Points (fom both sides) taken. Let us go ahead with the HOJA: Magufuli kufanikiwa kumuacha rais wa chaguo lake hivyo kuimarisha na kuendeleza mafanikio atakayokuwa ameyafikiwa (kama hataharibu).
--------------------------------------------
On Thu, 5/26/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 26, 2016, 7:04 AM
Muganda.
Nilichokuhoji na ulichonijibu mbona n mjadala
mzuri tu wenye kuelimisha sasa huyu mama anaita matusi.
Mbona nimekuhoji na wewe ukanijibu vyema nikaelimika? Eti
Muganda kwenye swali langu la wewe kuish marekan umeona tusi
lolote mkuu? Is there any person who should decide for you
kwamba umetukanwa?.
Kwenye mijadala naamini katk kuhoji bila
kuangalia eti umri. Nimekulia kwenye jamii ambayo kumhoji
mkubwa ni tusi linalostahiri adhabu mbaya sana. Kwa mfano
niliwahi kuhoj mchungaji kwenda kutibiwa Hosp wakat
anatuombea tusiugue/tupone nikatwisha viboko badala ya
kujibiwa.
Kimsingi sijaporomosha tusi lolote kwako bwana
Muganda na sjjafukuzwa jukwaa hili kwa kumtusi mtu. Naomba
nieleweke hivyo usilishwe maneno mkuu
On May 26, 2016 3:01 AM,
"'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kaka
Elisa Muhingo,Ni kweli mtu--yaani tabia
ya mtu ni muhimu katika uongozi lakini muhimu zaidi sana
katika zama hizi za uutandawazi wizi na siasa za vyama
vingi, misingi iliyowekwa Kikatiba ni muhimu sana.
Misingi hiyo inaepusha mtawala au kikundi ya watawala kuwa
fisadi. Ufisadi wa EPA, Deep Green, Twin Towers,
Richmond, Escow, Lugumi and many more ni ishara kwamba
mkataba kati ya watawala na watawaliwa (Katiba ya Nchi)
katika Jamhuri yetu ni dhaifu sana. Ni ishara mkataba una
matobo makubwa sana yanayowezesha watawala kukwapua mali
za wana wa nchi kilaini tena bila kuchukuliwa hatua
zinazoweza kukomesha au kupunguza kwa kiasi kikubwa ufisadi
nchini. Naye Rais wetu Magufuli --ni kweli anaonekana
kuwa na dhamira ya kuirejesha nchi katika nidhamu ya
uongozi, lakini asipolielewa hili tatizo la msingi na
akalifanyia kazi--hata atende mema kiasi gani--tuendako
giza litakuwa nene zaidi kuhusu ufisadi angamizi ndani
ya Jamhuri yetu na mamilioni wataendelea kuumia kwa
ufukara.Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
On Wednesday, May 25,
2016 8:29 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Tunajadili hatma ya taifa letu.
Tunajadili upatikanaji wa viongozi wetu. Tunawajadili
viongozi wetu kuwa na malengo, kuweka misingi lakini kwa
kutokuwa na ushawishi wa nani afuate misingi ikabomoka.
nyerere aliweka msingi Mwinyi akabom oa. mkapa alilipa
madeni JK akaleta mengine kwa sababu mkapa hakuweza kumuweka
atakayeyaendeleza. mada hii inalenga kumshawishi rais wetu
kuliona hilo. Wametajwa watu ambao ameanza nao ambao
akiwalea wanaweza kulinda mafanikio yao. Huo ni mstakabali
wa taifa letu. naona kamala na Mganda mnaenda nje kidogo na
kuna madhara makubwa kusema mambo ya mtu binafsi. Haikuwa
maana yangu wakati naandika mada.
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania
kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 25, 2016, 6:49 PM
Kamala,Mimi si
mwanasiasa. Sikukimbia nchi. I would have
loved to serve
Tanzania but fate had it
that after I graduated my father
died and
the onlyway I could help my 2 little
sisters continue their education is get a job in America
and
bring them here. So you can call me
what you
maybut I do not regret
contributing to my
sister's education
something I would not have been able
to do
if I had returned to Tanzania and
startlooking for a job. Lakini wote
waliokimbia azimio la Arusha walitaka Tanzania iwe kama
ilivyo baada ya Mwinyi kufuta azimio la Arusha
na
ndiosababu wanakula bila kunawa, bila
aibu.em
2016-05-25 6:31
GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
Tumpe muda gan si ndo huu? Yaan wewe bado
tu
unahofu na Magu???
Kukimbia nchi mbona wewe unakaribia marekani?
Wewe n mzalendo kweli????
On
May 25, 2016 1:14
PM, "Emmanuel
Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Kukimbia nchi si
uzalendo. Nina hakika walikimbia kwa sababu
azimio liliziba
mianya ya kutumia nafasi
zao kujitajirisha.em
Sent
from my iPad
On May 25, 2016, at 4:53 AM, J
L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote:
Muganda.
What is the
problem with makonda au polepole na
other
youth working with Magu? Wenye akili walikuwepo zaidi
ya hao labda wa karibu ni Salim Ahmed Salimu,
hayati
sokoine. Tentemeke Sanga, Mzee
Lwizandekwe, Jackson Makweta
to mention but
a few.
Kipindi cha Nyerere watu kadhaa
waliokuwa na
elimu walikimbia nchi kukwepa
Sera ya ujamaa ya kulingana
kila kitu kwa
wote vinginevyo wangeweza kupatkana warith
murua kuliko hawa ambao Nyerere alilazimika kuwafanya
specimen.
On May 25, 2016
11:07
AM, "'Lutgard Kokulinda
Kagaruki' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mtu
anayemlinganisha
Nyerere na hawa watawala
wa sasa, ni dhahiri hakumjua
Nyerere
vizuri!
LKK
On Wednesday, May
25,
2016 9:04 AM, 'ELISA MUHINGO'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Bado Magufuli ana nafasi ya kufanya
masahihisho ya
makosa waliyofanya
watangulizi wake. Yatakayomsaidia ni
haya:
1) Kuna makosa yaliyofanyika na
watangulizi wake.
2) magufuli ana akili za
kuyaelewa yote.
3) Ana nia njema na taifa
hili na anajua hawezi kuyatimiza
yote
anayoyawaza kulielekeza taifa hili katika kipindi cha
myaka 10.
4) haya
tunayoyajadili anayasoma na ana akili ya kujua
tunasema nini. Ndiyo maana tunayasema wala
hatusemi
kujifurahisha.
--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 25, 2016, 2:19 AM
JKamala,Kwa
sababu naijua CCM. Ilimshinda
Nyerere
mpaka akalazimika kurudisha multiparty. I am
essentially an optimist by nature,but not
like
this. Akina Mkapa, Kikwete, Lowassa
wote walilelewa na
Nyerere, lakini
walikuwa chui waliovaa ngozi za kondoo.
Unaposemawatu walioonekana wenye vichwa
walilazimika kumkimbia Nyerere unamaanisha the likes of
Kambona? What did he do to show
alikuwakichwa? Si
alifika London akabaki
tu kunywa pombe. Angalia watu ambao
Magufuli anaona ni mahiri. Makonda? Na huyu waziri
aliyefukuzwa kazi karibuni?I am an optimist
who
has been turned around by realities
on the
ground.em
2016-05-24 12:11 GMT-04:00
J L Kamala
<jlkamala@gmail.com>:
Muganda.
Kwann unaamini
wasioshabikia anachokifanya Magu
watawashinda wale wanoshabikia? Pessimistic mbaya hiyo.
Harafu ujue kosa kubwa alilolifanya
Nyerere
nikutokuwalea watu makini wa
kimrith. Wale walioonekana
vichwa
walilazimika kumkimbia Nyerere apart from Magufuri
anayewakumbatia na kuwalea vyema wakimsaidia
kutekeleza
dhana yake ya hapa job tu
On May 24, 2016 6:11
PM,
"Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Elisa,Hatujawahi
kuwa na rais mzuri, makini,
mzalendo kama
Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha
Unyerere unafutwa
nakushindwa. Ndivyo
hivyo itakavyokuwa na
Magufuli. Sidhani
kila mtu ndani ya CCM anashabikia
anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba
utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa
miaka
23 lakini katika kipindi cha miaka
miwili tu Mwinyi
alianza
kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu
tuje tupimemaneno yako na ya
kwangu.em
2016-05-24 7:10
GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Afadhali ungesema Umagufuli
''unaweza kushindwa'' kuliko
kusema
''utashindwa'.
Ninatamani tuwepo wote wakati
huo
tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea
mpaka rais wa
tatu
kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu walichoka na
kuonewa
na watu waliokuwa
ndani ya CCM. Wakafikia kuichukua CCM.
CCM
imenusulika kwa sababu ya
kusambaratika upinzani. Baada ya
hapo CCM
kumpata Magufuli akainusulu. Asipopepesuka
ataendelea kuishi baada yake. Kingine ni
hiki cha kutafuta
watu na kuanza kuwalea.
Sikumuongeza Makonda kwenye orodha
ya
wanaolelewa makusudi. Magufuli akilenga kumuweka mrithi
na akatumia njia zinazotajwa humu, basi
umagufuli utaishi
baada yake.
--------------------------------------------
On Tue, 5/24/16,
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 24,
2016, 1:20 AM
Ndani ya
CCM hakuna linaloweza
kutabirika. Unyerere ulishindwa
kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile
Umkapa na
Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa
tu.em
2016-05-23 16:30 GMT-04:00
'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kumbukumbu zizizo
rasmi na zilizo
rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia
walishindwa kuwaweka
watu watakaorithi nafasi zao mara
baada
yao kumaliza
vipindi vyao.
Mwalimu Nyerere
inasemekana alishindwa kuhakikisha
chaguo
lake
linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi
akaichukua nafasi
hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu
alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.
Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo
tunafahamu hakuwa
na
chaguo. Ushawishi wake uliporomoka
sana na karibu
Mwalimu
Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake
zinazotoka kila
mara
kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu
Nyerere alifanikiwa
kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
hakufanikiwa
kumpachika chaguo lake.
Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana
alikuwa
na
chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa
rais kumjua.
Lakini
kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo
lake.
Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa
alitoa
hotuba iliyoashilia anammaanisha JK,
lakini bado hakuwa
chaguo lake.
Ndugu JK
ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila
kificho kutaka
kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
nimekosea
nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo
halikuwa la JK peke
yake bali lilikuwa la familia yake.
Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK
hakurithiwa
na
chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa
aliyefanikiwa
kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
Magufuli
alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa
Mkapa.
Dr. Magufuli ndiyo
anaaza. Ana myaka minne iliyosalia
lakini
aweza
kuendelea mpaka myaka kumi.
Dr
Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako
kwa
sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:
1) Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa
Mwinyi
haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi
mkubwa kuliko
Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
kuwa
na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
kubadili
katiba ili aendelee japo hawezi kukubali.
Hii inampa
nafasi
ya kuwapendekezea watanzania nani awe
mrithi wake.
2) Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa
na
idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa
atakuwa
mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo
Naibu Speaker
alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza
kugombea.
Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi
ngumu kutokuwa
chaguo
lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa
Tamisemi Suleiman
Daffo.
Ukimuangalia sana,
hatofautiani na Magufuli katika
mambo
Fulani. Matamshi yake
hayaonyeshi ubandia au uigizaji
wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko
analelewa. (3)
Wakati
watu waliposema Humphrey Polepole
anapigania ukuu wa
Wilaya
niliwashangaa. Na
naamini Polepole hakuwa na haraka ya
kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa
kupigania
angeutafuta
uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa
nafasi ambayo
kimuonekano
ni ya chini kwake
sitafanya kosa nikisema amepelekwa
kwenye
nafasi hiyo
ya chini ili apande polepole na kufikia
2025
atakuwa
ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana
na
labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa
mwendo
huu
Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata
chama cha
upinzani
ili mradi kufika siku zile atakayepita awe
mmoja kati
ya
walengwa wake.
Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
umagufuli
utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo
nitashangaa
sana
kama hataanza.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or
her postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment