana
kila kitu kwa
wote vinginevyo wangeweza kupatkana warith

murua kuliko hawa ambao Nyerere alilazimika kuwafanya
specimen.
On May 25, 2016
11:07
AM, "'Lutgard Kokulinda
Kagaruki' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mtu
anayemlinganisha
Nyerere na hawa watawala
wa sasa, ni dhahiri hakumjua
Nyerere
vizuri!
LKK  
 

    On Wednesday, May
25,
2016 9:04 AM, 'ELISA MUHINGO'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
 


  Bado Magufuli ana nafasi ya kufanya
masahihisho ya
makosa waliyofanya
watangulizi wake. Yatakayomsaidia ni

haya:
1) Kuna makosa yaliyofanyika na
watangulizi wake.
2) magufuli ana akili za
kuyaelewa yote.
3) Ana nia njema na taifa
hili na anajua hawezi kuyatimiza
yote
anayoyawaza kulielekeza taifa hili katika kipindi cha
myaka 10.
4) haya
tunayoyajadili anayasoma na ana akili ya kujua
tunasema nini. Ndiyo maana tunayasema wala
hatusemi
kujifurahisha.



--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

 
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Wednesday, May 25, 2016, 2:19 AM
 
  JKamala,Kwa
sababu naijua CCM. Ilimshinda
  Nyerere
mpaka akalazimika kurudisha multiparty. I am
  essentially an optimist by nature,but not
like
  this. Akina Mkapa, Kikwete, Lowassa
wote walilelewa na
  Nyerere, lakini
walikuwa chui waliovaa ngozi za kondoo.
 
Unaposemawatu walioonekana wenye vichwa
 
walilazimika kumkimbia Nyerere unamaanisha the likes of
  Kambona? What did he do to show
alikuwakichwa? Si
  alifika London akabaki
tu kunywa pombe. Angalia watu ambao
 
Magufuli anaona ni mahiri. Makonda? Na huyu waziri
  aliyefukuzwa kazi karibuni?I am an optimist
who
  has been turned around by realities
on the
  ground.em
 
2016-05-24 12:11 GMT-04:00
  J L Kamala
<jlkamala@gmail.com>:
  Muganda.
  Kwann unaamini
wasioshabikia anachokifanya Magu
 
watawashinda wale wanoshabikia? Pessimistic mbaya hiyo.
  Harafu ujue kosa kubwa alilolifanya
Nyerere
  nikutokuwalea watu makini wa
kimrith. Wale walioonekana
  vichwa
walilazimika kumkimbia Nyerere apart from Magufuri
  anayewakumbatia na kuwalea vyema wakimsaidia
kutekeleza
  dhana yake ya hapa job tu
  On May 24, 2016 6:11
  PM,
"Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
  wrote:
  Elisa,Hatujawahi
kuwa na rais mzuri, makini,
  mzalendo kama
Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
  wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha
Unyerere unafutwa
  nakushindwa. Ndivyo
hivyo itakavyokuwa na
  Magufuli. Sidhani
kila mtu ndani ya CCM anashabikia
 
anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba
  utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa
miaka
  23 lakini katika kipindi cha miaka
miwili tu Mwinyi
alianza
 
kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu
  tuje tupimemaneno yako na ya
  kwangu.em
  2016-05-24 7:10
GMT-04:00
  'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Afadhali ungesema Umagufuli
  ''unaweza kushindwa'' kuliko
kusema
  ''utashindwa'.
Ninatamani tuwepo wote wakati
huo
  tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea
mpaka rais wa
tatu
 
kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu walichoka na
kuonewa
  na watu waliokuwa
ndani ya CCM. Wakafikia kuichukua CCM.

CCM
  imenusulika kwa sababu ya
kusambaratika upinzani. Baada ya
  hapo CCM
kumpata Magufuli akainusulu. Asipopepesuka
  ataendelea kuishi baada yake. Kingine ni
hiki cha kutafuta
  watu na kuanza kuwalea.
Sikumuongeza Makonda kwenye orodha
  ya
wanaolelewa makusudi. Magufuli akilenga kumuweka mrithi
  na akatumia njia zinazotajwa humu, basi
umagufuli utaishi
  baada yake.
 
 
--------------------------------------------
 
  On Tue, 5/24/16,
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
  wrote:
 
 
 
 
 Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
  Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
 
   To: "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
 
   Date: Tuesday, May 24,
2016, 1:20 AM
 
 
 
   Ndani ya
 
   CCM hakuna linaloweza
kutabirika. Unyerere ulishindwa
 
   kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile
Umkapa na
 
 
 Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa
 
   tu.em
 
   2016-05-23 16:30 GMT-04:00
 
   'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 
   Kumbukumbu zizizo
rasmi na zilizo
 
 
 rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia
 
   walishindwa kuwaweka
watu watakaorithi nafasi zao mara
 
baada
 
   yao kumaliza
vipindi vyao.
 
 
 
   Mwalimu Nyerere
inasemekana alishindwa kuhakikisha
 
chaguo
 
   lake
linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi
 
   akaichukua nafasi
hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu
 
   alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.
 
 
 
   Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo
tunafahamu hakuwa
  na
 

   chaguo. Ushawishi wake uliporomoka
sana na karibu
  Mwalimu
 

   Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake
zinazotoka kila
  mara
 

   kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu
Nyerere alifanikiwa
 
 
 kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
  hakufanikiwa
 
   kumpachika chaguo lake.
 

 
 
 
 Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana
alikuwa
  na
 
   chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa
rais kumjua.
 
   Lakini
kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo
  lake.
 
 
 Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa
  alitoa
 
   hotuba iliyoashilia anammaanisha JK,
lakini bado hakuwa
 
 
 chaguo lake.
 
 
 
   Ndugu JK
ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila
 
   kificho kutaka
kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
 
nimekosea
 
 
 nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo
 
   halikuwa la JK peke
yake bali lilikuwa la familia yake.
 
   Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK
hakurithiwa
  na
 
   chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa
aliyefanikiwa
 
 
 kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
  Magufuli
 
   alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa
Mkapa.
 
 
 
   Dr. Magufuli ndiyo
anaaza. Ana myaka minne iliyosalia
 
lakini
 
   aweza
kuendelea mpaka myaka kumi.
 
 
 
   Dr
Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako
  kwa
 
 
 sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:
 
 
 
 
 1)      Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa
  Mwinyi
 
   haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi
mkubwa kuliko
 
 
 Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
  kuwa
 
 
 na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
  kubadili
 
   katiba ili aendelee japo hawezi kukubali.
Hii inampa
  nafasi
 
   ya kuwapendekezea watanzania nani awe
mrithi wake.
 
 
 
 
 
 
 
 
 2)      Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa
  na
 
 
 idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa
  atakuwa
 
   mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo
Naibu Speaker
 
 
 alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza
  kugombea.
 
   Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi
ngumu kutokuwa
  chaguo
 

   lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa
Tamisemi Suleiman
  Daffo.
 
   Ukimuangalia sana,
hatofautiani na Magufuli katika
  mambo
 
   Fulani. Matamshi yake
hayaonyeshi ubandia au uigizaji
 
   wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko
analelewa. (3)
  Wakati
 

   watu waliposema Humphrey Polepole
anapigania ukuu wa
  Wilaya
 
   niliwashangaa. Na
naamini Polepole hakuwa na haraka ya
 
   kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa
kupigania
  angeutafuta
 

   uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa
nafasi ambayo
  kimuonekano
 
   ni ya chini kwake
sitafanya kosa nikisema amepelekwa
 
kwenye
 
   nafasi hiyo
ya chini ili apande polepole na kufikia
 
2025
 
   atakuwa
ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana
  na
 
 
 labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa
mwendo
  huu
 
   Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata
chama cha
  upinzani
 
   ili mradi kufika siku zile atakayepita awe
mmoja kati
  ya
 
   walengwa wake.
 
 
 
 
 Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
  umagufuli
 
   utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo
nitashangaa
  sana
 
   kama hataanza.
 
 
 
 
 
 
 
    --
 
 
 
 
 
 
 
    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
 
 
 
 
     
 
 
 
 
 
 
 
    Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
 
 
 
 
 
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 
   Utapata Email ya
 
 
 
    kudhibitisha ukishatuma
 
 
 
 
 
 
 
     
 
 
 
 
 
 
 
    Disclaimer:
 
 
 
 
 
 
 
    Everyone posting to
this Forum bears the sole
 
   responsibility
 
 
 
 
  for any legal consequences of his or her postings,
  and
 
 
 hence
 
 
 
    statements and facts
must be presented responsibly.
 
   Your
 
 
 
 
  continued membership signifies that you agree to this
 
 
 
    disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
 
 
 Guidelines.
 
 
 
 
 
 
 
 
  ---
 
 
 
 
 
 
 
 
  You received this message because you are subscribed
  to
 
 
 the
 
 
 
    Google Groups
"Wanabidii" group.
 
 
 
 
 
 
 
    To unsubscribe from this group and stop
receiving
 
   emails
 
 
 
    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 
 
 
 
 
 
    For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
 

 
 
 

 
 
 

   --
 
 
 
 
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
 
 
 
 
   Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
 
   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 
   Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
 
 
 
 
 
 
 
   Disclaimer:
 
 
 
 
 Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility
 
   for any legal consequences of his or her
postings, and
  hence
 

   statements and facts must be presented
responsibly.
  Your
 
   continued membership signifies that you
agree to this
 
 
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 
   Guidelines.
 
 
 
   ---
 
 

 
   You received this
message because you are subscribed to
 
the
 
   Google Groups
"Wanabidii" group.
 
 
 
   To
unsubscribe from this group and stop receiving
  emails
 
   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 
 
   For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
   --
 
 

 
   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
    
 
 

 
   Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
 
   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
   kudhibitisha ukishatuma
 

 
 
 
  
 
 
 
   Disclaimer:
 
 
 
   Everyone posting to this Forum bears the
sole
  responsibility
 

   for any legal consequences of his or
her postings, and
  hence
 
   statements and facts
must be presented responsibly.
  Your
 
   continued membership
signifies that you agree to this
 
   disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
 
 
 Guidelines.
 
 
 
   ---
 

 
 
 
 You received this message because you are subscribed to
  the
 
 
 Google Groups "Wanabidii" group.
 
 
 
   To unsubscribe from this group and stop
receiving
  emails
 
   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 
 
   For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
--
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
 
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts
must be presented responsibly. Your
 
continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
  Guidelines.
 
  ---
 
 
You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
 
  --

 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
   
 

  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts
must be presented responsibly. Your
 
continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
  Guidelines.
 
  ---
 
 
You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
  --
 

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
   
 

  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts
must be presented responsibly. Your
 
continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
  Guidelines.
 
  ---
 
 
You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
 
  --

 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
  Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
  statements and facts must be presented
responsibly. Your
  continued membership
signifies that you agree to this
 
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
 
You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

     




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment