Thursday 12 June 2014

[wanabidii] PICHA ZA SOKO LA MCHIKICHINI BAADA YA KUTEKELEA KWA MOTO JANA USIKU

Vitu vyangu vyote vimeteketea basi niambulie hata misumari, hayo ni maneno ya mfanyabiashara wa soko la Karume

Vitu vyangu vyote vimeteketea basi niambulie hata misumari, hayo ni maneno ya mfanyabiashara wa soko la Karume.

Moto sio tuu umeunguza soko na mali za wafanyabiashara bali hata mabango ya matangazo yalikuwepo katika eneo hilo yameungua moto kama unavyoyaona picha.

Moto sio tuu umeunguza soko na mali za wafanyabiashara bali hata mabango ya matangazo yalikuwepo katika eneo hilo yameungua kwa moto.

Watu wakionekana kusikitishwa na hali hiyo ya kuungua moto kwa soko maaarufu la Karume, moto ulitokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi.

Watu wakionekana kusikitishwa na hali hiyo ya kuungua moto kwa soko maaarufu la Karume, moto ulitokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi.

Baadhi ya masanduku ya kuhifadhia nguo yakiwa yameteketea kwa moto.

Baadhi ya masanduku ya kuhifadhia nguo yakiwa yameteketea kwa moto.

Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa soko hilpo wakionekana kushikwa na bumbuwazi kwa kutooamini kile wanachokiona.

Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa soko hilo wakionekana kushikwa na bumbuwazi kwa kutoamini kile wanachokiona.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment