Wednesday 20 April 2016

Re: [wanabidii] CCM Uboreshaji daftari la wanachama ni muhimu

Huo ndio ukweli ndug Ndaki.
Pia katika kuboresha orodha ipo haja ya kuhakikisha wanachama wa CCM wote ni wanaCCM. Kuna wanachama wa CCM ambao sio wanaCCM (kama inaeleweka). Watu hawa wawapo chamani hushughulikia maslahi yao na walinunua kadi kwa sababu hiyo. Wao hupongeza kila kitu ili waishi. Hii inaweza kupunguza idadi ya wanachama lakini hao watakaobaki ndio chama sahihi.
Elisa
--------------------------------------------
On Tue, 4/19/16, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] CCM Uboreshaji daftari la wanachama ni muhimu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, April 19, 2016, 10:47 PM

Wakati wa
mchakato wa uchaguzi ndani ya chama zilitokea changamoto
mbalimbali ikiwemo kutokuwepo uhalisia wa wanachama kamili
wa ccm, sehemu zingine wanachama walionekana wengi kuliko
isivyo kawaida. Hivyo ipo haja ya kuboresha daftari la
wanachama ikiwemo ulipaji wa ada za wanachama.

CCM inatarajiwa kuwa na wanachama kariu milioni nane, iwapo
kila mwanachama akilipa ada ya shs elfu tano basi itaweza
kukusanya bil 40 kwa mwaka hii itakiwezesha chama
kujiendesha kwa ufanisi zaidi.

Vipo pia vitega uchumi vya chama kama majengo na ofisi
zake iwapo vitasimamiwa vizuri na kuongeza vingine zaidi
basi chama kitapata mapato ya kutosha na kubakiwa na ziada.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment