Mhongo kweli ni msomi lakini kwa sasa hafai.Dar Mwakyembe anafiti nafasi hiyo,anayefuatia Mwigulu nchemba na wa mwisho ni Dr kafumu.
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Nafikiri kwa upepo ulivyo Rais hata angeweza kuwa na sababu za kumtetea Muhongo hawezi kuthubutu kufanya hivyo labda akishauriwa vibaya.
>
>nafikiri kwa hali ilivyo na kwa kuzingatia kuwa wizara hiyo sana sana inahitaji utaalamu wa sheria maana inategemea uwekaji wa mikataba ya uwekezaji basi Dr. Harison G. Mwakyembe anaweza kumfaa rais akipewa uwaziri katika wizara ya Nishati na madini.
>
>Kumfaa Rais: Nina maana kuwa kila mmoja anaona kuwa wananchi wamechoka. Wameanza kuonyesha hasira yao kwa Rais na Chama chake. Mabadiliko katika nafasi hiyo vinaweza kukipa chama nafasi ya kupumua na kujipanga. Mwakyembe anakubalika utendaji wake na ukweli kwa alisemalo. Hakuna harufu ya ufisadi ndani ya utendaji wake, hivyo anaweza kumfaa.
>--------------------------------------------
>On Tue, 12/16/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] RAIS KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO YA BUNGE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, December 16, 2014, 9:44 AM
>
> RAIS
> KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO
> YA BUNGE:Je!
> Mhongo ataendelea Kuonekana Mwongo kwa Rais Kikwete au ni
> Chuki za Madalali wa Gesi?Je!
> Iwapo Mhongo ataondolewa kwenye nafasi aliyopo, unafikiri ni
> Nani Mwenye Uwezo wa Kumrithi ili Wizara ya Nishati na
> Madini iweze kujiendesha kwa Ufanisi?
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment