Safi ache aziahirishe sherehe hizi
On Apr 6, 2016 4:15 PM, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- Ya nini kuwa na mawazo ya kipumbavu kiasi hicho, ni lecturer Chuo Kikuu cha Dar es Slaam, labuda kana kumbu kumbu zangu haziko sahihi. Umepata wapi wazo la kusema watu wangelilipua mabomu, hivi unachukulia mdhaha na issue ya kulipua mabomu. Hatyupo chekechea hapa mtu kuseu chochote kinachomwijia kichwani. Pima uwezo wako wa kufikiri. Nimeudhiwa sana na mchango wako.On Wednesday, 6 April 2016, 7:51, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kaota ndoto pia kanusa panya kuwa kungekuwa na sherehe wasiotambua uongozi wa sasa wa ZNZ wangeripua mabomu na kuua watu.
--------------------------------------------
On Tue, 5/4/16, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli afuta sherehe za Muungano
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 5 April, 2016, 8:47
Ni hekima ya hali ya Juu. Huwezi sherehekea Jubilei
ya Ndoa yenye migogoro mikubwa hivi kwa mamilioni.
Mheshiimiwa UMEFANYA LILILO BORA ZAIDI. Bravo!
From: 'Hildegarda
Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, April 5,
2016 1:39 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Magufuli afuta sherehe za Muungano
Hongera Mh
Magufuli. Lakini huu hii barabara ya kwenda airport na
uwanja wenyewe toka 1994 unajengwa/kukarabatiwa nabarabara
ikitengenezwa kupanuliwa. Kuwaje kuanzia kipindi hicho hadi
leo haijaisha? Inji hii ina vituko.
--------------------------------------------
On Mon, 4/4/16, Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] Magufuli afuta sherehe za Muungano
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 4 April, 2016, 17:09
Magufuli afuta
sherehe za sikukuu ya muunganoDakika
10 zilizopita Mshirikishe mwenzako
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahirisha
sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na
badala yake
akawataka Watanzania
waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa
katika shughuli zao binafsi.
Siku hiyo hata hivyo bado itasalia
kuwa
ya mapumziko kama kawaida. Agizo hilo
la Dkt Magufuli aidha
linaathiri
shamrashamra za mwaka huu pekee.Siku hiyo
huadhimishwa tarehe 26 Aprili kila mwaka kukumbuka siku
sawa
na hiyo mwaka 1964 ambapo Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
iliundwa kwa Muungano
wa Tanganyika na Zanzibar
(inayojumuisha
Visiwa vya Pemba na Unguja).
Magufuli aamua sikukuu iwe siku ya
kazi Magufuli: Vijana sharti wafanye
kaziDkt Magufuli amesema fedha
ambazo zilipangwa kutumika kwa ajili ya
kugharimia vinywaji,
vyakula, gwaride,
halaiki, burudani mbalimbali na hafla ya
usiku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni mbili za
Tanzania
zitumike kupanua barabara ya
Mwanza Airport katika eneo
linaloanzia
Ghana Quarters hadi uwanja wa ndege wa
Mwanza.Barabara hiyo inafanyiwa upanuzi kutatua
msongamano wa mkubwa wa magari ambayo umekuwa
ukiathiri
shughuli eneo hilo.SOURCE: BBC
Swahili
<
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment