Nchi hii, hata aje Rais mwenye vichwa saba, vyenye mapembe, macho yanayozunguka kama pweza na mikia ya kurusha kila kona hatutofika kokote kama sisi watanzania kwa ujumla hatutokubali kubadilika katika akili zetu, frikra na utendaji kazi wetu wa kuwajibika kwetu wenyewe, kwa jamii zetu na taifa kwa ujumla. Matendo yetu ndani na nje ya familia yabadilike kiendelevu.
NGO na watumishi wa serikali na wa private sector wote wanawajibika kutimiza wajibu bila ya kuwa na tamaa ya kujaza matumbo yao. Private sector wezio, NGO zina watumishi wabinafsi na wengine kukaa madarakani maisha kama nilivyo katika vyama vya siasa na kutemgemea donor money hivyo kujiingiza ktk siasa. private sector inafanyakazi sio to quality, wanaibia raisa na serikali wakulima na wafugaji na wagonjwa. hujipendekeza kwa wakubwa ili waiibie GVT zaidi katika mikataba isiyokamilika. Hawajiungi wakaushika uchumi bali wakija wageni kulalamika kuwa wanakosa uwekezaji, raslimali, mikataba. Wakiajiri wabongo wenzao-hawawalipi hela hata mishahara ya serikali mikubwa kuliko wao na watumishi wao ktk kazi hatarishi hawawapi protective gear. Mkandarasi mzawa anajenga chini ya kiwango-akifuatiliwa anahonga mkaguzi na wakubwa. Wakipewa makampuni ya wageni ujenzi-kulalama.
Mifano mingi sana hivyo Kiongozi pekee hawezi kufanyakila kitu kwa mikono yake yy ni kuongoza.
Ikiwa wanaoongozwa hawabadiliki kimawazo na kimatendo- hakutokei maendeleo hata vinchi vidogo vitatupita. Kilawakati tukipata visingizio ndio inakuwa mwanzo wa kulalala miaka, kukataa kuchangia maendeleo na sababu tele-itapita Richmod, itaingia Gas ya Mtwara, IPTL, ESCROW mradi tu tumepata pa kusemea makosa mengine yote yetu pia na uzembe na uharibifu tunauweka kando karne ipite tutapata jingine la kuhemea na kufanyia maandamano na vikao.
Tunawaona vijana wamemaliza shule jana kaajiriwa leo anataka utajiri wa haraka haraka anadhulumu watu na kununua magari ya kuonekana.
Mkulima yupo kijijini analewa kuanzia asubuhi, anauza mahindi mabishi shamba analewea mvuno ukija hana kitu; amevuna sana anauaza haweki pesa banik-anasa anaongeza wake tu na anaishi nao katika kibanda nje unawachungulia unawaona. Miti ya bure, mvua inanyesha maji yapo-haoni hata umuhimu wa kukandika nyumba au kuezeka nyasi mpya. Ananyeshewa kila msimu na nyazi za bure na miyaa ya kamba ipo pori mpaka mlangoni. Na hapo choo hana anajikosha mtoni anachota ya kunywa hapo. Wamecjimbiwa visima vya pampu-wameiba pampu na kuuza chuma chakavu au imeharibika-hawachangi kumpa hela fundi kijiji atengeneze ila wanakwenda mbali kuchota maji kilometa 5 au kununua dumu 1000/=. Kuchanga shs 1,000/= kila mtu noma-serikali itutengenezee lakini kwa mwezi ananunua maji zaidi ya 30 elfu na kulewa komoni au tembo juu.
Wakimpata kiongozi mkali kijijini anayekagua mashamba, kukataza uvamizi, kuhamasisha michango na nguvu kazi-watamchukia na baadae kumchagua anayewaahidi kutokuwasumbua na michango kisingizio sasa kimepatikana-ESCROW.
Tunawaona wadogo zetu wanachimba mchanga kujaza lori moja 60 elfu laki na kutwa lozi 3-6. Hawana vitanda, godoro wanalala chini. Kunywa viroba kutwa, bhangi na madawa starehe tu mito inaharibika, misitu inaishia-ESCROW! ndio lugha sasa mpaka kufa.
Kwa nini penye raslimali kuna uharibifu na umasikini? Unawapeleka group ranches kenya kuona ufugaji kisasa, mbunge anapelekwa study tour India, Norway etc akirudi-hakuna mabadiliko yoyote kijijini kwake. Hivi Mbunge wa Monduli au Bunda, Magu, shinyanga-akisimamia hasa kuongea na watu wake kuhamasisha kuboresha kilimo na ufugaji endelevu-kutakuwa na wafugaji wanahamahama na maelfu ya mifugo na kuishia kudhuru wenzao, kupigana wao kwa wao na kuuana kilometa 1000+ kutoka makwao. Kwa nini wasibaki makwao wanakotoka wakatumia ardhi sustainably? Mbona kwao wakilima hawalishii mifugo mazao hata kama wanasheherekea kumbukumbu ya ndoa ya bwana na bibi wenye mifugo hiyo? Kwa nini watu wauchimbue mto unaotegemewa kwa maji ya kunywa wauharibu kwa kukoshea dhahabu kwa kutumia mercury, kuchimba msitu maji kusaka dhahabu, kukata magogo kuchomea mawe na kisha kuishia hela katika mabada ya pombe wakiwa wameharibu sio hela bali pia mito na misitu tegemewa; kujidhuru kwa zebaki na kumaliza hela mabanda ya shutashuta? Rais atafanya kipi kiwe tofauti ikiwa akili zetui hasitaki kusikia la maana na kubadilika ipasavyo? Kwa wenzetu nchi ni ndogo na wameumizwa na vita ila ni tofauti na sisi wao wasikivu, watii wa sheria na viongozi wao. Watatupita tu. Sisi ubishi, malumbano, fahari ya kuonekana, rushwa, kuendekeza udugu, ukabila, kukwepa lawama na kutaka kura (usiwaondoe wapiga kura wangu kando ya mito, ndani ya misitu etc). Tunawaona wakijenga kando ya mito, maeneo hatarishi bondeni na milimani; wakizidisha mifugo, kilimo milimani bila makinga maji, moto unawaka milimani tunaona unapasua mawe, wamelipwa fidia hawaondoki wanaendelea kujenga; wameondolewa maeneo hatarishi na kupewa viwanja kwingine wanarudi tunawaachia. Wanajenda ndani ya mashimo yaliyochimbwa kokoto kunakojaa maji tunawatazama. Ni kaka, baba yako, nduguyo humwambii ahame hata. Ukiongozi unawaangalia, wewe ni extension staff wa mazingira, afya, maendeleo-unapita hapo unawaona. U mwanasheria wa wilaya hiyo, mbunge-huchukui hatua! Unawaona wanauza chakula mavumbini, kuna mainzi, vupi jeusi la lead la magari-unanunua na unakaa unakula hapo hapo barabarani chakula hicho. Rais afanye nini peke yake kama nasi hatutobadilika na kutimiza wajibu wetu pale tulipo na kutii sheria pia? Angalia kiambata halafu jiulize-atakayebadilisha haya ni RAIS Ajaye au sisi wenyewe pia?
On Thursday, 11 December 2014, 13:00, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mh hawezi kabisa jamani tumwacheni mzee wa watu apumzike hua nafasi hii IKULU inahitaji wenye roho ngumu sana kwa kweli sasa hapa tu UPM mh kunamshinda vitu kibao hajui je uraisi sasa? Siku moja nilimsikia akisema hata yy ana shangaaa kuona mashangingi yanendelea kununuliwa wkt alishapiga marufku then tuli hadi leo....aaaagggh kifupi hatoweza jamani....Msikimbilie IKULU tuuuu hata kama unajijua huna sifa.....Kwa sasa ni kweli kabisa kila mtu anajua EDO hana mpinzani kabisa sio CCM au UKAWA atashinda kwa kura nyingi sana.
Tuhangaike kujadili namna gani EDO ataikomboa nchi kwani kwa sasa ndiye chagua la wanyonge na wanoitakia nchi iondokane na tabu hizi
Mollel
From: 'Dickson Greyson' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, December 11, 2014 12:40 PM
Subject: Re: [wanabidii] MHE PINDA NA NAFASI YA URAIS 2015
kaka mkuu hajui hela ya escrow ya nani? iptl , pap au tanesco.
hapa ndio utajua ipi mbivu ipi? ipi mbichi?
On Wednesday, December 10, 2014 10:34 PM, 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hivi tunajadili SIFA za Rais aliye Amiri Jeshi Mkuu, Mlinzi na mtetezi wa rasilimali za nchi na anayeguswa na umasikini wetu, akachukizwa na rushwa? Ama Rais gani??? Kwa maana hata kwa maoni peke yake, mengi ni kama yanajikita kwenye mizaha.
------------------------------
On Wed, Dec 10, 2014 8:49 AM PST 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii wrote:
>Mungu tusaidie tuuone mwanga, maana hawa wanaotajwa hapa ni kama tunataka kuendelea kuwakabidhi nchi majambazi wanaotofautiana mbinu za uporaji tu.
>
> From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> To: 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Saturday, December 6, 2014 4:31 PM
> Subject: Re: [wanabidii] MHE PINDA NA NAFASI YA URAIS 2015
>
>Gikaro na wenzako, hivi bado tu hamjachoka kumuita Lowassa fisadi?kwa ufisadi upi?mbona sasa iko wazi kabisa mwiz wenu ni nani?halafu angalia usemavyo,eti afadhali ya Jj kuliko pinda...are you serious?....ngupula...
>
> 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Tngu zamani nimesema na nitaendelea kusema kuwa Pinda hafai hata kidogo kuwa Rais wa Tanzania. Ni mara 100 Kikwete achakachue katiba (kama CCM wamekosa mtu wa kuwaongoza) ili aendelee kuwa Rais kuliko Pinda. Ni afadhali Fisadi Lowassa kuliko Pinda. Kama Pinda wangekuwa wanapambana na Lowassa kwenye uchaguzi, kura yangu ningempa fisadi Lowasa. Ni heri kuwa na fisadi anayetengeneza sh milioni moja....akachota laki 5 na laki 5 zingine zikaenda kwa maendeleo ya Wananchi kuliko Pinda dhaifu anayetetea wezi huku wananchi hawanufaiki chochote.
>
> On Monday, December 1, 2014 12:35 PM, 'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
> Tukio kubwa lililo tukia huko dodoma katika sakata la escrow ni ujumbe tosha kuwa bwana mkubwa huyo hafai kuliongoza taifa letu,nashangaa sana wabunge walio mtetea hali wakijua waziri mkuu asiyejua fedha zinazotunzwa BOT ni fedha za umma tu,imenishangaza sana hotuba yake ya kufunga bunge bado anaendelea kusema eti atafanya uchunguzi kuona yaliyo semwa CAG kuwa yanaukweli kiasi gani,hii ni aibu ya mwaka ndio maana alisabisha fedha ya wanyonge DECI kuipola mpaka leo hawezi kuwaambia watanzania ameiweka wapi na atairudisha lini huo ni wizi wa mchana,napendekeza kwaRais amwajibishe wa kwanza yeye harafu wafuate mawaziri wote waliokuwa wakimtetea ktk hili hatuna imani na waziri mkuu aina hii dhaifu na mbaya zaidi kwa taifa mtu aliyepewa heshima ya kuandika katiba pendekezwa ndg chenge ni miongoni mwa mafisadi wa escrow hivi mnategemea katiba hiyo iingizwe maadili yaliyo pendekezwa na Waryoba?yayobana mafisadi,lilazimu mafisadi watengeneze katiba inayo
linda ufisadi wao na waziri mkuu akiwalinda,watanzania kama hamtafumbua macho kuona kuwa Mungu kupitia kashifa ya escrow kuwa UKAWA ndio ukombozi wa taifa wa sasa Mungu anaowaonyesha mtaipitisha katiba ya mafisadi na kukataa UKAWA,mtakuja kujuta kwa nini mlizaliwa Tanzania.Pinda hafai kwa lolote2015.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment