Tuesday 19 April 2016

Re: [wanabidii] MAGUFULI NA MAJAMBAZI

Paulo,
Nakushukuru sana kwa kunikumbusha kazi yangu hii nzuri niliyoifanya kwa maandishi wakati wa kampeni za uchaguzi 2015. Tafadhali isome tena yote (between the lines) utaiona ilivyo tamu na jinsi Rais Magufuli anavyotekeleza kwa vitendo nilichokishauri. Tanzania hoyeee.

MAGUFULI NA MAJAMBAZI

Ananilea Nkya

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr John Magufuli akichaguliwa huenda nchi yetu ikashuhudia mapambano dhidi ya polisi na wananchi yakiongezeka kwa sababu serikali yake itaruhusu polisi kuuwa wananchi kwa kisingizio cha ujambazi.

Dr Magufuli katika kampeni zake kwenye uwanja wa Mashujaa mkoni Mtwara 02 Septemba 2015 alikaririwa na vyombo vya habari akisema kuwa serikali yake haitamshitaki polisi yoyote atakayemuua jambazi mwenye silaha.

Dr Magufuli alikaririrwa akisema ''serikali yangu askari akipiga jambazi mwenye silaha kwa risasi hashtakiwi. Kila mara (majambazi) wanavamia vituo vya polisi, mbona hawavamii kambi za jeshi, jeshi la kujenga taifa au Ukonga FFU maana polisi wana nidhamu sasa wanawaonea na kuwaua''.

Wapiga kura wanajiuliza, kama kabla hajachaguliwa Dr Magufuli anaanza kuwaweka wananchi roho juu kiasi hiki, je akichaguliwa mapambano kati ya wananchi na vyombo vya dola yataongezeka kiasi gani?

Wananchi wanauliza swali hili kwa sababu ingawa hivi sasa hakuna polisi anayeruhusiwa kuhukumu watuhumiwa wa makosa mbali mbali ikiwa ni pamoja na watuhumiwa wa ujambazi, lakini umma umeshuhudia polisi wakiwauwa watu hovyo hovyo kwa tuhuma za ujambazi.

Wanauliza je Dr Magufuli akichaguliwa na polisi wakiruhusiwa rasmi kuwauwa watuhumiwa wa ujambazi—ni wananchi wangapi wasio na hatia watakaosukiwa zengwe la ujambazi na kuishia kuuwawa kikatili na polisi?

Hivi Magufuli ambaye amekuwa kiongozi wa serikali kwa zaidi ya mika 20 hajui kwamba polisi siyo mahakama na kwamba polisi haipaswi kutoa hukumu ya kifo kwa raia?

Wakati mgombea Dr Magufuli akitoa ahadi kwamba kwenye serikali yake polisi ndio watakaotoa hukumu ya kifo kwa watuhumiwa wa ujambazi; Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaelekeza kuwa ni mahakama kuu ndiyo yenye mamlaha ya kutoa hukumu ya kifo.

Zaidi wananchi wanajiuliza, nchi itakuwa katika hatari kubwa kiasi gani Dr Magufuli akichaguliwa ambapo ataruhusu polisi kujichukulia sheria mkononi kuwauwa wananchi ambao pengine maisha magumu yametumbukiza kwenye ujambazi?

Lakini pia wananchi wanajiuliza je Dr Magufuli uchambuzi wake wa masuala ya kijamii umempa jibu kwamba polisi wakiwauwa ''majambazi wenye silaha'' ndio utakuwa mwisho wa mapambano kati ya wananchi na polisi?

Pengine Dr Magufuli anapaswa kujielimisha kujua kuwa chanzo cha ujambazi siyo wananchi na wala siyo polisi. Kadhalika chanzo cha mapambano katika ya polisi na wananchi siyo polisi wala wananchi
Dr Magufuli anapaswa mapambano kati ya polisi na wananchi wa ni kiashiria kimoja cha kuonyesha athari ya mfumo wa serikali ya CCM wa kutajirisha watawala na kufukarisha wananchi wengi.

Anapaswa kufahamu kwamba CCM baada ya kulitupa Azimiao la Arusha bila kuweka mbadala wake katika zama hizi mpya za utandawazi wizi ambapo mfumo wa uchumi unaotamba duniani baada ya ukomunisti kufa ni wa upebari ambao unaruhusu mtu uwezo wa kupata apate hata kama kwa wizi na wa kukosa afie mbali.

Matokeo yake sasa nchi yetu Tanzania ina kikundi kidogo cha watawala waliotajirika vya kutisha kwa kujigawia kibepari fedha za wananchi na mali za nchi (kutumia ujambazi wa kalamu na sheria) huku mamilioni ya wananchi wakiwepo polisi ambao hali zao za maisha ni mbaya wakitumia mbinu mbali mbali safi na chafu ukiwepo ujambazi ili maisha yaende.

Hali hii ni hatari kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu. Lakini cha kushangaza ni kwamba Dr Magufuli hajui kwamba hata pale mamilioni ya wananchi walipotaka kuisaidia nchi kuondoa mfumo huu wa utawala unaozalisha makundi mengi ya kihalifu katika jamii—majambazi, panya road, wezi wa kutumia kalamu na sheria na kadhalika, CCM na serikali yake walikataa.

Wananchi walipendekeza Katiba Mpya CCM na serikali yake ikakataa kata kata na kuyazika maoni hayo pale Dodoma tena kwa mbwembwe na kutukana wananchi mwaka 2014.

Kiburi na jeuri ya watawala wa serikali ya CCM kukataa ushauri wa wananchi kutengeneza Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ili kupunguza pengo la utajiri kati ya watawala na wananchi ndiyo sababu ya wananchi kuikataa CCM hata kama CCM itafanya propaganda na ufisadi kuonyesha inapendwa.

Tena wananchi wanajua kuwa Dr Magufuli akichaguliwa kuwa Rais maana yake ni kwamba serikali ya CCM kuendelea kuwa madarakani na hivyo ujambazi hautakwisha kwa kuuwa majambazi.

Badala yake amani ya nchi itawekwa rehani kwa sababu kwa polisi kuua majambazi—hasira ya wananchi itaongezeka siyo tu dhidi ya polisi bali dhidi ya kila chombo ambacho serikali itakitumia kudhibiti umma unaotamani madadiliko ya mfumo wa uongozi unaowafanya wananchi kuwa maskini na kudhalilishwa na vyombo vinavyopaswa kuwalinda raia.

Kwa hiyo vema CCM wakati huu wa kampeni isijidanganye, iwe ni kwa kutumia tafiti za kimkakati ama propaganda nyingine zozote kuwa wanakubalika kwa mamilioni ya wananchi wanaoteseka kwa umaskini na hivyo eti watashinda uchaguzi.

CCM na mgombea wao wa Urais Dr Magufuli wanapaswa kuwa na miwani itakayowaelekeza kuona kuwa kitendo cha wananchi wenye silaha (majambazi) kuvamia kituo cha polisi na kuuwa polisi, ni ishara tosha ya amani kutoweka nchini –maana ni mwanzo wa vita kati ya wananchi na polisi—kati ya wananchi na serikali yao.

Hii ni ishara tosha kwamba wananchi wameichoka serikali ya CCM iwe inaongozwa na Dr Magufuli au mwanamuziki maarufu nchini Diamond au mwana CCM yeyote mwingine atakayedhaniwa ni kivutio kwa wananchi.

Kadhalika CCM wanapaswa kufahamu kuwa kwa wananchi wengi kushabikia upinzani ni ishara nyingine tosha kwamba wananchi wameichoka CCM na serikali yake. Hivyo suluhisho siyo kuuwa upinzani, bali nchi kuweka mfumo mpya wa utawala ambao misingi yake wananchi wamependekeza kwenye Rasimu ya Katiba Mpya.

Kwa hiyo kama kweli CCM na serikali yake wanaitakia mema Tanzania yetu ---hasa amani ya kweli unaotokana na wananchi wengi kuridhika na maisha badala ya viongozi peke yake kuwa matajiri wa kukufuru, ni vema na ni muhimu sana wakaheshimu maamuzi ya wananchi watakayoyafanya kupitia sanduku huru la kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2015. Mungu ibariki Tanzania.

Note: Ninaruhusu yeyote mwenye kutaka kuisambaza, kuichapisha Makala hii afanye hivyo. Lengo sote tushiriki kuijenga Tanzania yetu

Sina tatizo na hatua kali juu ya wavunja sharia kama majambazi, naona Magufuli amekuecifiki kwa kusema majambazi wa kutumia silaha, ninachofahamu hata kabla ya Magufuli kusema, vyombo vya usalama wanapokumbana na majambazi wakutumia silaha njia wanaa ni kuwaua au kuwajeruhi kiasi kwamba wasiweze kujibu mapigo ya vyombo vya usalama.
Tatizo langu ni moja, utawalausifanye utafiti wa uhakika kisa cha watu ushughuli yenye hatari kama hiyo? Siwatetei hao majambazi kuchagua njia ya kukidhi maisha yao kwa haribu pengine hata kua watu wasio na hatia basi wanaweza wakaua kwa kupata kiasi kidogo sana, kitu ambacho naamini hata wao huwa wanajuta kwa kufanya hivyo.
Kwa maoni yangu, kukibunia njia nzwana uhakika mtu atakula nini atawaa nini, atatatuaje matatizo mbali m pesa ujambazi unaweza ukapungua sana, nafahamu siyo rahisi kuuangamiza kabisa lakini unaweza ukapunzwa, nasema hauwezi kuisha kabisa babu kuna watu waliozalia na upungufu wa kutambua umhimu wa maisha ya bmu wenzao,awajali kuchagua njia hizo ovu za kukidhi maisha yao.
Tazizo kwa viongozi: Mtu anapokuwa jukwaani huwa wanashindwa/husahau mamna ya kuweka kiwango jinsi wanapo stress jambo, anachofuhia ni kuona anashangiliwa nadha motto mdogo anavyofuhia pongezi za wazazi wake, hivyo hujikuta wameongea kupita kiwango anachotakia aongee, na akishakaa ofisi kuwa ashughulikia ahadi zake nyingi hawazi hata kuzikumbuka, na zingine hata akizikumbuka huwa hazitekelezeki.

On Friday, 25 September 2015, 15:57, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

MAGUFULI NA MAJAMBAZI

Ananilea Nkya

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr John Magufuli akichaguliwa huenda nchi yetu ikashuhudia mapambano dhidi ya polisi na wananchi yakiongezeka kwa sababu serikali yake itaruhusu polisi kuuwa wananchi kwa kisingizio cha ujambazi.

Dr Magufuli katika kampeni zake kwenye uwanja wa Mashujaa mkoni Mtwara 02 Septemba 2015 alikaririwa na vyombo vya habari akisema kuwa serikali yake haitamshitaki polisi yoyote atakayemuua jambazi mwenye silaha.

Dr Magufuli alikaririrwa akisema ''serikali yangu askari akipiga jambazi mwenye silaha kwa risasi hashtakiwi. Kila mara (majambazi) wanavamia vituo vya polisi, mbona hawavamii kambi za jeshi, jeshi la kujenga taifa au Ukonga FFU maana polisi wana nidhamu sasa wanawaonea na kuwaua''.

Wapiga kura wanajiuliza, kama kabla hajachaguliwa Dr Magufuli anaanza kuwaweka wananchi roho juu kiasi hiki, je akichaguliwa mapambano kati ya wananchi na vyombo vya dola yataongezeka kiasi gani?

Wananchi wanauliza swali hili kwa sababu ingawa hivi sasa hakuna polisi anayeruhusiwa kuhukumu watuhumiwa wa makosa mbali mbali ikiwa ni pamoja na watuhumiwa wa ujambazi, lakini umma umeshuhudia polisi wakiwauwa watu hovyo hovyo kwa tuhuma za ujambazi.

Wanauliza je Dr Magufuli akichaguliwa na polisi wakiruhusiwa rasmi kuwauwa watuhumiwa wa ujambazi—ni wananchi wangapi wasio na hatia watakaosukiwa zengwe la ujambazi na kuishia kuuwawa kikatili na polisi?

Hivi Magufuli ambaye amekuwa kiongozi wa serikali kwa zaidi ya mika 20 hajui kwamba polisi siyo mahakama na kwamba polisi haipaswi kutoa hukumu ya kifo kwa raia?

Wakati mgombea Dr Magufuli akitoa ahadi kwamba kwenye serikali yake polisi ndio watakaotoa hukumu ya kifo kwa watuhumiwa wa ujambazi; Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaelekeza kuwa ni mahakama kuu ndiyo yenye mamlaha ya kutoa hukumu ya kifo.

Zaidi wananchi wanajiuliza, nchi itakuwa katika hatari kubwa kiasi gani Dr Magufuli akichaguliwa ambapo ataruhusu polisi kujichukulia sheria mkononi kuwauwa wananchi ambao pengine maisha magumu yametumbukiza kwenye ujambazi?

Lakini pia wananchi wanajiuliza je Dr Magufuli uchambuzi wake wa masuala ya kijamii umempa jibu kwamba polisi wakiwauwa ''majambazi wenye silaha'' ndio utakuwa mwisho wa mapambano kati ya wananchi na polisi?

Pengine Dr Magufuli anapaswa kujielimisha kujua kuwa chanzo cha ujambazi siyo wananchi na wala siyo polisi. Kadhalika chanzo cha mapambano katika ya polisi na wananchi siyo polisi wala wananchi
Dr Magufuli anapaswa mapambano kati ya polisi na wananchi wa ni kiashiria kimoja cha kuonyesha athari ya mfumo wa serikali ya CCM wa kutajirisha watawala na kufukarisha wananchi wengi.

Anapaswa kufahamu kwamba CCM baada ya kulitupa Azimiao la Arusha bila kuweka mbadala wake katika zama hizi mpya za utandawazi wizi ambapo mfumo wa uchumi unaotamba duniani baada ya ukomunisti kufa ni wa upebari ambao unaruhusu mtu uwezo wa kupata apate hata kama kwa wizi na wa kukosa afie mbali.

Matokeo yake sasa nchi yetu Tanzania ina kikundi kidogo cha watawala waliotajirika vya kutisha kwa kujigawia kibepari fedha za wananchi na mali za nchi (kutumia ujambazi wa kalamu na sheria) huku mamilioni ya wananchi wakiwepo polisi ambao hali zao za maisha ni mbaya wakitumia mbinu mbali mbali safi na chafu ukiwepo ujambazi ili maisha yaende.

Hali hii ni hatari kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu. Lakini cha kushangaza ni kwamba Dr Magufuli hajui kwamba hata pale mamilioni ya wananchi walipotaka kuisaidia nchi kuondoa mfumo huu wa utawala unaozalisha makundi mengi ya kihalifu katika jamii—majambazi, panya road, wezi wa kutumia kalamu na sheria na kadhalika, CCM na serikali yake walikataa.

Wananchi walipendekeza Katiba Mpya CCM na serikali yake ikakataa kata kata na kuyazika maoni hayo pale Dodoma tena kwa mbwembwe na kutukana wananchi mwaka 2014.

Kiburi na jeuri ya watawala wa serikali ya CCM kukataa ushauri wa wananchi kutengeneza Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ili kupunguza pengo la utajiri kati ya watawala na wananchi ndiyo sababu ya wananchi kuikataa CCM hata kama CCM itafanya propaganda na ufisadi kuonyesha inapendwa.

Tena wananchi wanajua kuwa Dr Magufuli akichaguliwa kuwa Rais maana yake ni kwamba serikali ya CCM kuendelea kuwa madarakani na hivyo ujambazi hautakwisha kwa kuuwa majambazi.

Badala yake amani ya nchi itawekwa rehani kwa sababu kwa polisi kuua majambazi—hasira ya wananchi itaongezeka siyo tu dhidi ya polisi bali dhidi ya kila chombo ambacho serikali itakitumia kudhibiti umma unaotamani madadiliko ya mfumo wa uongozi unaowafanya wananchi kuwa maskini na kudhalilishwa na vyombo vinavyopaswa kuwalinda raia.

Kwa hiyo vema CCM wakati huu wa kampeni isijidanganye, iwe ni kwa kutumia tafiti za kimkakati ama propaganda nyingine zozote kuwa wanakubalika kwa mamilioni ya wananchi wanaoteseka kwa umaskini na hivyo eti watashinda uchaguzi.

CCM na mgombea wao wa Urais Dr Magufuli wanapaswa kuwa na miwani itakayowaelekeza kuona kuwa kitendo cha wananchi wenye silaha (majambazi) kuvamia kituo cha polisi na kuuwa polisi, ni ishara tosha ya amani kutoweka nchini –maana ni mwanzo wa vita kati ya wananchi na polisi—kati ya wananchi na serikali yao.

Hii ni ishara tosha kwamba wananchi wameichoka serikali ya CCM iwe inaongozwa na Dr Magufuli au mwanamuziki maarufu nchini Diamond au mwana CCM yeyote mwingine atakayedhaniwa ni kivutio kwa wananchi.

Kadhalika CCM wanapaswa kufahamu kuwa kwa wananchi wengi kushabikia upinzani ni ishara nyingine tosha kwamba wananchi wameichoka CCM na serikali yake. Hivyo suluhisho siyo kuuwa upinzani, bali nchi kuweka mfumo mpya wa utawala ambao misingi yake wananchi wamependekeza kwenye Rasimu ya Katiba Mpya.

Kwa hiyo kama kweli CCM na serikali yake wanaitakia mema Tanzania yetu ---hasa amani ya kweli unaotokana na wananchi wengi kuridhika na maisha badala ya viongozi peke yake kuwa matajiri wa kukufuru, ni vema na ni muhimu sana wakaheshimu maamuzi ya wananchi watakayoyafanya kupitia sanduku huru la kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2015. Mungu ibariki Tanzania.

Note: Ninaruhusu yeyote mwenye kutaka kuisambaza, kuichapisha Makala hii afanye hivyo. Lengo sote tushiriki kuijenga Tanzania yetu

MAGUFULI NA MAJAMBAZI

Ananilea Nkya

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr John Magufuli akichaguliwa huenda nchi yetu ikashuhudia mapambano dhidi ya polisi na wananchi yakiongezeka kwa sababu serikali yake itaruhusu polisi kuuwa wananchi kwa kisingizio cha ujambazi.

Dr Magufuli katika kampeni zake kwenye uwanja wa Mashujaa mkoni Mtwara 02 Septemba 2015 alikaririwa na vyombo vya habari akisema kuwa serikali yake haitamshitaki polisi yoyote atakayemuua jambazi mwenye silaha.

Dr Magufuli alikaririrwa akisema ''serikali yangu askari akipiga jambazi mwenye silaha kwa risasi hashtakiwi. Kila mara (majambazi) wanavamia vituo vya polisi, mbona hawavamii kambi za jeshi, jeshi la kujenga taifa au Ukonga FFU maana polisi wana nidhamu sasa wanawaonea na kuwaua''.

Wapiga kura wanajiuliza, kama kabla hajachaguliwa Dr Magufuli anaanza kuwaweka wananchi roho juu kiasi hiki, je akichaguliwa mapambano kati ya wananchi na vyombo vya dola yataongezeka kiasi gani?

Wananchi wanauliza swali hili kwa sababu ingawa hivi sasa hakuna polisi anayeruhusiwa kuhukumu watuhumiwa wa makosa mbali mbali ikiwa ni pamoja na watuhumiwa wa ujambazi, lakini umma umeshuhudia polisi wakiwauwa watu hovyo hovyo kwa tuhuma za ujambazi.

Wanauliza je Dr Magufuli akichaguliwa na polisi wakiruhusiwa rasmi kuwauwa watuhumiwa wa ujambazi—ni wananchi wangapi wasio na hatia watakaosukiwa zengwe la ujambazi na kuishia kuuwawa kikatili na polisi?

Hivi Magufuli ambaye amekuwa kiongozi wa serikali kwa zaidi ya mika 20 hajui kwamba polisi siyo mahakama na kwamba polisi haipaswi kutoa hukumu ya kifo kwa raia?

Wakati mgombea Dr Magufuli akitoa ahadi kwamba kwenye serikali yake polisi ndio watakaotoa hukumu ya kifo kwa watuhumiwa wa ujambazi; Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaelekeza kuwa ni mahakama kuu ndiyo yenye mamlaha ya kutoa hukumu ya kifo.

Zaidi wananchi wanajiuliza, nchi itakuwa katika hatari kubwa kiasi gani Dr Magufuli akichaguliwa ambapo ataruhusu polisi kujichukulia sheria mkononi kuwauwa wananchi ambao pengine maisha magumu yametumbukiza kwenye ujambazi?

Lakini pia wananchi wanajiuliza je Dr Magufuli uchambuzi wake wa masuala ya kijamii umempa jibu kwamba polisi wakiwauwa ''majambazi wenye silaha'' ndio utakuwa mwisho wa mapambano kati ya wananchi na polisi?

Pengine Dr Magufuli anapaswa kujielimisha kujua kuwa chanzo cha ujambazi siyo wananchi na wala siyo polisi. Kadhalika chanzo cha mapambano katika ya polisi na wananchi siyo polisi wala wananchi
Dr Magufuli anapaswa mapambano kati ya polisi na wananchi wa ni kiashiria kimoja cha kuonyesha athari ya mfumo wa serikali ya CCM wa kutajirisha watawala na kufukarisha wananchi wengi.

Anapaswa kufahamu kwamba CCM baada ya kulitupa Azimiao la Arusha bila kuweka mbadala wake katika zama hizi mpya za utandawazi wizi ambapo mfumo wa uchumi unaotamba duniani baada ya ukomunisti kufa ni wa upebari ambao unaruhusu mtu uwezo wa kupata apate hata kama kwa wizi na wa kukosa afie mbali.

Matokeo yake sasa nchi yetu Tanzania ina kikundi kidogo cha watawala waliotajirika vya kutisha kwa kujigawia kibepari fedha za wananchi na mali za nchi (kutumia ujambazi wa kalamu na sheria) huku mamilioni ya wananchi wakiwepo polisi ambao hali zao za maisha ni mbaya wakitumia mbinu mbali mbali safi na chafu ukiwepo ujambazi ili maisha yaende.

Hali hii ni hatari kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu. Lakini cha kushangaza ni kwamba Dr Magufuli hajui kwamba hata pale mamilioni ya wananchi walipotaka kuisaidia nchi kuondoa mfumo huu wa utawala unaozalisha makundi mengi ya kihalifu katika jamii—majambazi, panya road, wezi wa kutumia kalamu na sheria na kadhalika, CCM na serikali yake walikataa.

Wananchi walipendekeza Katiba Mpya CCM na serikali yake ikakataa kata kata na kuyazika maoni hayo pale Dodoma tena kwa mbwembwe na kutukana wananchi mwaka 2014.

Kiburi na jeuri ya watawala wa serikali ya CCM kukataa ushauri wa wananchi kutengeneza Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ili kupunguza pengo la utajiri kati ya watawala na wananchi ndiyo sababu ya wananchi kuikataa CCM hata kama CCM itafanya propaganda na ufisadi kuonyesha inapendwa.

Tena wananchi wanajua kuwa Dr Magufuli akichaguliwa kuwa Rais maana yake ni kwamba serikali ya CCM kuendelea kuwa madarakani na hivyo ujambazi hautakwisha kwa kuuwa majambazi.

Badala yake amani ya nchi itawekwa rehani kwa sababu kwa polisi kuua majambazi—hasira ya wananchi itaongezeka siyo tu dhidi ya polisi bali dhidi ya kila chombo ambacho serikali itakitumia kudhibiti umma unaotamani madadiliko ya mfumo wa uongozi unaowafanya wananchi kuwa maskini na kudhalilishwa na vyombo vinavyopaswa kuwalinda raia.

Kwa hiyo vema CCM wakati huu wa kampeni isijidanganye, iwe ni kwa kutumia tafiti za kimkakati ama propaganda nyingine zozote kuwa wanakubalika kwa mamilioni ya wananchi wanaoteseka kwa umaskini na hivyo eti watashinda uchaguzi.

CCM na mgombea wao wa Urais Dr Magufuli wanapaswa kuwa na miwani itakayowaelekeza kuona kuwa kitendo cha wananchi wenye silaha (majambazi) kuvamia kituo cha polisi na kuuwa polisi, ni ishara tosha ya amani kutoweka nchini –maana ni mwanzo wa vita kati ya wananchi na polisi—kati ya wananchi na serikali yao.

Hii ni ishara tosha kwamba wananchi wameichoka serikali ya CCM iwe inaongozwa na Dr Magufuli au mwanamuziki maarufu nchini Diamond au mwana CCM yeyote mwingine atakayedhaniwa ni kivutio kwa wananchi.

Kadhalika CCM wanapaswa kufahamu kuwa kwa wananchi wengi kushabikia upinzani ni ishara nyingine tosha kwamba wananchi wameichoka CCM na serikali yake. Hivyo suluhisho siyo kuuwa upinzani, bali nchi kuweka mfumo mpya wa utawala ambao misingi yake wananchi wamependekeza kwenye Rasimu ya Katiba Mpya.

Kwa hiyo kama kweli CCM na serikali yake wanaitakia mema Tanzania yetu ---hasa amani ya kweli unaotokana na wananchi wengi kuridhika na maisha badala ya viongozi peke yake kuwa matajiri wa kukufuru, ni vema na ni muhimu sana wakaheshimu maamuzi ya wananchi watakayoyafanya kupitia sanduku huru la kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2015. Mungu ibariki Tanzania.

Note: Ninaruhusu yeyote mwenye kutaka kuisambaza, kuichapisha Makala hii afanye hivyo. Lengo sote tushiriki kuijenga Tanzania yetu

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 4/19/16, 'Paulo Lunyalula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA MAJAMBAZI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, April 19, 2016, 12:20 PM

Ananilea
Nkya,Mama, nimekuondoa kwenye
hekima sababu umekuwa shabiki zaidi bila kuangalia ukweli.
do not mislead poor Tanzanian with your strong argument and
believes on Lowasa, educate and let them decide.regards,Paulo.
On Sep 25, 2015, at 7:58 PM, 'Mike
Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Sina
tatizo na hatua kali juu ya wavunja sharia kama majambazi,
naona Magufuli amekuecifiki kwa kusema majambazi wa kutumia
silaha, ninachofahamu hata kabla ya Magufuli kusema,
vyombo vya usalama wanapokumbana na majambazi wakutumia
silaha njia wanaa ni kuwaua au kuwajeruhi kiasi kwamba
wasiweze kujibu mapigo ya vyombo vya
usalama.
Tatizo
langu ni moja, utawalausifanye utafiti wa uhakika kisa cha
watu ushughuli yenye hatari kama hiyo? Siwatetei hao
majambazi kuchagua njia ya kukidhi maisha yao kwa haribu 
pengine hata kua watu wasio na hatia basi wanaweza wakaua
kwa kupata kiasi kidogo sana, kitu ambacho naamini hata wao
huwa wanajuta kwa kufanya hivyo.
Kwa maoni
yangu, kukibunia njia nzwana uhakika mtu atakula nini atawaa
nini, atatatuaje matatizo mbali m pesa ujambazi unaweza
ukapungua sana, nafahamu siyo rahisi kuuangamiza kabisa
lakini unaweza ukapunzwa, nasema hauwezi kuisha kabisa babu
kuna watu waliozalia na upungufu wa kutambua umhimu wa
maisha ya bmu wenzao,awajali kuchagua njia hizo ovu za
kukidhi maisha yao.
Tazizo kwa
viongozi: Mtu anapokuwa jukwaani huwa wanashindwa/husahau
mamna ya kuweka kiwango jinsi wanapo stress jambo,
anachofuhia ni kuona anashangiliwa nadha motto mdogo
anavyofuhia pongezi za wazazi wake, hivyo hujikuta wameongea
kupita kiwango anachotakia aongee, na akishakaa ofisi kuwa
ashughulikia ahadi zake nyingi hawazi hata kuzikumbuka, na
zingine hata akizikumbuka huwa hazitekelezeki.

On Friday, 25 September 2015, 15:57, 'ananilea
nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

MAGUFULI NA
MAJAMBAZI

Ananilea Nkya

Mgombea  Urais kwa tiketi ya Chama
Cha Mapinduzi Dr  John Magufuli akichaguliwa  huenda 
nchi yetu ikashuhudia  mapambano dhidi ya polisi na
wananchi yakiongezeka kwa sababu  serikali yake  itaruhusu
polisi  kuuwa wananchi kwa kisingizio cha ujambazi.

Dr Magufuli katika kampeni zake kwenye
uwanja  wa Mashujaa mkoni Mtwara  02 Septemba 2015
alikaririwa  na  vyombo vya habari akisema kuwa 
serikali yake haitamshitaki polisi yoyote atakayemuua 
jambazi mwenye silaha.

Dr Magufuli alikaririrwa akisema
''serikali yangu askari akipiga jambazi mwenye silaha
kwa risasi hashtakiwi. Kila mara (majambazi) wanavamia vituo
vya polisi, mbona hawavamii kambi za jeshi, jeshi la kujenga
taifa au Ukonga FFU maana polisi wana nidhamu sasa
wanawaonea na kuwaua''.

Wapiga kura wanajiuliza, kama 
kabla  hajachaguliwa Dr Magufuli anaanza kuwaweka wananchi
roho juu kiasi hiki,  je akichaguliwa  mapambano  kati ya
wananchi na vyombo vya dola  yataongezeka kiasi gani?

Wananchi wanauliza  swali hili kwa
sababu ingawa  hivi sasa  hakuna polisi  anayeruhusiwa 
kuhukumu  watuhumiwa wa makosa mbali mbali ikiwa ni 
pamoja na watuhumiwa wa ujambazi, lakini  umma
umeshuhudia  polisi  wakiwauwa  watu  hovyo hovyo kwa
tuhuma za ujambazi.

Wanauliza je Dr
Magufuli akichaguliwa na polisi wakiruhusiwa rasmi kuwauwa
watuhumiwa wa ujambazi—ni wananchi wangapi wasio na
hatia  watakaosukiwa zengwe la ujambazi na kuishia 
kuuwawa kikatili na polisi? 

Hivi Magufuli  ambaye  amekuwa
kiongozi wa serikali  kwa  zaidi ya mika 20 hajui kwamba
polisi siyo mahakama na kwamba polisi  haipaswi kutoa
hukumu ya kifo kwa raia?

Wakati mgombea Dr Magufuli  akitoa
ahadi kwamba kwenye serikali yake polisi ndio watakaotoa
hukumu ya kifo kwa watuhumiwa wa ujambazi;  Katiba ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaelekeza kuwa  ni
mahakama  kuu  ndiyo  yenye mamlaha ya  kutoa hukumu ya
kifo.

Zaidi wananchi wanajiuliza,  nchi
itakuwa katika hatari kubwa kiasi gani  Dr Magufuli
akichaguliwa  ambapo ataruhusu polisi kujichukulia sheria
mkononi kuwauwa wananchi  ambao  pengine  maisha 
magumu  yametumbukiza kwenye ujambazi? 

Lakini pia wananchi wanajiuliza  je 
Dr Magufuli  uchambuzi wake wa masuala ya kijamii  umempa
jibu kwamba  polisi wakiwauwa  ''majambazi wenye
silaha'' ndio utakuwa mwisho wa mapambano kati ya
wananchi na polisi?

Pengine  Dr Magufuli anapaswa
kujielimisha kujua  kuwa  chanzo cha ujambazi  siyo 
wananchi  na wala siyo  polisi. Kadhalika chanzo cha
mapambano katika ya polisi na wananchi siyo polisi wala
wananchi
Dr Magufuli
anapaswa  mapambano kati  ya polisi na wananchi  wa  ni
kiashiria kimoja  cha kuonyesha athari  ya  mfumo  wa 
serikali ya CCM  wa kutajirisha watawala na kufukarisha 
wananchi wengi.

Anapaswa kufahamu
kwamba  CCM  baada ya  kulitupa Azimiao la Arusha  bila
kuweka mbadala wake katika zama hizi mpya za utandawazi
wizi  ambapo mfumo wa uchumi  unaotamba duniani  baada ya
ukomunisti kufa ni  wa upebari ambao unaruhusu mtu uwezo
wa  kupata apate hata kama kwa wizi na wa kukosa afie
mbali.

Matokeo yake sasa 
nchi  yetu Tanzania ina kikundi kidogo cha watawala 
waliotajirika vya kutisha kwa kujigawia kibepari  fedha 
za wananchi na mali za nchi (kutumia ujambazi wa kalamu na
sheria)  huku mamilioni ya wananchi  wakiwepo polisi 
ambao  hali zao za maisha ni mbaya  wakitumia mbinu mbali
mbali safi na chafu  ukiwepo ujambazi  ili  maisha
yaende.

Hali hii ni hatari kwa
mustakabali wa amani ya nchi yetu. Lakini cha kushangaza ni
kwamba Dr Magufuli hajui kwamba  hata  pale mamilioni ya
wananchi walipotaka kuisaidia nchi kuondoa  mfumo  huu 
wa utawala unaozalisha makundi mengi ya kihalifu katika
jamii—majambazi, panya road, wezi wa kutumia kalamu na
sheria na kadhalika, CCM na serikali yake walikataa.

Wananchi walipendekeza Katiba Mpya 
CCM na serikali yake  ikakataa kata kata na kuyazika maoni
hayo pale Dodoma tena kwa mbwembwe na kutukana wananchi
mwaka 2014.

Kiburi na jeuri  ya
watawala  wa  serikali  ya CCM  kukataa ushauri wa
wananchi kutengeneza Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi  ili kupunguza pengo la utajiri kati ya watawala
na wananchi  ndiyo sababu  ya  wananchi  kuikataa CCM
hata kama CCM itafanya propaganda na ufisadi kuonyesha
inapendwa.
 
Tena wananchi wanajua
kuwa  Dr Magufuli  akichaguliwa  kuwa Rais  maana yake
ni kwamba serikali ya  CCM kuendelea kuwa  madarakani na
hivyo  ujambazi hautakwisha kwa kuuwa  majambazi.

Badala yake  amani ya nchi itawekwa
rehani kwa sababu kwa polisi kuua majambazi—hasira ya 
wananchi itaongezeka siyo  tu dhidi ya polisi bali dhidi ya
kila chombo ambacho serikali  itakitumia  kudhibiti umma
unaotamani madadiliko ya  mfumo wa uongozi unaowafanya
wananchi kuwa maskini na kudhalilishwa na vyombo
vinavyopaswa kuwalinda raia.

Kwa hiyo vema  CCM wakati huu wa
kampeni  isijidanganye, iwe ni kwa  kutumia tafiti za
kimkakati  ama propaganda nyingine zozote  kuwa
wanakubalika kwa  mamilioni ya wananchi  wanaoteseka kwa
umaskini na hivyo eti watashinda uchaguzi.

CCM  na mgombea wao wa Urais Dr
Magufuli  wanapaswa kuwa na miwani  itakayowaelekeza kuona
kuwa kitendo cha  wananchi wenye silaha (majambazi) 
kuvamia kituo cha polisi na kuuwa polisi, ni ishara tosha ya
amani kutoweka nchini –maana ni mwanzo wa vita kati ya
wananchi na polisi—kati ya wananchi na serikali yao.

Hii ni ishara tosha kwamba wananchi
wameichoka serikali ya CCM iwe inaongozwa na  Dr  Magufuli
au  mwanamuziki maarufu  nchini  Diamond au mwana CCM
yeyote mwingine atakayedhaniwa ni kivutio kwa wananchi.

Kadhalika CCM wanapaswa kufahamu kuwa
kwa wananchi wengi kushabikia upinzani ni ishara nyingine
tosha kwamba wananchi  wameichoka CCM na serikali yake.
Hivyo suluhisho siyo kuuwa upinzani, bali nchi kuweka mfumo
mpya wa utawala ambao misingi yake wananchi wamependekeza
kwenye Rasimu ya Katiba Mpya.

Kwa hiyo  kama kweli CCM  na
serikali yake  wanaitakia mema Tanzania yetu ---hasa amani
ya  kweli unaotokana na  wananchi wengi kuridhika  na
maisha  badala ya viongozi peke yake kuwa matajiri wa
kukufuru,  ni vema  na ni muhimu sana  wakaheshimu 
maamuzi  ya  wananchi  watakayoyafanya  kupitia sanduku
huru  la kura  hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2015. Mungu
ibariki Tanzania.

Note: Ninaruhusu  yeyote
mwenye kutaka kuisambaza, kuichapisha  Makala hii afanye
hivyo. Lengo sote tushiriki kuijenga Tanzania yetu.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears
the sole responsibility for any legal consequences of his or
her postings, and hence statements and facts must be
presented responsibly. Your continued membership signifies
that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment