Wednesday, 18 May 2016

Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?

Masanja. Hakuna ukandamizaji hapa.
Rais huapa kulinda katiba. Jiulize kuilinda dhidi ya nani? Nani adui wa katiba hiyo? Kama kupitia demokrasia Nchi inaweza kuonekana iko mashakani. Haiwi umiliki wa nchi kwa wale walio na mashaka na wenzao ambao wanaonekana kutoijali nchi inayolindwa na Katiba.
Ndiyo maana watu wanaotufundisha demokrasia kwao kuna mambo mnaweza kubishana na kupingana lakini kuna mambo hayana mjadala. Wakija kwetu wanatusaidia kuitafsiri demokrasia kiuharibifu na kama wengine tukikataa hatulazimishi kuwa unatengenezwa uhati-miliki. Mengine tunaweza kuombana samahani lakini si yale ninayoyataja. Kuna kazi kubwa kuhakikisha kila mtu anaongea kwa nia njema ya nchi. wapo wanaojua wanachokifanya lakini wapo wanaoburuzwa. Wote lazima kujilinda nao.
--------------------------------------------
On Wed, 5/18/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 18, 2016, 2:09 PM

Tatizo lako wewe na wengine wa aina
yako, sana sana wa chama fulani mko kama mna hati miliki ya
Tanzania na mawazo yenu ndiyo sawa. Wengine wakiongea
wanakuwa kama wanawaharibia, bado mko kwenye chama kimoja,
hiyo ndiyo shida. Acha wabunge watoe hoja na hizo hoja
zijibiwe bungeni, ndiyo mahara pake. Kuwaona upinzani kwamba
hawana hoja hayo ni mawazo yako. Mimi nawaona wana hoja na
wanahitaji kukaza kamba kwa vile upinzani bado haujakubalika
sehemu nyingi. Hoja za ufisadi kuongelewa kwenye Wizara ya
mamabo ya ndani ni mahala pake. Kama unajidanganya kwamba
muda ukipita hoja ya ufisadi inakwisha fikiria
upya.
Wapinzani
hawataanguka hata kama wewe unapendelea iwe hivyo. Ili nchi
yetu iendelee, hitaji mojawapo ni upinzani imara ambao mimi
nauona unajijenga. Tatizo ni kwamba hata wewe unazungumzia
maendeleo huko ukiomba upinzani ufe, hiyo mimi naiona kama
contradiction.

2016-05-18 11:49 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sasa
nitkuuliza swali au maswali:

Kwa sababu na mbunge huyo ana cheo ambacho nikikitaja
inaweza kutafsiriwa kuwa ni tusi (au labda yeye hajakifikia
maana ni mara ya kwanza kwa hiyo tumpe chake-MJINGA), basi
na hawa wanapunguziwa heshima ya kuleta hoja isiyo ndani ya
agenda yetu? Au kwa kuwa tunao watu wa namna hizi basi
tuachane na vipaumbele vyetu maana wabunge wetu wamezoea
kujadiri off-cause? Bunge la Marekani au uingereza likianza
kujadili mambo yasiyosaidia kujenga barabara wana haki maana
wao wanazo barabara tayari. Wa kwetu wakifanya hivyo
tunatamani kutokuwa nao.

Ndiyo maana mimi nafikiri wanastahili kuona Upepo unavumaje
waende nao (Mjengwa Blog). Kinyume chake utawaangusha.
Wananchi wanaoja mambo fulani. Mataifa ya nje wanaoipenda na
wasioipenda Tanzania wanaona. Wabunge wetu kutoona ni hatari
kuliko maadui wetu kuona hicho kinachoonwa na wengi. Wabunge
kuendelea kuokoteza okoteza cha kumsema magufuli labda kwa
kudhani kuwa wanaweza kufika mahala wakam-Impeach, ni
kusubiri kuwa impeached wao. Miwani yangu inaona hilo

--------------------------------------------

On Wed, 5/18/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO
NGAPI KICHWANI?

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Wednesday, May 18, 2016, 9:59 AM

 Elisa hicho

 unachokisema si rahisi kukipata, nadhani hauko fair

 unapozungumzia upinzani kwa dhana hiyo ya kwamba
wanapoteza

 muda wa kujadili hoja za maana. Hata hivyo kwa vile ni

 mtazamo wako inabidi nikuheshimu kwa hilo. Mimi kwa
upande

 wangu naona wabunge wa chama tawala hawana hoja zenye

 mashiko, hoja uliyoitoa ya kutumia muda wa bunge vibaya

 nadhani ingekuwa kwa upande huo. Hebu tazama muda
aliotumia

 yule mbunge kutoka kanda maalumu kuunga mkono hoja ya

 kutooneshwa matangazo ya bunge live, unafikiri hoja
hiyo

 ilikuwa na mashiko kweli?? labda ungekuwa umeanza na

 huyo.

 2016-05-18 9:40 GMT+03:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Masanja

 sidhani kuwa sikukuelewa. lakini hebu ona Hoja ya mtu

 aliyetekeleza sera ya serikali ya mkapa ya kuuza nyumba

 inakujaje katika wizara hii? Hapo kitu gani kinaibuliwa
na

 kinakuja kusaidia agenda gani.

 Tuna nyenzo kidogo. Moja ya nyenzo zetu ni muda na
posho

 tunazowalipa wabunge. Kama hoja yetu ni ya upungufu wa

 chakula. Tunataka sana hoja zinazo-focus kwenye hoja
yetu

 Mtu akaibua kitu tofauti ambacho kitatumia muda
kukijadili

 na hakiwezi kabisa kuchangia safari yetu ya
kujitosheleza

 kwa chakula huyu mtu akiitwa cheo chake ni matusi? Kama

 ndiyo basi naomba samahani.

 Lakini taifa limekuwa na shida ya ufisadi ambao
umepelekea

 utajiri wa taifa kutonufansha watanzania. maneno mengi

 yamesmwa na upinzani umetoa mchango mkubwa katika
kipindi

 kilichopita kiasi kiitikadi watu wengi kuelewa mchango
wa

 upinzani. Inatia shaka kuwa upinzani sasa unaelekea api

 kwani baada ya kumpata rais anayeyaangalia yale
waliyoyaibua

 wanaanza na kupingana nayo. Mtu unatia shaka kama ni
wao

 walikuwa wanayaibua aau ni wale waliohama aukujitoa?
Hili

 nalo sio tusi.

 --------------------------------------------

 On Wed, 5/18/16, Ezekiel

 Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>

 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO

 NGAPI KICHWANI?

  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Cc: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,

 Wanazuoni@yahoogroups.com

  Date: Wednesday, May 18, 2016, 9:20 AM

  Kaka,

  umejieleza kweli kweli, lakini umeishia kutukana na

 kujikita

  kwenye itikadi. Wabunge wa upinzani wanaibua hoja, na

 ndiyo

  kazi yao. Ni jukumu la upande wa serikali kujibu hoja

 na

  kufanya marekebisho yanayohitajika au kuweka msimamo.

  kinachoendelea sasa huko bungeni ni kwamba Bunge

 limeungana

  na serikali kuhakikisha mambo yanapita. Hiyo

 inawezekana

  kutokana na wingi walio nao, lakini si afya kwa
taifa.

  Ingekuwa bora kama hoja nzito zinazoibuliwa na
upinzani

  zingepata majibu badala ya kuzimwa na kutupiliwa
mbali

 kama

  vile zimetolewa na watu kuoka nchi za nje.
Kinachotokea

 ni

  kwamba msimamo sahihi ni ule wa serikali na wabunge
wa

 CCM,

  msimamo usio sahihi ni wowote ule unaotokea upande wa

  upinzani, sidhani kama hiyo ndiyo democrasia ya vyama

 vingi

  tuliyoikubali.

  Hata

  maandishi yako yanafikia kutukana, ukiona hivyo, huo

 ndio

  ukomo wako wa kufikiria, hii siyo sawa kabisa. Acha

 hoja

  ijibiwe kwa hoja. Hata hayo uliyoyaeleza kwenye
andiko

 lako

  na ukaishia kutukana mbona yamenyoka tu! Walisema
bajeti

 ni

  kubwa sana kama caution kwa serikali ijipange vizuri

 kwenye

  makusanyo ya kodi na kuangalia matumizi. Bajeti za
wizara

 ni

  suala la mtazamo tu kwamba sekta ipi ni muhimu zaidi
ya

  nyingine na ipi inahitaji ipewe bajeti kubwa kuliko

  nyingine. Sasa wewe ukisikia hivyo

  unatukana. 

  2016-05-17 22:58 GMT+03:00

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  Siasa si mchezo wa vichekesho. Siasa ni kazi maalum

 yenye

  mchango wake katika maendeleo ya taifa letu kama

 madaktari,

  mabwanashamba, wanajeshi nakadhalika. Tunapokwenda

 kwenye

  uchaguzi tunakuwa tunatafuta watu watakaofanya kazi

 maalum

  kwa maendeleo ya taifa letu.

  Tumechagua wabunge ili waweze kufanya kazi kama
wabunge

 na

  wawakilishi wa wananchi katika kuisimamia, kuishauri

  serikali.

  Tumeletewa mfumo wa siasa za vyama vingi na kwa kweli

 wakati

  wa awamu iliyopita pale serikali ilipokuwa imelala

 tumeona

  manufaa yake.

  Haya. 2015 tukafanya uchaguzi. Tukampata rais

 anayeyaangalia

  matatizo ya wananchi kwa makusudi ya kuyatatua.

  Tumelitengeneza bunge. Tukaongeza idadi ya wabunge wa

 vyama

  vya upinzani. Tukatarajia kuona nguvu ya upinzani

 ikiisaidia

  serikali hii inayoonekana kuyaangalia matatizo

 yanayogusa

  wananchi.

  Ninaanza kuwa na matatizo na mambo ninayoyaona

 yakiendelea

  bungeni. Kuna wabunge hawaoni ulimwengu unachoona

 kikifanywa

  na serikali. Ndani na nje ya Tanzania kila mwenye
akili

  kamili anaona serikali ya Magufuli inachokifanya na

 kila

  kona anapongezwa.

  Niongelee moja kama sio mawili: Serikali ilipotangaza

 kuwa

  mwaka ujao wa fedha (2016/17) inatarajia kutumia
fedha

 za

  kitanzania Trilion 29 kutoka trillion 22 za mwaka

 unaoisha.

  Viongozi wetu walisimama kidete kuikatalia serikali

 kuwa

  haiwezi kuzikusanya fedha hizo kwa hiyo  bajeti hii
ni

  kiini macho. Binafsi nilielewa wanalolisema japo

 niliielewa

  serikali kuwa kwa juhudi inazoonyesha za kukusanya
kodi

 na

  kubana matumizi inaweza kuzifikisha. Kilichonitisha
ni

 pale

  wakati wabunge hao hao wakijadili bajeti za wizara

 wanaibuka

  na kutaka budget za wizara zisipitishwe kwa sababu

 wizara

  zimetengewa fedha kidogo. Nashindwa kuwaelewa

 wawakilishi

  wetu. Wanapendekeza wizara ziongeze fedha (kwa kuwa

  hazitoshi) ambazo zinatokana na budget wanayotaka

 ipunguzwe

  (kwa kuwa haziwezi kupatikana). Kuna bongo ngapi

 vichwani

  mwao? Sielewi. Lakini mbunge mwingine ambaye

 anaheshimika

  sana anasema wabunge watamkumbuka JK. Watamkumbuka
kwa

  sababu hakuwahi kuwazuia kumsema. Kazi ya bunge ni

 kumsema

  rais au kuisaidia serikali? Mbunge huyo anasema hivyo

 kwa

  sababu bunge limemzuia kumbambikiza Magufuli ujinga

 kuwa

  aliuza nyumba za serikali. Wabunge hawajui kuwa

 Magufuli

  hakuwahi kuuza nyumba hizo bali serikali iliuza
nyumba

 zake

  kwa uamuzi wake na Waziri (Magufuli) akatekeleza
uamuzi

 wa

  serikali. Anaambiwa aondoe neon magufuli na aweke
neon

  Serikali nanasema hawezi kusoma maoni ya kambi ya

 upinzani.

  Upumbavu huu naulinganisha na ule ambao watu wazima

  walifafanuliwa zaidi ya mara nyingi kuwa Dr. Slaa

 alisema

  ataanzisha mchakato wa katiba ndani ya siku 100. Wao

  wakaendelea kusema alisema atalipatia katiba Taifa
ndani

 ya

  siku 100. Nauita upumbavu kwa sababu hawakuelewa
kabisa

  licha ya kufafanuliwa. Ni huo ambao watu
wanalinganisha

  uuzaji wa nyumba na kashfa ya Richmond.

  Wabunge wanaotaka mijadala ambayo inaisha baada ya

  kujadiliwa wataua upinzani. Tunatarajia wajadili
mambo

  yatakayoleta matunda baada ya kujadiliwa. Kutaka

 kujadili

  nyumba zilizouzwa na serikali kunatarajia kuleta
faida

 gani

  baada ya mjadala.

  Mtu mmoja ameniuliza kuwa sababu ilizotoa serikali

  kutoonyesha mijadala ya bunge live ni sahihi?
Nikamjibu

 kuwa

  sio sahihi. Sababu ni kuwa serikali ilitaka
kuliondolea

  taifa aibu kutokana na mijadala kamahi kama ambavyo

 watu

  fulani huwaficha watoto walemavu ili kuficha aibu za

  familia. Kuna wabunge ni aaibu kuonekana live.

  Elisa

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings,

 and

  hence

   statements and facts must be presented responsibly.

  Your

   continued membership signifies that you agree to
this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

   ---

   You received this message because you are
subscribed

 to

  the

   Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment