Statistics za zahanati vijijini zinaonyesha kuongezeka kwa ugonjwa wa kifafa age 5+ sio under 5. Ni wazi kuna desturi au mienendo inayosababisa kuwepo na kifafa.
Watu wengi wanadhani kifafa ni ugonjwa wa kurithi tu au wa kulongwa. Tujiangalie na mambo mengi ambayo husaidia kusababisha matatizo katika mishipa ya damu kushindwa kupeleka damu sawasawa mwilini na oxygen na hasa mishipa ya neva (nerves)
(i) Ulaji wa nyama ya nguruwe isiyopikwa ikaiva sawasawa umeongezeka sana mijini na vijijini na kifafa kinapanda kutokana na mynuoo wa nguruwe wa tapeworm (mnyoo wa tepe) na madhara yake ktk kutengeneza matezi ubongoni yanayobana neva na ukaanga kuanguka kifafa. Wafugao nguruo sio kula nyama hizo tu bali kushika kinyesi, kukanyaga wakisafisha mabanda na kupata madhara ya tapeworm kuwaingia mwilini. Pamoja na kupata heza za ufugaji nguruwe waelimishe walaji na wafugaji. Angalia rekodi za maradhi wafugako na walako nguruwe sana uone.
(ii) Vijana na watuwazima kufanya kazi za kupaka rangi magari, nondo, mbao na tina hutumika; rangi majumbani kazi za ujenzi; kupiga madawa ya kilimo, mifugo, fumigation majumbani, katika magodown, fumigation melini bila ya kuvaa protective gear ya kuzuia kuvuta hewa chafu ya rangi na kumikali. Yoye haya huleta madhara ktk ubongo pia. Anapiga dawa hizo huku anavuta sigara. Pia, kuishi jirani na viwanda vitumiavyo madawa hayo, nyumba mbanano, hewa watutayo watu na watoto ni hiyo itokayo garage hapo. Wamama/dada wa saluni ndio anazishika bila gloves madawa ya nywele, anavuta pumzi ndani wala hayali gloves zinamchelewesha na kuziba pua ni tatizKukicha anapumua kemikali za nywele na rangi za kucha, nywele na kuchukua zebaki na lead (risasi mwilini) kumuongezea blood poisoning na athari za neva kytokana na madawa yenye mercury ya kuchubua watu na mwenyewe. Mercury ni neurotoxin lakini fumes za kemikali utaishia kifafa pia. Eti-tunakunywa maziwa kila siku sio kujilinda.
(iii) Tujiangalie kuna sheria katika kila kutumia madawa ya aina fulani ila hatuzingatiii. Hata jinsi ya kumwaga dawa za kuogeshea mifugo ktk dipu-inamwagwaje ipo lakini hatuzingatii, maji hayo yanaingia mtoni tunakunywa na mifugo yetu. Na sasa kuna uvuvi wa samaki kwa kutumia sumu za panya kwa use dilution ndogo. Ina madhara kiafya. Hivyo dagaa tutalo kutoka mwanza linalovuliwa kwa kumwaga sumu majini linatuumiza wote. maji ya saluni yanamwagwa barabarani tunaona, tunakanyaga, yanaingia katika mabomba yaliyopasuka maji yanakunya kutoka mainpipes kuja kwetu twanywa kemikali-kifafa ni athari mojawapo. Huko kwenye mashamba ya korosho, pamba wanakopiga dawa na kukoshea vifaa vyao mitoni, ziwani. Mtu anapiga sulphur katika mikorosho hakuvaa gwanda la ulinzi mwili, pua kupumua sulphur. Kisha ni joto-anajipulizia hiyo dawa mwilini apate ubaridi. Ikiunganika na maji ya mvua-sulphuric acid tunainywa. Tunakanyaga unga wake kutokana na kumwagika na uhifadhi mdogo-tunajiharibu mwili na kutengeneza vilema vya aina nyingi. Kapumua sulphur ya mikorosho anapiga hajali maelekezo kiafya, akiumwa ugonjwa wa mapafu-anamshuku mtu uchawi anamuua kizee jirani yake eti kamroga. Ni hivyo kwa kifafa pia ndugu kushikana uchawi.
Kula nyama ya nguruwe iliyoisha, vijana wavae protective gear kikazi. Wamasai huwa na muda wa kupiga dawa zao za kienyeji na supu za nyama ili kutoa minyoo. Tuwe na tabia ya kula dawa ya minyoo kila baada ya miezi 3.
Mashule Tanzania wana mradi wa school health wanaofanya deworming kila mwaka na kutumia dawa kali zinazoua minyoo yote mpaka ya tape. lakini siku ya deworming baadhi ya wazazi hukataza watoto wao wasiende kula dawa hizo eti wanaua kizazi wasije kuzaa ni mpango wa wamarekani sasa ni Obama against fellow africans. Huu ni uongo. Mradi huu ulianza 1980 Dodoma, Singida ili kupunguza madhara yaletwayo na minyoo ya aina nyingi mpaka kichocho na kansa ya kibofu, minyoo ya tepe na ya safura etc ili kuboresha elimu kupitia mahudhurio mazurio ili waweze kuongeza ufaulu; kuwapa watoto chakula wapasi na waje shule bila maradhi. Kamati za afya wazazi na wanafunzi na timu ya afya mashuleni kata, wilaya wanausimamia na kuuendesha. Kila mwaka Taifa hutoa dawa za minyoo bure na dawa za kupunguza matende na mabusha-ni munyoo izibayo njia za mapito ya majimaji mwilini-kanywe dawa zinapotolewa bure. Mbu Culex ndio anabeba kimyoo cha busha, tende. Wacha kukaa bar unakunywa hadi usiku wa manane. Ndio ugongwa huambukizwa-usiku. Tumia chandarua, ondoa mazingira ya maji machafu kutuama ndio culex anazaliwa humo ktk maji machafu. Ukiishi na mwenye tende au busha nyumba moja 80% ya wakazi humo wana vidudu vyake hata kama ugonjwa haujajitokeza. Ukiishi radius ya kilometa moja toka mtu wa tende na busha 0.1-48% mna vidudu. Kutokana na climate change effects joto kuongezeka-culex anataga hata maeneo ya miinuko kama kuna maji machafu na kasafiri na gari kutoka coastal areas na watu waliotoka ulipo ugonjwa wapo huko na vidudu vyao wamekwenda likizo home. Mnyoo wa nguruwe nao unapamba moto.
Nimechangia kama mdau wa afya na maendeleo. Waone Association of Traditional and Alternative Medicine (ATME) watakuunganisha na doctor anayesaidia matibabu ya magonjwa mengi yaliyoshindikana mpaka kifafa. Mpigie Mr Bonaventura Mwilongo-0755371482. Wapo Magomeni Kagera. atmetanzania@gmail.com also Boresa2009@yahoo.com
Wapo chini ya Baraza la Afya la Wizara ya Afya na taasisi ya utafiti wa dawa za asili Muhimbili DSM. dawa zao ni mimea asilia hupimwa na kusimamiwa kikazi na Wizara. Sio wapiga ramli.
On Thursday, 11 December 2014, 18:03, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hali yako,
Nenda Hospitali ya Muhimbili, idara ya madawa asilia.
Hapo utapata msaada wa dawa inayo lete nafuu sana kwa waonjwa wa kifafa.
Aidha mmea unaotumiwa ni aina ya Hyptis Suaveolens.
Taarifa zaidi zipo huko muhimbili.
Pole sana.
M.MNZAVA
0713370555
On Thursday, December 11, 2014 11:14 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mrisho;
Katika meseji ya Faraja hapo chini kaweka namba zake za simu,kwa mrejesho wa haraka ni vema ukampigia kujua.
Reuben
From: Mrisho Choba <chobamrisho@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: farajalugome@yahoo.co.uk
Sent: Wednesday, December 10, 2014 8:28 AM
Subject: [wanabidii] Re: Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa
Habari wandugu,
Tunaweza pata mrejesho wa huyu ndugu. Alipata tiba iliyomsaidia. Kuna mtu anatatizo kama hilo na ningependa nimuunganishe ili naye apate tiba.
Mrisho
On Thursday, 19 June 2014 11:40:10 UTC+3, faraja kristomus wrote:
> Wapendwa Watanzania wenzangu,
>
>
> Nina ndugu yangu ana kijana wake amepata kifafa ukubwani akiwa na miaka 20. Ameugua toka mwaka 2011 na mpaka sasa hajapata matibabu ya kumponya. Alipata vipimo Muhimbili ikaonekana kuwa tatizo lake halitibiki ila aendelee tu kunywa dawa kila siku anapoenda kulala. Amekuwa akinywa hizo dawa na mara kadhaa amejaribu dawa za kienyeji na kuonyesha kupata nafuu lakini bado tatizo
> hujirudia.
>
>
> Kibaya zaidi anategemea kujiunga na vyuo mwaka huu. Akiendelea kuwa na hali itakuwa vigumu sana kwa wenzake vyuoni. Najua ndani ya jukwaa hili haliharibiki neno. Naombeni msaada wenu kwa wale wanaoweza kujua wapi anaweza kupata dawa za kuweza kumtibu huyu wa ndugu yangu. Naomba tuwasiliane kwa 0787525396 kama kuna sehemu ungependa tujaribu.
>
>
> Asanteni sana.
>
>
> Mr. Faraja Kristomus
> Department of Foreign Languages and Linguistics
> University of Dar es Salaam
> P.O.Box 35040, Dar es Salaam
> Tanzania
> Mobile: +255 787 52 53
> 96 / +255 717 086 135
>
> "All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment