Wednesday, 18 May 2016

Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?

Fadhil.
Hawa jamaa wana mkakati.
Wao ni wafanya biashara. Ni wakwepa kodi. Wamejaribu kumzima Magufuli kwa kusema anawaburuza anawaaibisha. Wakidhani ataacha utumbuaji kabla hajawafikia. Huko wameonekana kukwama. Wameanza mkakati wakuuhoji utekelezaji wa Magufuli akiwa waziri. Wanaanzia nyumba zilizouzwa. Wameanza ununuzi wa kivuko cha Dar Bagamoyo. Wataendelea. lakini napenda kumkumbuka Nungunungu. Hurusha miiba yote na ikiisha hukamatwa. wa kuzima kasi ya utumbuaji majibu anajifurahisha. Anachelewesha.
--------------------------------------------
On Wed, 5/18/16, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, May 18, 2016, 7:26 PM

Naungana na elisa , kwanini huyo
mbunge asimuulize sumaye ambaye ndiye
alikuwa kiranja mkuu wa uzwaji wa nyumba serikali wakati
huo, hali ya
kuwa wapo naye katika chadema na mbowe kamchagua kuwa mjumbe
wa kamati
kuu chadema kama sikosei. Au ndio wanaendelea kuwa chama
cha
kupayukapayuka.

On 5/18/16, Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
wrote:
>
>
> Utekelezaji na watekelezaji. hawakua. na kosa . na hata
hela za mauzo hayo
> pamoja na udogo. wake. ziliingia. katika hazina na
zikatumika na watanzania
> wengi kama sio. wote. ktk budget  au namna.
ingine.  sasa bunge. lijadili
> namna. ya kutumbua wote walioonja. inaleta. maana
kwelii!!!  hivi. ni kweli.
> wanaobisha. hata. hili. hawaelewi!!!
> Ernest
>
>
> Sent from my Samsung device
>
> -------- Original message --------
> From: 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: 05-18-2016  4:07 PM  (GMT+03:00)
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO
NGAPI KICHWANI?
>
> Heri kusema ukweli kuliko kusema ukweli. Kuficha ukweli
ni aibu zaidi.
>
>
> Sent from Samsung Mobile
>
> -------- Original message --------
> From: emuganda@gmail.com
> Date:
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO
NGAPI KICHWANI?
>
> Hivi, si kweli kwamba Magufuli alishiriki na kusimamia
uuzwaji wa nyumba za
> serikali? Sasa kuna ubaya gani kukumbushia ukweli?
> em
>
> Sent from my iPhone
>
> On May 18, 2016, at 2:20 AM, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
> Kaka, umejieleza kweli kweli, lakini umeishia kutukana
na kujikita kwenye
> itikadi. Wabunge wa upinzani wanaibua hoja, na ndiyo
kazi yao. Ni jukumu la
> upande wa serikali kujibu hoja na kufanya marekebisho
yanayohitajika au
> kuweka msimamo. kinachoendelea sasa huko bungeni ni
kwamba Bunge limeungana
> na serikali kuhakikisha mambo yanapita. Hiyo
inawezekana kutokana na wingi
> walio nao, lakini si afya kwa taifa. Ingekuwa bora kama
hoja nzito
> zinazoibuliwa na upinzani zingepata majibu badala ya
kuzimwa na kutupiliwa
> mbali kama vile zimetolewa na watu kuoka nchi za nje.
Kinachotokea ni kwamba
> msimamo sahihi ni ule wa serikali na wabunge wa CCM,
msimamo usio sahihi ni
> wowote ule unaotokea upande wa upinzani, sidhani kama
hiyo ndiyo democrasia
> ya vyama vingi tuliyoikubali.
>
> Hata maandishi yako yanafikia kutukana, ukiona hivyo,
huo ndio ukomo wako wa
> kufikiria, hii siyo sawa kabisa. Acha hoja ijibiwe kwa
hoja. Hata hayo
> uliyoyaeleza kwenye andiko lako na ukaishia kutukana
mbona yamenyoka tu!
> Walisema bajeti ni kubwa sana kama caution kwa serikali
ijipange vizuri
> kwenye makusanyo ya kodi na kuangalia matumizi. Bajeti
za wizara ni suala la
> mtazamo tu kwamba sekta ipi ni muhimu zaidi ya nyingine
na ipi inahitaji
> ipewe bajeti kubwa kuliko nyingine. Sasa wewe ukisikia
hivyo unatukana.
>
>
>
>
>
>
> 2016-05-17 22:58 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>:
>
> Siasa si mchezo wa vichekesho. Siasa ni kazi maalum
yenye mchango wake
> katika maendeleo ya taifa letu kama madaktari,
mabwanashamba, wanajeshi
> nakadhalika. Tunapokwenda kwenye uchaguzi tunakuwa
tunatafuta watu
> watakaofanya kazi maalum kwa maendeleo ya taifa letu.
>
> Tumechagua wabunge ili waweze kufanya kazi kama wabunge
na wawakilishi wa
> wananchi katika kuisimamia, kuishauri serikali.
>
> Tumeletewa mfumo wa siasa za vyama vingi na kwa kweli
wakati wa awamu
> iliyopita pale serikali ilipokuwa imelala tumeona
manufaa yake.
>
> Haya. 2015 tukafanya uchaguzi. Tukampata rais
anayeyaangalia matatizo ya
> wananchi kwa makusudi ya kuyatatua. Tumelitengeneza
bunge. Tukaongeza idadi
> ya wabunge wa vyama vya upinzani. Tukatarajia kuona
nguvu ya upinzani
> ikiisaidia serikali hii inayoonekana kuyaangalia
matatizo yanayogusa
> wananchi.
> Ninaanza kuwa na matatizo na mambo ninayoyaona
yakiendelea bungeni. Kuna
> wabunge hawaoni ulimwengu unachoona kikifanywa na
serikali. Ndani na nje ya
> Tanzania kila mwenye akili kamili anaona serikali ya
Magufuli inachokifanya
> na kila kona anapongezwa.
>
> Niongelee moja kama sio mawili: Serikali ilipotangaza
kuwa mwaka ujao wa
> fedha (2016/17) inatarajia kutumia fedha za kitanzania
Trilion 29 kutoka
> trillion 22 za mwaka unaoisha. Viongozi wetu walisimama
kidete kuikatalia
> serikali kuwa haiwezi kuzikusanya fedha hizo kwa
hiyo  bajeti hii ni kiini
> macho. Binafsi nilielewa wanalolisema japo niliielewa
serikali kuwa kwa
> juhudi inazoonyesha za kukusanya kodi na kubana
matumizi inaweza
> kuzifikisha. Kilichonitisha ni pale wakati wabunge hao
hao wakijadili bajeti
> za wizara wanaibuka na kutaka budget za wizara
zisipitishwe kwa sababu
> wizara zimetengewa fedha kidogo. Nashindwa kuwaelewa
wawakilishi wetu.
> Wanapendekeza wizara ziongeze fedha (kwa kuwa
hazitoshi) ambazo zinatokana
> na budget wanayotaka ipunguzwe (kwa kuwa haziwezi
kupatikana). Kuna bongo
> ngapi vichwani mwao? Sielewi. Lakini mbunge mwingine
ambaye anaheshimika
> sana anasema wabunge watamkumbuka JK. Watamkumbuka kwa
sababu hakuwahi
> kuwazuia kumsema. Kazi ya bunge ni kumsema rais au
kuisaidia serikali?
> Mbunge huyo anasema hivyo kwa sababu bunge limemzuia
kumbambikiza Magufuli
> ujinga kuwa aliuza nyumba za serikali. Wabunge hawajui
kuwa Magufuli
> hakuwahi kuuza nyumba hizo bali serikali iliuza nyumba
zake kwa uamuzi wake
> na Waziri (Magufuli) akatekeleza uamuzi wa serikali.
Anaambiwa aondoe neon
> magufuli na aweke neon Serikali nanasema hawezi kusoma
maoni ya kambi ya
> upinzani. Upumbavu huu naulinganisha na ule ambao watu
wazima walifafanuliwa
> zaidi ya mara nyingi kuwa Dr. Slaa alisema ataanzisha
mchakato wa katiba
> ndani ya siku 100. Wao wakaendelea kusema alisema
atalipatia katiba Taifa
> ndani ya siku 100. Nauita upumbavu kwa sababu
hawakuelewa kabisa licha ya
> kufafanuliwa. Ni huo ambao watu wanalinganisha uuzaji
wa nyumba na kashfa ya
> Richmond.
>
> Wabunge wanaotaka mijadala ambayo inaisha baada ya
kujadiliwa wataua
> upinzani. Tunatarajia wajadili mambo yatakayoleta
matunda baada ya
> kujadiliwa. Kutaka kujadili nyumba zilizouzwa na
serikali kunatarajia kuleta
> faida gani baada ya mjadala.
> Mtu mmoja ameniuliza kuwa sababu ilizotoa serikali
kutoonyesha mijadala ya
> bunge live ni sahihi? Nikamjibu kuwa sio sahihi. Sababu
ni kuwa serikali
> ilitaka kuliondolea taifa aibu kutokana na mijadala
kamahi kama ambavyo watu
> fulani huwaficha watoto walemavu ili kuficha aibu za
familia. Kuna wabunge
> ni aaibu kuonekana live.
>
> Elisa
>
>  --
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
>  kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
>  for any legal consequences of his or her
postings, and hence
>  statements and facts must be presented
responsibly. Your
>  continued membership signifies that you agree to
this
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
>  ---
>
>  You received this message because you are
subscribed to the
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment