TAARIFA KUHUSU BOMU LILILOONEKANA MTWARA
Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16 2014 kwenye kijiji cha Mdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa mtwara liliokotwa na watoto waliokua wakicheza karibu na eneo la makaburi.Taarifa ilitolewa Polisi baadae ambapo baada ya wataalamu kuja na kuchunguza waligundua ni bomu la kurusha kwa mkono ambalo lina namba TNT MORTAR BOMB 60MM,LOT SOL 618 ambapo Polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi walichukua hatua za kiusalama na kwenda kulilipua porini.
Kaimu kamanda wa Polisi Mtwara Maisha Maganga ameongea na na kusema 'ukiliangalia ni bomu ambalo ni la muda mrefu nadhani ni kipindi kile cha vita ya Msumbiji, tulilipeleka porini likalipuliwa na ulipuaji wake haukuwa na madhara… na sio kwamba ni bomu tunaweza kusema limeletwa ama imekuaje, ni bomu la muda mrefu tu'
Ni
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment