Thursday, 11 December 2014

Re: [wanabidii] Taarifa ya Bodi ya Wadhamini wa Shule iliyopokea bil 1.6/= za Rugemalira kupitia kwa Prof. Tibaijuka

Kwahiyo Joseph unamaanisha kuwa shule ile ya kimataifa haijawahi kuwa na pesa kama hizo? 


Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: 'Joseph Lugendo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya Bodi ya Wadhamini wa Shule iliyopokea bil 1.6/= za Rugemalira kupitia kwa Prof. Tibaijuka


Sio bank charges tu, lakini pia kama akaunti ya benki nyingine haijawahi kupokea kiasi kikubwa cha fedha kama 1.6 bl, ikipelekewa fedha hizo benki hiyo haipaswi kuzikubali kirahisi, lazima ijiridhishe kuwa ni fedha halali na zimetoka mahali salama, hiyo ni kanuni ya mabenki yote.

Kwa hiyo, inawezekana kabisa Rugemalila hakutaka kuulizwa mara kwa mara na benki mbalimbali alikotoa fedha hizo, kwa kuwa ni lazima benki zingehoji na hivyo usumbufu kwake aliyetoa fedha hizo, usingeepukika isipokuwa kwa kumlazimisha anayetaka mchango, kufungua akaunti katika benki ambayo yeye pia ana akaunti. Nimetumia utaalamu wangi wa banking hapo na kama kuna wataalamu wengine wa banking, wanaweza kukosoa maoni yangu kwa kutumia kigezo hicho cha kanuni za kitaaluma.


From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: Ezra Guya <ezguya@gmail.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, December 10, 2014 9:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya Bodi ya Wadhamini wa Shule iliyopokea bil 1.6/= za Rugemalira kupitia kwa Prof. Tibaijuka

Kwa uelewa wangu kuhamisha fedha kwenda account nyingine kwa bank nyingine huwa kunakuwa na bank charges...labda tulifukirie na hilo....na tuseme labda lengo halikuwa kuisaidia shule....sasa kwa nini afungue account nyingine?

Ezra Guya <ezguya@gmail.com> wrote:

''Bw. Rugemalira alimjulisha  Mwanzilishi  kwamba yuko tayari kufanya mchango ulioombwa na kumwagiza kwamba  sharti ni yeye Mwanzilishi kufungua account  hapo Mkombozi Benki kuupokea mchango huo na kuchukua jukumu la kuufikisha shuleni  na kuhakikisha unatumika kama ilivyokusudiwa. Bw Rugemalira alieleza hakutaka kuhangaika kuhamisha fedha kwenda benki nyingine ambapo tayari kulikuwa na akaunti za shule'' mwisho wa kunukuu

Hapo ndio kuna uongo, hv kuna ugumu gani kuhamisha fedha toka akaunti moja kwenda benki nyingine

2014-12-10 20:19 GMT+03:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Duh...lkn najua wengine bado hawataelewa hata pamoja na maelezo haya...thanks sana...


'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Abdalah tunashukuru kwa taarifa inayozaa maswali bafala ya kujibu.


Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Taarifa ya Bodi ya Wadhamini wa Shule iliyopokea bil 1.6/= za Rugemalira kupitia kwa Prof. Tibaijuka


BARBRO JOHANSSON GIRLS' EDUCATION TRUST

                                                      JOHA - TRUST

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment