Thursday, 7 April 2016

Re: [wanabidii] Re: KAGAME: DICTATOR WA KUIGWA: Magufuli anakwenda kujifunza kwake?

Good message


On Tue, Apr 5, 2016 at 22:16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nimesikia Rais Magufuli anatembelea Rwanda karibuni. Tarehe 19 May 2015 niliandika makala hii hapa chini nikiliombea taifa hili kumpata kiongozi atakayejifunza kwa Kagame. Nimeirudisha makala hii tuione ki-vilivyo na kuijadili kuhusiana na safari ya rais wetu kama kweli anakwenda huko. TUSOME HAPO CHINI:
--------------------------------------------
On Tue, 5/19/15, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

Nimeweka post chache kutoka ukurasa wa FB wa Rais kagame wa Rwanda kwenye facebook page yangu. Hii inaweza kuwafanya baadhi kujiuliza kwa nini muimla huyu? Ni kweli Kagame ni Dictator. Ni kweli ana historia mbaya. Lakini mtu mwenye vision akikumbana na kikwazo anaweza kufanya lolote ili aweze kutimiza vision yake. Ukiwaza hivyo huwezi kuchelewa kumsamehe Kagame. Ukifanikiwa kumsamehe huwezi kuacha kumpongeza kwa mambo aliyoifanyia Rwanda katika kipindi kifupi. Ukijaribu kupitia maneno aliyoyasema katika posts nilizoweka utaona alivyo kiongozi mwenye vision.

Soma:
''For fifty years, they have been telling us about poverty reduction. When we speak of poverty eradication, they tell us it is not possible, implying that for us..., poverty must remain. For fifty years, the methods of development have been the same and we have seen no change. Our universities should be teaching that Rwandans deserve better than being beggars and living off the wealth of others. Some of those who give us aid today were where we were 60 years ago. But they used their history to transform their nation. We were all created with equal abilities. There is nothing we are missing to transform our nation. Transformation is up to each and every one of you. There is no shortcut."
- President Kagame speaking to over 10,000 students gathered at the University of Rwanda campus in Huye.


Na hapo:
"We must keep asking ourselves how we are using education to transform lives and in how much time. An education that does not transform your life or the life of others is a wasted education."
- President Kagame speaking with 10,000 students at the University of Rwanda in Huye.

Ni maneno ya kiongozi. hayana blabla. Ukitembelea ukurasa wake utashangaa jambo moja. Matembezi yake nje ya Rwanda ni Ethiopia, Algeria etc. Akiwa huko utaona mambo anayoyaona anaweza kuyafanya Rwanda kuliko viongozi wetu wasioisha kwenda Marekani na Uingereza. Hawana cha kuiga huko. Ukienda Rwanda ukatembelea maeneo kadhaa utaona Kagame aliyojifunza Ethiopia na Algeria. Ukitembelea kwingine ambako marais wao walitembelea Marekani waulize wananchi rais wenu alijifunza nini huko alichowafanyia nchini mwenu Hutakiona.
Namkumbuka sana kiongozi mmoja wa dini aliyesema ----kagame angeitawala nchi hii (akataja nchi yake) ingeendelea.
Ukiwa Rwanda hebu chunguza sana. Polisi barabarani wanaitumikia vision ya Kagame. Akikutana na gari lina dosari anamwambia dereva 'Ukitelemsha abilia au mzigo wako nenda kabadilishe taili limeisha, au weka indicator hiyo'. Polisi anajua lengo la taifa ni maendeleo ya wananchi wake. Hawatumikii matumbo yao tu.

Natamani kumpata kiongozi mwenye vision kama Kagame kuongoza nchi yangu. Na Raslimali hizi?! Itaendelea watashangaa wanaosema ''poverty eradication, they tell us it is not possible, implying that for us..., poverty must remain''.





  --
 
  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
 

---
 
  You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment