Monday 25 April 2016

[wanabidii] PAULINA MGENI: NAHITAJI MENEJA WA KUSIMAMIA KAZI ZANGU ZA UREMBO

Habari za jioni,

Mr. Verbs ameniomba ni-share na wewe yeye CODES zilikua zinamsumbua.

Paulina Mgeni ndio Miss Utalii Mkoa wa Iringa mwaka 2013 mpaka sasa kabla mashindano hayo hayaja simamishwa; ila kwasasa anafanya kazi za mitindo akiwa kama Mwanamitindo (Model), lakini anahitaji meneja wa kusimamia kazi zake hizo za Urembo (Modeling).

Paulina Mgeni ni Mwanamitindo (Model) anaefanya kazi za urembo na maonesho ya mitindo kwa kujitegemea yeye mwenyewe hayupo chini ya kampuni yoyote wala chini ya lebo ya mtu yeyete, japokua amekuwa akifanya shoo nyingi kwa kushirikiana na baadhi ya makampuni na wabuni mbalili, kwasasa anatafuta Meneja wa kuwa anamsimamia kazi zake.

Mwaka 2013 Paulina alikuwa Miss Utalii mkoa wa Iringa, akafanikiwa kuingia ngazi ya Taifa na kupata tuzo ya the Best Model of Tanzania, pamoja na kuwa Balozi wa models Tanzania; amefanikiwakufanya maonesho (shows) mbali mbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania.

Mwanamitindo Paulina Mgeni akiwa katika pozi.

Paulina amefanya kazi na wabunifu mbali mbali (designers)  kama vile Asia Idalus, Kurwa Mkwandule, Adam Zanzibar house, Wolta Di Maria n.k.

Maonesho (shows) makubwa ambayo amefanya ni  Zanzibar fashion house mwaka 2014 na yale  East Africa Fashion Week jijini Nairobi –Kenya akiwa na makeke internasional, maonesho hayo yalifanyika mwezi 3 tarehe 29 mwaka 2016.

Hivyo kwa yeyote atakaehitaji kuwa meneja wa mrembo huyu kwa ajili ya kusimamia kazi zake unaweza kuwasiliana nae kwa namba +255 716 66 66 96 au kwa barua pepe mgenipaulina3@gmail.com

Paulina Leonard akiwa katika maonesho Zanzibar, Fashion House.

Paulina Mgeni (wa kwanza kulia) akiwa katika maonesho ya East AfricaFashion Week jijini Nairobi  mwezi 3 mwaka 2016

Paulina akiwa katika show ya Lady in RED jijini Dar es Salaam.

Mwanamitindo Paulina Mgeni katika photo shoot.

KAWAIDA

paulina

p2

p3

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment