Wednesday, 6 April 2016

[wanabidii] WAZIRI UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA YA KIKAZI IFAKARA, MOROGORO

Habari za jioni,

Tafadhali pokea CODES hapa chini

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akiongea na wananchi katika hospitali ya Rufaa ya St. Francis pamoja na wajawazito wanaosubiri kujifungua na ambao wapo chini ya uangalizi wa madaktari.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya siku 1 mjini Ifakara kufuatilia utendaji wa shughuli mbalimbali za Afya Wilayani Kilombero, Morogoro.

Katika ziara hiyo, Mhe Ummy ambae alieambatana na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Mhe Florence Tonguely-Mattli alifungua kozi ya miezi mitatu ya kutoa huduma ya dharura ya afya kwa kina mama wajawazito hususani katika eneo la upasuaji na utoaji wa dawa za usingizi.

Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Taasisi ya Mafunzo ya Kimataifa ya Afya (TTCIH)  chini ya Mradi wa "Upatikanaji wa Uzazi Salama Tanzania" yanawahusisha Washiriki 70 kutoka mikoa ya Morogoro, Njombe na Mbeya.

Mhe Ummy pia alikagua shughuli mbalimbali za taasisi za afya ikiwemo kutembelea Taasisi ya Utafiti ya Ifakara (Ifakara Health Institute), Hospitali Teule ya Rufaa ya St. Francis, Chuo cha Uunguzi cha Edgar Malanta na Chuo Kikuu cha Tiba cha St. Francis.

Mhe Ummy Mwalimu akibadilishana mawazo na Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Kimataifa ya Afya (TTCIH)  Prof. Pemba, Balozi wa Uswisi nchini Mhe Florence Tonguely-Mattli.

Picha ya pamoja.

Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na washiriki wakati wa kufungua mafunzo ya miezi mitatu ya kutoa huduma ya dharura ya afya kwa kinamama wajawazito mjini katika taasisi ya TTCIF, Ifakara.

KAWAIDA

8560f637-78b3-467f-95ea-e2f591c0189a

0f1f0d9a-ef44-4d26-bb82-c85e3a577fd9

2da305bb-0c4e-49f9-953c-105cabb0c669

69adfba7-e3c5-42fd-a407-ff0981d8fccd

449c9d9c-134c-4d45-b132-66e5ecab2fb1

Mhe Ummy Mwalimu akibadilishana mawazo na Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Kimataifa ya Afya (TTCIH)  Prof. Pemba, Balozi wa Uswisi nchini Mhe Florence Tonguely-Mattli.

3527b65c-f43a-4359-bc0b-9a25fefda589

Picha ya pamoja.

b85fa399-431e-4ade-84c1-c55a1076097e

d7d05480-8495-4f65-ae56-423c9a313630

eea390ef-f89d-458f-92b7-145abb5e19c8

Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na washiriki wakati wa kufungua mafunzo ya miezi mitatu ya kutoa huduma ya dharura ya afya kwa kinamama wajawazito mjini katika taasisi ya TTCIF, Ifakara.

f92df671-ceb3-45a5-8093-a889995f1267

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment