Tuesday, 16 December 2014

Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Inaelekea nina kichwa kigumu sana, lakini ngoja niendelee kuwachokoza. 

Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu.....

..Mungu akaona kuwa mtu huyo yupo peke yake ...

....akasema nitamfanyia msaidizi..

.....akamuumba Mwanamke....kwa kumtoa UBAVUNI mwa Adam....

Swali la kwanza:  

....Je ile ni ndoa ?

Swali la pili: 

.... je , huo ndio umwili mmoja tunaourejea Wakristo siku hizi?  

Swali la Tatu:
....Je hilo ndilo rejeo letu Wakristu katika kuagiza kuwa mke halali ni mmoja pekee?

Tutafakari pamoja

.
On Monday, 15 December 2014 15:39:34 UTC+1, Joseph Ludovick wrote:

Arbo
Soma alichosema Yesu. Hapo mwanzo mungu alitaka...ndiyo maana akaumba mume mmoja na mke mmoja...but because you were unteachable!!!

On Dec 15, 2014 5:31 PM, "Arbo" <akih...@gmail.com> wrote:
Ninakupata sana Reuben. Nadhani hilo litakuwa ni jambo jengine. Umetembea na mwanamke asiye mkeo (..wa pili , wa tatu..nk) kama wapo.

On Monday, 15 December 2014 11:56:22 UTC+1, Reuben Mwandumbya wrote:
Arbo;
Amri ya sita inayosema usizini,kuzini ni kutembea nje ya ndoa.
 
Reuben

From: Arbo <akih...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Sunday, December 14, 2014 6:33 AM
Subject: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Ngulupa , mi nadhani wajibu hoja wengi hawajakupata. Ngoja nichomekee mie kidogo. Na hili linawahusu zaidi Wakristo. Twafahamu fika kuwa makatazo ya Mungu huelezwa na kusisitizwa kwa muhutasari katika amri zake kumi.

Sasa labda turejee kule na kuchambua miongoni mwa hizo amri kumi ni ipi inaelekeza mwanaume awe na mmke mmoja au inakataza kuwa na zaidi ya mmoja.

Karibuni sana.

On Tuesday, 9 December 2014 09:28:19 UTC+1, Godfrey Ngupula wrote:
Kwa wakristo imezoeleka kuwa kuoa mke mmoja ndio sahihi mbele za macho ya Mungu...na karibia wakristo wote hawapingani katika hilo. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Mungu hajawahi kutoa amri kuwa mwanamme aoe mke mmoja au wake wengi. Hivyo basi kuoa mke mmoja kimsingi imetokana na tunda la kiasi kwa watoto wa Mungu na sio amri ya Mungu. Kwa kadri ya mtume Paulo kuoa ni kwa ajili ya tamaa ya mwili. Na anayeoa anapoteza credit kwa Mungu kwani atajishughulisha na mambo ya mke na si Mungu...kwa kadri ya biblia,Mungu alikataza watu wake wasioe watu wa imani tofauti kwani watawakengeusha moyo..ni kweli ndoa za wake wengi zina matatizo mengi lkn hata za mke mmoja zina matatizo mengi pia...lengo la kuandika mada hii ni kujilirisha kuwa je ni amri ya Mungu kwa wakristo kuoa mke mmoja tu au ni tafsiri za waliotutangulia? lkn kiukwel hata kuoa huyo mke mmoja Mungu hakutoa amri..ni hiari...je basi hiyo amri ya mume mmoja mke mmoja imetokea wapi?
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment