Wednesday, 25 May 2016

Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

Emmanuel,

Kamala asikupe taabu; sote alishatutukana, ni kumdharau. Kafungiwa mtaa wa pili, naona kahamia huku! Anatumiaga lugha za kuudhi kuua mijadala asiyoipenda. Achana naye! Hana heshima, hajui mdogo wala mkubwa wake na ndo sababu kafungiwa kule kwingine!

LKK
 
On Wednesday, May 25, 2016 8:29 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Lutgard,
Asante. I did not want to get personal, ila Kamala naona ameona njia pekee ya kupingana na mimi ni kwenda personal.
I have nothing to hide and I am proud of my contribution to my family. Nimejisomesha mwenyewe chuoni kwa kufanya kazi
usiku na hata dada yangu alikuwa akifanya kazi ya waitress lakini akaweza kujilipia masomo ya chuo. So I have nothing to hide
and nothing to be ashamed of.
em

2016-05-25 12:56 GMT-04:00 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Emmanuel,

Wako wengi, hata Dr Kyaruzi aliombwa aache kazi yake nzuri Ulaya aje kutumikia nchi; mwanzoni alikataa, eti Nyerere akamwambia amwambie mtu mwingine wa kufanya ile kazi, ikabidi aje! Akina Al Noor Khasam.. mbona wako wengi tu?

LKK
 
On Wednesday, May 25, 2016 6:41 PM, 'ipyana75' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Very sorry.
Hii imekuja bila kutarajia.

Reuben

Sent from my Huawei Mobile

'ipyana75' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Sent from my Huawei Mobile

Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Kukimbia nchi si uzalendo. Nina hakika walikimbia kwa sababu azimio liliziba mianya ya kutumia nafasi zao kujitajirisha.
em

Sent from my iPad

On May 25, 2016, at 4:53 AM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

Muganda.
What is the problem with makonda au polepole na other youth working with Magu? Wenye akili walikuwepo zaidi ya hao labda wa karibu ni Salim Ahmed Salimu, hayati sokoine. Tentemeke Sanga, Mzee Lwizandekwe, Jackson Makweta to mention but a few.
Kipindi cha Nyerere watu kadhaa waliokuwa na elimu walikimbia nchi kukwepa Sera ya ujamaa ya kulingana kila kitu kwa wote vinginevyo wangeweza kupatkana warith murua kuliko hawa ambao Nyerere alilazimika kuwafanya specimen.
On May 25, 2016 11:07 AM, "'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mtu anayemlinganisha Nyerere na hawa watawala wa sasa, ni dhahiri hakumjua Nyerere vizuri!

LKK 
 
On Wednesday, May 25, 2016 9:04 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Bado Magufuli ana nafasi ya kufanya masahihisho ya makosa waliyofanya watangulizi wake. Yatakayomsaidia ni haya:
1) Kuna makosa yaliyofanyika na watangulizi wake.
2) magufuli ana akili za kuyaelewa yote.
3) Ana nia njema na taifa hili na anajua hawezi kuyatimiza yote anayoyawaza kulielekeza taifa hili katika kipindi cha myaka 10.
4) haya tunayoyajadili anayasoma na ana akili ya kujua tunasema nini. Ndiyo maana tunayasema wala hatusemi kujifurahisha.

--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 25, 2016, 2:19 AM

JKamala,Kwa sababu naijua CCM. Ilimshinda
Nyerere mpaka akalazimika kurudisha multiparty. I am
essentially an optimist by nature,but not like
this. Akina Mkapa, Kikwete, Lowassa wote walilelewa na
Nyerere, lakini walikuwa chui waliovaa ngozi za kondoo.
Unaposemawatu walioonekana wenye vichwa
walilazimika kumkimbia Nyerere unamaanisha the likes of
Kambona? What did he do to show alikuwakichwa? Si
alifika London akabaki tu kunywa pombe. Angalia watu ambao
Magufuli anaona ni mahiri. Makonda? Na huyu waziri
aliyefukuzwa kazi karibuni?I am an optimist who
has been turned around by realities on the
ground.em
2016-05-24 12:11 GMT-04:00
J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
Muganda.
Kwann unaamini wasioshabikia anachokifanya Magu
watawashinda wale wanoshabikia? Pessimistic mbaya hiyo.
Harafu ujue kosa kubwa alilolifanya Nyerere
nikutokuwalea watu makini wa kimrith. Wale walioonekana
vichwa walilazimika kumkimbia Nyerere apart from Magufuri
anayewakumbatia na kuwalea vyema wakimsaidia kutekeleza
dhana yake ya hapa job tu
On May 24, 2016 6:11
PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Elisa,Hatujawahi kuwa na rais mzuri, makini,
mzalendo kama Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha Unyerere unafutwa
nakushindwa. Ndivyo hivyo itakavyokuwa na
Magufuli. Sidhani kila mtu ndani ya CCM anashabikia
anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba
utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa miaka
23 lakini katika kipindi cha miaka miwili tu Mwinyi alianza
kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu
tuje tupimemaneno yako na ya
kwangu.em
2016-05-24 7:10 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Afadhali ungesema Umagufuli
''unaweza kushindwa'' kuliko kusema
''utashindwa'. Ninatamani tuwepo wote wakati huo
tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea mpaka rais wa tatu
kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu walichoka na kuonewa
na watu waliokuwa ndani ya CCM. Wakafikia kuichukua CCM. CCM
imenusulika kwa sababu ya kusambaratika upinzani. Baada ya
hapo CCM kumpata Magufuli akainusulu. Asipopepesuka
ataendelea kuishi baada yake. Kingine ni hiki cha kutafuta
watu na kuanza kuwalea. Sikumuongeza Makonda kwenye orodha
ya wanaolelewa makusudi. Magufuli akilenga kumuweka mrithi
na akatumia njia zinazotajwa humu, basi umagufuli utaishi
baada yake.

--------------------------------------------

On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Tuesday, May 24, 2016, 1:20 AM

 Ndani ya

 CCM hakuna linaloweza kutabirika. Unyerere ulishindwa

 kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile Umkapa na

 Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa

 tu.em

 2016-05-23 16:30 GMT-04:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Kumbukumbu zizizo rasmi na zilizo

 rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia

 walishindwa kuwaweka watu watakaorithi nafasi zao mara
baada

 yao kumaliza vipindi vyao.

 Mwalimu Nyerere inasemekana alishindwa kuhakikisha
chaguo

 lake linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi

 akaichukua nafasi hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu

 alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.

 Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo tunafahamu hakuwa
na

 chaguo. Ushawishi wake uliporomoka sana na karibu
Mwalimu

 Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake zinazotoka kila
mara

 kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu Nyerere alifanikiwa

 kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
hakufanikiwa

 kumpachika chaguo lake.

 Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana alikuwa
na

 chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa rais kumjua.

 Lakini kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo
lake.

 Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa
alitoa

 hotuba iliyoashilia anammaanisha JK, lakini bado hakuwa

 chaguo lake.

 Ndugu JK ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila

 kificho kutaka kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
nimekosea

 nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo

 halikuwa la JK peke yake bali lilikuwa la familia yake.

 Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK hakurithiwa
na

 chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa aliyefanikiwa

 kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
Magufuli

 alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa Mkapa.

 Dr. Magufuli ndiyo anaaza. Ana myaka minne iliyosalia
lakini

 aweza kuendelea mpaka myaka kumi.

 Dr Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako
kwa

 sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:

 1)      Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa
Mwinyi

 haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi mkubwa kuliko

 Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
kuwa

 na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
kubadili

 katiba ili aendelee japo hawezi kukubali. Hii inampa
nafasi

 ya kuwapendekezea watanzania nani awe mrithi wake.

 2)      Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa
na

 idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa
atakuwa

 mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo Naibu Speaker

 alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza
kugombea.

 Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi ngumu kutokuwa
chaguo

 lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman
Daffo.

 Ukimuangalia sana, hatofautiani na Magufuli katika
mambo

 Fulani. Matamshi yake hayaonyeshi ubandia au uigizaji

 wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko analelewa. (3)
Wakati

 watu waliposema Humphrey Polepole anapigania ukuu wa
Wilaya

 niliwashangaa. Na naamini Polepole hakuwa na haraka ya

 kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa kupigania
angeutafuta

 uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa nafasi ambayo
kimuonekano

 ni ya chini kwake sitafanya kosa nikisema amepelekwa
kwenye

 nafasi hiyo ya chini ili apande polepole na kufikia
2025

 atakuwa ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana
na

 labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa mwendo
huu

 Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata chama cha
upinzani

 ili mradi kufika siku zile atakayepita awe mmoja kati
ya

 walengwa wake.

 Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
umagufuli

 utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo nitashangaa
sana

 kama hataanza.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment