Sunday, 8 June 2014

[wanabidii] Mhariri Mtendaji Gazeti la Jambo Leo Ameremeta

[caption id="attachment_47459" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-47459" alt="Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0135.jpg" width="480" height="568" /> Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_47456" align="aligncenter" width="455"]<img class="size-full wp-image-47456" alt="Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0088.jpg" width="455" height="640" /> Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time.[/caption]

[caption id="attachment_47464" align="aligncenter" width="455"]<img class="size-full wp-image-47464" alt="Mhariri Mtendaji Mtendaji Jambo Leo Apata 'Jiko'" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0171.jpg" width="455" height="640" /> Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akilishana keki na mkewe Levina A. Mtei katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_47463" align="aligncenter" width="474"]<img class="size-full wp-image-47463" alt="Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0162.jpg" width="474" height="623" /> Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake.[/caption]

[caption id="attachment_47461" align="aligncenter" width="401"]<img class="size-full wp-image-47461" alt="Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0150.jpg" width="401" height="640" /> Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_47457" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-47457" alt="Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0107.jpg" width="480" height="601" /> Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake.[/caption]

[caption id="attachment_47462" align="aligncenter" width="469"]<img class="size-full wp-image-47462" alt="Wasimamizi wa maharusi wakiandaa keki ya maharusi kabla ya zoezi la kulishana kuanza." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0160.jpg" width="469" height="640" /> Wasimamizi wa maharusi wakiandaa keki ya maharusi kabla ya zoezi la kulishana kuanza.[/caption]

[caption id="attachment_47484" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47484" alt="Wanakamati wa harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kuwakabidhi maharusi kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi kwa maharusi hao. " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0499.jpg" width="640" height="410" /> Wanakamati wa harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kuwakabidhi maharusi kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi kwa maharusi hao.[/caption]

[caption id="attachment_47482" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47482" alt="Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0459.jpg" width="640" height="409" /> Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.[/caption]

[caption id="attachment_47481" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47481" alt="Wafanyakazi wenzake na Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa wakipata picha mara baada ya kuwazawadia maharusi." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0428.jpg" width="640" height="418" /> Wafanyakazi wenzake na Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa wakipata picha mara baada ya kuwazawadia maharusi.[/caption]

[caption id="attachment_47483" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47483" alt="Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0491.jpg" width="640" height="407" /> Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.[/caption]

[caption id="attachment_47478" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-47478" alt="Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0395.jpg" width="480" height="534" /> Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.[/caption]

[caption id="attachment_47479" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47479" alt="Jamani taratibu...tusije tukazimika ukumbini...! Konyagi oyeeeeeee...!" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0403.jpg" width="640" height="427" /> Jamani taratibu...tusije tukazimika ukumbini...! Konyagi oyeeeeeee...![/caption]

[caption id="attachment_47477" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-47477" alt="Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatari." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0387.jpg" width="480" height="632" /> Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatari.[/caption]

[caption id="attachment_47473" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47473" alt="Meza ya wazazi wa Levina Mtei." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0273.jpg" width="640" height="418" /> Meza ya wazazi wa Levina Mtei.[/caption]

[caption id="attachment_47480" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47480" alt="Wageni waalikwa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0407.jpg" width="640" height="474" /> Wageni waalikwa.[/caption]

[caption id="attachment_47489" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47489" alt="Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi. " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0193.jpg" width="640" height="465" /> Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi.[/caption]

[caption id="attachment_47490" align="aligncenter" width="598"]<img class="size-full wp-image-47490" alt="Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni habariiiii...!" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0196.jpg" width="598" height="480" /> Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni habariiiii...![/caption]

[caption id="attachment_47486" align="aligncenter" width="303"]<img class="size-full wp-image-47486" alt="Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas, Emmanuel Kimolo (kulia) akiteta jambo na mmoja wa wanakamati wake." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0523.jpg" width="303" height="640" /> Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas, Emmanuel Kimolo (kulia) akiteta jambo na mmoja wa wanakamati wake.[/caption]

[caption id="attachment_47485" align="aligncenter" width="397"]<img class="size-full wp-image-47485" alt="Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0510.jpg" width="397" height="640" /> Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini.[/caption]

[caption id="attachment_47487" align="aligncenter" width="425"]<img class="size-full wp-image-47487" alt="Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0539.jpg" width="425" height="640" /> Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa.[/caption]

[caption id="attachment_47474" align="aligncenter" width="388"]<img class="size-full wp-image-47474" alt="Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto akizungumza kwenye hafla hiyo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0307.jpg" width="388" height="640" /> Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto akizungumza kwenye hafla hiyo.[/caption]

[caption id="attachment_47471" align="aligncenter" width="442"]<img class="size-full wp-image-47471" alt="Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, baadhi ya wageni waalikwa wakilisakata rumba...!" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0260.jpg" width="442" height="640" /> Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, baadhi ya wageni waalikwa wakilisakata rumba...![/caption]

[caption id="attachment_47469" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-47469" alt="Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...!" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0254.jpg" width="640" height="470" /> Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...![/caption]

[caption id="attachment_47465" align="aligncenter" width="480"]<img class="size-full wp-image-47465" alt="Wakwe wakiserebuka ukumbini." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0219.jpg" width="480" height="543" /> Wakwe wakiserebuka ukumbini.[/caption]

[caption id="attachment_47470" align="aligncenter" width="443"]<img class="size-full wp-image-47470" alt="Tabasamu kutoka kwa baadhi ya wanakamati wa harusi ya Mwessa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0257.jpg" width="443" height="640" /> Tabasamu kutoka kwa baadhi ya wanakamati wa harusi ya Mwessa.[/caption]

[caption id="attachment_47472" align="aligncenter" width="449"]<img class="size-full wp-image-47472" alt="Neno toka kwa wazazi wa bwana harusi." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0266.jpg" width="449" height="640" /> Neno toka kwa wazazi wa bwana harusi.[/caption]

[caption id="attachment_47467" align="aligncenter" width="598"]<img class="size-full wp-image-47467" alt="Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto (kushoto) akijumuika na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0246.jpg" width="598" height="480" /> Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto (kushoto) akijumuika na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo.[/caption]

[caption id="attachment_47475" align="aligncenter" width="626"]<img class="size-full wp-image-47475" alt="Wageni waalikwa" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0341.jpg" width="626" height="480" /> Wageni waalikwa[/caption]

[caption id="attachment_47488" align="aligncenter" width="474"]<img class="size-full wp-image-47488" alt="Maharusi wakiondoka ukumbini...!" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0551.jpg" width="474" height="640" /> Maharusi wakiondoka ukumbini...![/caption]

--
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment