Thursday, 26 June 2014

[wanabidii] Re: MENGI AZUIA WAHARIRI WAKE KUANDIKA HABARI ZA KILANGO NA LUGOLA

Mheshimiwa Mbunge Anne Kilango, muda mchache uliopita amejibu habari za Mkurugenzi wa IPP Mzee Mengi kupiga marufuku magazeti yake kuandika habari za Mbunge huyo na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola, kwa kuwa upande wa Waziri wa Madini na Nishati Prof. Muhongo katika vita ya Bilionea huyo na Waziri Muhongo, Mheshimiwa Kilango amesema:- "Kama habari hizi ni kweli, basi Mzee Mengi atakuwa amekosea kitu kimoja, mimi simuungi mkono Muhongo kama Muhongo, natetea Serikali ambayo ndio wananchi na wala sio vinginevyo" alimaliza na kukata simu!!

On Wednesday, June 25, 2014 10:57:51 PM UTC+3, Emma Kaaya wrote:

MENGI  AZUIA  WAARIRI WAKE KUANDIKA HABARI ZA KILANGO NA LUGOLA

 mwenyekiti wa makampuni ya ipp REGINAD MENGI ambae yupo kwenye msuguano na wazir wa nishati na madini ,profesa SOSPETER MHONGO kwa kile mengi anachodai  MUHONGO anazuia watanzania wasiruhusiwe kuwekeza katika vitalu vya gesi MENGI amehamishia vita hivyo kwa mbunge wa same mashariki ANNE KILANGO na mbunge wa mwibara KANGI LUGOLA. 

Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika toka ndani ya kampuni ya ipp media inayomilikiwa na MENGI  imeeleza kuwa jnne ya wiki hii imeeleza kuwa mengi amewataka  wahariri wa vyombo vyake kutochapisha na kutanganza habar zozote zinazomhusu kilango na lugola  kwa sababu wabunge hao wameonesha wazi kuunga mkono Muhongo ambae hiv sasa inadaiwa ni adui wa mengi hata hivyo vyanzo hivyo vinalaani uamuzi huo wa mengi kwani unavunja haki za wananchi ya kupata habari kutoka kwa lugola na kilango.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment