Friday, 1 April 2016

Re: [wanabidii] Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

Labda nijibu swali namba mbili, suala la MCC limekuwa gumzo baada ya wasioitakia mema nchii hii kutaka liwe gumzo kwa kuandika makala mbalilmbali na kutoa comment zinazoonyesha hakuna tanazania tena baada ya Mcc kujitoa,

wenye mawazo mgando wanatumia mitandao ya kijamii kuuhabarisha umma kuwa, Tanzania kamwe haiwezi kujitegemea bila ya misaada ya mabepari wa ulaya na marekani wakipingana na wazalendo Tunaamini kwa kasi hii ya Magufuli Tanzania isiyotegremezi inawezeka kwa kuchapa kazi kweli kweli na kuacha kushinda bar na kucheza pool table.

2016-04-01 10:25 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Kama hivyo ndivyo vigezo:
1. Je, sisi tunaamini demokrasia ilifanyika uchaguzi wa ZNZ?
2. Kama waziri wa fedha anasema "walikuwa wameshajipanga" kwa nini wao kusitisha msaada kuwe gumzo kwetu?
3. Kama tunaweza kujitegemea kwa kila watakaositisha msaada wao shida iko wapi? Si na wao wana uhuru kutokana na matakwa ya wapiga kura wao wanataka kuona misaada hiyo inakwenda tu kwa wale wanaotekeleza demokrasia?

On Thu, Mar 31, 2016 at 9:28 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Magobe,

1. Msaada umesitishwa kwa madai kwamba Demokrasia haikufanyika uchaguzi wa ZNZ. (Demokrasia ni moja ya vigezo vya kupata msaada huo)
2. Waziri wa fedha Dr Mpango ameshasema walijipanga na hilo mapema maana walijua litatokea.
3. Wanajua sisi ni wanyenyekevu kwao siku zote. Labda tuseme walitaka tuendelee kunyenyekea.
4. Mambo yepi yanapindishwa?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment