Tuesday 19 April 2016

[wanabidii] CCM Uboreshaji daftari la wanachama ni muhimu

Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya chama zilitokea changamoto mbalimbali ikiwemo kutokuwepo uhalisia wa wanachama kamili wa ccm, sehemu zingine wanachama walionekana wengi kuliko isivyo kawaida. Hivyo ipo haja ya kuboresha daftari la wanachama ikiwemo ulipaji wa ada za wanachama.

CCM inatarajiwa kuwa na wanachama kariu milioni nane, iwapo kila mwanachama akilipa ada ya shs elfu tano basi itaweza kukusanya bil 40 kwa mwaka hii itakiwezesha chama kujiendesha kwa ufanisi zaidi.

Vipo pia vitega uchumi vya chama kama majengo na ofisi zake iwapo vitasimamiwa vizuri na kuongeza vingine zaidi basi chama kitapata mapato ya kutosha na kubakiwa na ziada.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment