Ukienda Idara ya Ustawi wa Jamii Wilayani utapata. Kuna sheria na miongozo pia mchoro standard inatakiwa iweje na facilities gani. watu wanajijengea au kuweka madarasa ndani ya ua za nyumba zao bila ya kuzingatia sheria ya space kwa kucheza, madarasa, chumba cha kulala watoto au kupumzika wale wagonjwa. Kama ni ya kutwa nzima watoto wanatakiwa kulala kuwe na facilities hizo, vyoo vyao, meza za kula na aina ya uji-mlo; kupimwa afya kadi za afya wawe nazo umri miaka 3-6 kutoka hapo wanaanza std 1 wakiwa na card za afya za clinic ambapo taarifa zitahamia katika School Health Card ya Wizara ambayo akimaliza sekondari atakwenda nayo sekondari. Wanapopimmwa Body Mass Index (BMI) kuangalia makuzi na afya an kupewa dawa za kuondoa minyoo under elimination of tropical neglected diseases ambapo kila mwaka kuna deworming-itajazwa. Wanapopimwa kwa mwaka mashuleni wenye matatizo wanapewa rufaa ya kutibiwa zahanati na kwenda juu. Kunakuwa na siku maalum ya kuwapima watoto mashuleni ili wapewe dawa za minyoo na shule zinakuwa na makati za afya za wanafunzi, wazazi na kamati kuu ya afya ya shule yenye wawakilishi wa wazazi, walimu na wanafunzi. Walimu na wanakamati wanapata mafunzo maalum ya suala la watoto na afya.
Muhimu kuzingatia regulations kuepusha malezi na huduma mbaya chekechea, watoto watukutu kuonea wenzao, kuambukizana maradhi kwa kukosa huduma stahiki za watoto. Wazazi wengine hugombana na kufika shule ya chekechea kumuiba mtoto. Budi kuzingatia ulinzi wa watoto na wanaowapeleka na kuwachukua wanajaza card maalum yenye picha zao hapo shule. Kama mmeachana na kuna ugomvi na kwenda kuiba mtoto shule kumkomoa mwenzao budi idhibitiwe. Wezi wa watoto halafu kwenda kuwakata viungo na kutupa maiti kudhibitiwa kwa mfumo wa kuweka picha na jina na sahihi ya mpelekaji na mchukuaji mtoto. Huduma kwa watoto vilema muhimu. Kutokana na uhuhimu huu ndio maana Chekechea iliwekwa chini ya Idara ya Ustawi wa Jamii. Hebu fuatilia kwani inaweza kuwa ibebadilika lakini ipo chini ya Wizara ya Afya badala ya Wizara ya Elimu -utata uliokuwa. Labda nimepitwa na wakati lakini ndio kumbukumbu yangu ya mwisho Chalinze (uzee) na kusimamia miradi iliyoingiza shule za chekechea na kuelimisha wazazi uhumimu wa kusindikiza watoto kwenda na kurudi shule kwani hubakwa pia na vibabu (angalia picha attached ya kuelimisha jamii) inanipa hivi.
Ukisha kujenga shule itakaguliwa. Walimu wa Chekechea hufundishwa na Ustawi wa Jamii wana shule maalum za walimu wa namna hiyo. Hata dar private school zipo ila za Ustawi zipo Mwanga kuelekea Bwawa la nyumba ya Mungu kwa mfano na kwingineko (Tanga, Shinyanga etc).
--------------------------------------------
On Thu, 21/4/16, 't.korosso' via Wanabidii <
wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Utaratibu wa kuanzisha Chekechea/daycare
To:
wanabidii@googlegroups.com Date: Thursday, 21 April, 2016, 9:40
Habari. Ninaomba msaada wa kujua
utaratibu sahihi wa kuanzisha day care na nursery
school.
Natanguliza shukrani.
Tuli
Sent
from Samsung Mobile
--
Send Emails to
wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to
wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment