Monday, 23 June 2014

Re: [wanabidii] Tanzania kuwekewa vikwazo ikiwa itakataa ushoga

Hivi ushoga una nafasi yoyote katika maisha ya Mtanzania?Ushoga unachangia nini kwenye uchumi,elimu, Afya  ya Mtanzania? Tunahitaji kweli kupoteza muda kuujadili humu kiasi cha kuogopa kuwekewa vikwazo? Naomba nieleweshwe.

On Monday, June 23, 2014 4:49 PM, Tom Ndahiro <tndahiro@gmail.com> wrote:

Dan 
Ungepashwa kuangalia asili ya neno "Ushenzi". Siyo mimi!

2014-06-23 15:27 GMT+02:00 Daniel Stephen <danielstephen688@gmail.com>:
Tom
Mimi napingana na nyie mnaojifanya kupiga kelele juu ya ushoga, uchafu kiasi gani unafanyika bila kupigiwa kelele??, Rushwa ya hali ya juu imejaa na kupelekea matatizo chungu nzima but haipigiwi kelele, hisia za watu wengine ndiyo tunajifanya kuwa frontline, that's nonsense.

2014-06-23 16:22 GMT+03:00 Tom Ndahiro <tndahiro@gmail.com>:

Hivi nchi ikikubali "ushenzi" kama unavyouita, inakuwa je? Najiuliza tu!

2014-06-23 14:00 GMT+02:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:

Je, mashoga hao wako hapa Tz? Wana uongozi wao? Wajitokeze basi hadharani wadai haki zao badala ya watu wengine kuwasemea!

Date: Mon, 23 Jun 2014 04:21:19 -0700
From: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tanzania kuwekewa vikwazo ikiwa itakataa ushoga
To: wanabidii@googlegroups.com

Elisa, I second you!

Davy 
 
On Monday, June 23, 2014 12:36 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Habari hizi licha ya kukosa chanzo kama ChingaOne anavyoonyesha lakini hatutegemei Marekani iwe na msimamo tofauti kwa Tanzania.

Kama kuna mahala Tunastahili kuonyesha jeuri yetu licha ya umaskini wetu (sisi sio maskini tuna utajili mwingi) ni hapa.
Tumegeeuzwa katika mengi lakini katika hili hapana. Kama kunakiongozi anaweza kulileta kama kunamswada unaweza kuletwa bungeni-kutetea ushoga kama haki ya kibinadamu bunge hilo heri likapasuka jengo wabunge wakaishia humo

On Saturday, June 21, 2014 12:24 PM, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

Watanzania sio waganda , na kikwete sio Museveni .

Hapa kwetu tunajadiliana na tutakubaliana kuhusu haki hiyo ya binadamu .

Kwa dalili nilizoziona suala hilo hapa kwetu limekubalika na litakuwa kwenye kipengele cha haki za makundi madogo yaani minority na haki binafsi za mtu ambazo hazipaswi kuingiliwa .

Sasa niwaambie , kwa sababu tunaenda kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 , hili itakuwa kaa la moto kwa baadhi ya watu haswa wale wanaitaka misaada toka nje kwa ajili ya kuendesha chaguzi ndani ya vyama vyao na gharama za uchaguzi huo , hiki ni kitanzi kikubwa kwao .

Mgombea urais na nafasi yoyote ambaye ataleta ujinga wa kutoheshimu haki za makundi mengine ya watu huyu hatumtaki atakuwa mbaguzi .

Tunangoja filimbi ipigwe .

On Saturday, June 21, 2014 11:10:31 AM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:
Waweke tu hivyo vikwazo....
On Jun 21, 2014 11:03 AM, "Jd ChingaOne" <chingaone@gmail.com> wrote:
Tuache kuishi kwa hisia ila tuishi kwa uhalisia... toa source ya habari yako na sio kumwaga sumu kwenye jambo lenye uharibifu kama hili... sio wote wenye upeo wa uelewa na uchambuzi kwenye habari za kusoma na kusikia..... kwa nini tuishi kwa historia zilizopita na kuhisi ujinga huu utakubalika kwetu? Kuna dalili gani zinazokufanya uamini hivyo?
On Jun 20, 2014 11:09 PM, "'Gikaro Ryoba' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Baada ya Uganda kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Marekani kwa kukataa ushoga, kuna taarifa za chini chini kwamba Marekani ina mpango wa kuzitaka nchi za Kenya na Tanzania kutunga sheria zinazounga mkono mambo ya ushoga, kama ilivyozilazimisha nchi hizo kutunga sheria zinazopinga vitendo vya ugaidi.
 
Msemaji wa wa serikali ya Marekani ameilaani Uganda kwa kutunga sheria inayokataza vitendo vya kishoga na pia kuwanyanyasa wapenzi wa jinsia moja. Ikulu ya White house imelaani sheria hiyo ikisema kuwa inakwenda kinyume na uhusiano kati ya nchi hizo ikitoa wito wa sheria hiyo kufutiliwa mbali. Waziri wa mambo ya nje John Kerry, amefananisha sheria hiyo na sheria za utawala wa zamani wa kinazi nchini Ujerumani.
 
Ndugu zangu, hivi kweli ikiwa Marekani itavalia njuga suala hili kuna uwezekano Tanzania kugoma kufanya hivyo? Nina wasiwasi kama kweli Tanzania itakubali kukosa fedha za maendeleo kwa sababu tu ya kugoma kuunga mkono vitendo vya kishoga, hasa ukizingatia uhaba wa kifedha unaoikabili nchi. Ngoja tusubiri tuone lakini sina uhakika kama Tanzania ina ubavu wa kukataa ushenzi huo kwa kuwa nakumbuka ilikuwa nchi ya kwanza kutunga mswada wa ugaidi kabla ya nchi nyingine za afrika mashariki kukubali kufanya hivyo.
 
Nina imani kwamba serikali ya Kenya inawezea kukataa ushoga kama ilivyofanya Uganda lakini ni vigumu sana kwa Tanzania kukataa kwa kuhofia kuharibu uhusiano na wafadhili wake na kukosa fedha za misaada ya maendeleo ya wananchi. Mungu epushia mbali ushenzy huo usifike Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment