Thursday, 11 December 2014

Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Ngulupa acha kupotosha njiambie wapi na katika kitabu gani ambapo inaelezwa kuwa Mungu alimuumbia Adamnu wake wengi. Tunaambiwa alimuua adamu, mtu mmoja tu na akamletea Hawa (Eva) mmoja tu!


On Wednesday, December 10, 2014 5:43 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Frank...mwalimu ukiingia darasani anauliza swali...1000/0 sawasawa na ngapi?na kisha....ina maana mwalimu hajui jibu la swali la swali au kuna kitu anataka kujua? Halafu,sijauliza mapenzi ya Mungu bali nimeuliza amri ya Mungu..au kwako mapenzi na amri ni sawa? Bwana Frank...nafikir learn kuwa na diplomasia..na uelewe ufalme wa Mungu kwa mapana yake...la sivyo unaweza ukajikuta unamuudhi Mungu badala ya kumpendeza. Mi najua....aggresive christians they have their prophets they trust...so hawaamini Mungu anaweza akaongea na yeyote anayempenda,so I dont bother about people like those.....Mungu ni mpana sana ndugu Frank....acha tu hiyo tabia ya kuattack watu in the name of perfectionist....utajikuta unakera tu watu zaid ya kusaidia...Ngupula..

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula, hii mada ilishajadiliwa sana hapa jamvini na sio mada mpya na sio mara ya kwanza. Na ilihitimishwa vizuri tu. Ukiwa Mkristo unayedai umeokoka, hutakiwi kuwapotosha watu. Wewe si uliwahi kumwomba Mungu? mpaka akakuambia ni nani raisi ajaye baada ya JK? Je, kuokoka kwako kote huko huwezi kujua ni nini hasa  mapenzi ya Mungu katika suala dogo kama hili la ndoa kwa Wakristo?. Najua huwezi kuzizungumzia imani nyingine kwa sababu huzifahamu, lakini kwa Kikristo katika Agano Jipya, hapa umetia aibu. Najua kuna watu wengi wanaodai kuokoka kama wewe, na hata wachungaji lakini wana michepuko. Ni comedians wazuri tu na wanajenga hoja za kisanii kama hizi ili kuhalalisha, au/na kujiridhisha katika dhamiri zao. Lakini ukweli utabakia pale pale, na utasimama na utashinda. Frank 


From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, December 10, 2014 9:33 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Ngupula unatupotosha. Mke ni mmoja. Haya mengine ni ubinafsi, tamaa, ufahari wa kijinga, uamuzi potofu na hulka ya uhayawani.


On Tuesday, December 9, 2014 12:41 PM, salumkango via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Sent from my smartphone on the new Vodafone network


Nilitaka kujibu hili swali lkn niliposoma mpaka mwisho nikagundua kuwa mwandishi anawakusudia Wakristo tu na nafikiri wao watakuwa katika nafasi nzuri kujibu.


S. Mkango.

Sent from my smartphone on the new Vodafone network

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Kwa wakristo imezoeleka kuwa kuoa mke mmoja ndio sahihi mbele za macho ya Mungu...na karibia wakristo wote hawapingani katika hilo. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Mungu hajawahi kutoa amri kuwa mwanamme aoe mke mmoja au wake wengi. Hivyo basi kuoa mke mmoja kimsingi imetokana na tunda la kiasi kwa watoto wa Mungu na sio amri ya Mungu. Kwa kadri ya mtume Paulo kuoa ni kwa ajili ya tamaa ya mwili. Na anayeoa anapoteza credit kwa Mungu kwani atajishughulisha na mambo ya mke na si Mungu...kwa kadri ya biblia,Mungu alikataza watu wake wasioe watu wa imani tofauti kwani watawakengeusha moyo..ni kweli ndoa za wake we
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment