HOJA YA KIJINGA KABISA YA KUFUNGA MWAKA 2014 KUTOKA KWA REGINALD MENGI
kwenye kurasa zake za facebook na instagram kaandika hivi:
Bwana mmoja alifeli mtihani darasa la7 mara 3. Ikabidi abadilishe jina lake na shule. Leo ni profesa. Nampogeza. Lakini asisahau unyenyekevu. mwisho wa kunukuu.
MENGI anasahau kuwa hata yeye hakuanza na biashara kubwa ya makampuni ya IPP na vituo vya TV na Redio. Alianza na biashara ya kupeleka nyuzi za katani nchini kenya na kurudi na kalamu aina ya Bic nchini wakisaidiana na dada yake. huko nako ni kuungaunga maisha.
Lakini je kwa maneno yake hayo tuamini kuwa vita yake na Prof. Muhongo imeshindwa Bungeni na kwenye media zake na sasa inahamia mitandaoni?
Napata kigugumizi, hizi shule tunazopata zinakiwa kuishia kutufanya kuwa na maisha mazuri kwa maana ya kuwa na mali au zinapaswa pia kutusaidia kupevuka kifikra?
Hii kauli ya MENGI ni ya hovyo kabisa iliyofunga mwaka 2014.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment