Thursday, 26 June 2014

Re: [wanabidii] Tanzania kuwekewa vikwazo ikiwa itakataa ushoga

Nafikiri hii story kwenye link hayo hapo chini INA law kutufunza.
Kwa watu wanaozaliwa na matatizo si vyema kufichwa na wazazi. Ni muhimu kueleza shida zao wakasaidiwa wakiwa wadogo. Hapa elimu ya ujumla inapaswa kuwepo kwa kila mtu kama elimu ya uzazi na mambo kama hayo, na watu wajue kuwa iwapo yaanatokea kama hayo wafanye nini.
Hizi ni elimu za maana japo watu tunakalia elimu-tradition yaani kutokupanua wigo kulingana na knowledge horizons zinavyofunguka.
Naamini watu wengi watasaidika kama jamii ikitambua hivi. Tatizo la nchi kama yetu kwa sasa naona watu kujijali tu, na kukosa upendo, kufanya dhuruma bila huruma mfano hujuma ya watoto na watu wengine.

http://www.dailymail.co.uk/health/article-2107085/Caroline-Kinsey-lived-man-41-years-parents-didnt-tell-shes-hermaphrodite.html

Sent from Yahoo Mail on Android

From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Tanzania kuwekewa vikwazo ikiwa itakataa ushoga
Sent: Thu, Jun 26, 2014 12:16:45 AM

Nashukuru kuwa baadhi yenu mmenielewa. Na unaweza ukakesha unalia kama ukiwahoji wanafunzi na kuwaahidi usiri na utawasaidia. Tunatesa watoto wenyewe. Kisha tunajikausha tunataka kuwapiga mawe. Kwa watoto wa mitaani-akimaliza wiki mbili hajatendewa ni nyingi sana for both girls and boys.

Ni miezi miwili iliyopita kakijana kadogo hakafiki miaka 13 kalikuwa kanasaidiwa na dada mmoja mwenye saluni mwenge ameniarifu huyo kijana amepata bwana (Mtu mzima na ndoa yake) amepangiwa nyumba magomeni. Huyu nilipoitwa kuongea nae aliahidi kutaka kuacha lakini hana jinsi ya kupata hela kuishi na sio wote wanaomtendea humpa hela. alikuwa akilala mwenge kituo cha basi akivamiwa usiku na kulawitiwa bure na kulazimishwa uchafu mkubwa sitio utaja hapa. Wengine wawafanyiao hivyo ni dreva wa taxi hapo mwenge alipo huyo kijana. katoto hako kalianzishiwa mchezo huo na watoto wa mama wa kambo wakati mama yake alipoachwa na baba akaolewa mama aliyekuja na vijana wakubwa ambao wakilala chumba kimoja naye. Baba alivyogundua kuwa ni shoga au anafanywa hivyo akamfukuza. Hakusoma tena kaishia std 3 yupo mtaani lakini hao vijana na mama yao wanaishi na baba yake mzazi yeye kafukuzwa na kupigwa sana sana. Anatia huruma.

Ilikuwa tumtafutie pa kukaa ila aendelee kusuka watu nywele, kufumua, kufua taulo hapo saluni akipata hela ya kula. Ametokea baba mtu mzima na uchafu kamrudisha tena, kampangia chumba anamlisha. hatua ya kumbadili imeingiliwa na mtu mzima mshenzi. Tunataka tupeleke operesheni fichua maovu!! Hata hivyo, kama unamsaidia-kumuweka kwako unaogopa asije akawafundisha vijana wako. Tunakutana na case nyingi za watu wazima mashoga kutongoza vijana na kuwalipa hela wawatendee hivyo. Kuna watoto wadogo ya shule za msingi huwawinda mashoga wawafanyie hivyo ili shoga ampe hela. Nilikwenda na shoga hotel traveltine magomeni hapo Mzee Yusuf na Hadija Kopa wakitumbuiza. Nilikwenda kuonyesha hali ilivyo shoga akinionyesha mashoga wengine na mabwana ambao hufika hapo kuwachagua na kupanga wapi wakutane. Nikaona vitoto vinavyowafuata mashoga na kujitongozesha ili vipate pesa, mashoga wanavyojisakata katka dance kujitupa kupata soko na mibaba ikiwazunguka. Akina dada poa wakicheza na kusaula. Kuona ushoga kwa mara ya kwanza ilikuwa Mombasa 1987 ktk hoteli mojawapi ya kitalii mashoga males watu wazima na vijana, malaya wa kike wa umri mbali mbali mpaka watu wazima wakijipanga ktk benchi kuanzia saa moja hadi 2 kuchaguliwa na kupata appointment kwa mabwana ambao baadhi wao walikuwa US marines waliokuwa na meli zao pwani ya huko. Huko niliona wamama Wazungu wazee waliokuja kupata mabwana vijana na vijana wakijitongozesha kwa kuwasifu sifa mbali mbali. Sex-tourism ilikuwa huko toka zamani pia. 

Nilikuwa sijaona wanaume kujiuza. Ila 1972 nikiwa nasoma sekondari lakini kufikia kwa dada mtaa wa konde Magomeni kondoa kulikuwa na baba mtu mzima (mtu wa Tanga) aliyekuwa akiishi na kijana umri wa kati kama mtu na mume wake. Mke alikuwa huyo baba. Concept hiyo sikuielewa bado watu wakimzungumzia kila akipita kuwa kaolewa na mwanaume. Miaka ya sasa ndio imeniingia. Huyo baba alikuwaameoa mke na alikuwa na watoto 9 kwaoTanga lakini, aliachana na mke na familia yake na yeye kuolewa na mwanaume mwenzie. Alikuwa akipita akitupa mikono kama mdada; kusuka nywele na kwenda sokoni kununua mapochopocho ya mzee. Kwa sasa ndio kumbukumbu imeniingia.

Hivyo kwa kuona haya 1997 ndio studies zangu za Sodomy, Sexual abuse, ukeketaji TZ zilipoanza na lately baada ya masuala ya Obama kuendelea na mtandao wa homosexual males and females (gays, bisexuals and transgender).

Lakini ni gharama sana kufanya utafiti na hawa jamaa unatumia hela nyingi sana katika kuwalisha, kunywa mkae mzungumze, nauli ya kuja na kurudi toka ulipo. Nao wanakuonyesha wenzao mtaani, wanauoza biashara, makonda etc utashangaa watu ambao hukuwadhania hata wa kawaida sana kumbe shoga. Baadhi ya shoga wana girlfriends ambao wanawaomba waache ushoga waoane. Pia, kuna wanaume wanaishi na changudoa na anamwacha akajiuze usiku anamfuata mahala fulani wanarudi nyumbani. Anajua anajiuza na alimkuta anajiuza lakini naye ana raha zake hapo hamwachi. Ni sawa na wanawake wanaojua kuwa ana bwana shoga au basha na hamwachi anaishi naye anampenda au anapenda hela zake na mambo mengine na anazaa naye kama mume. Na wapo wasiojua upande wa pili akijakujua ndio anamvamia shoga na kumbamiza na kuharibu vitu vyake eti kulinda ndoa yake!!???

Ujiandae vile vile kulia utakaposikia mateso yao wafanyao mapenzi ya jinsia moja. Mungu atusaidie tuweze kuwasaidia ili nao waishi kwa amani bila kuteswa.Wabadilike waache mapenzi ya jinsia moja. ila tufahamu haya yalianza toka dunia iumbwe ndio maana Sodoma na Gomora ilichomwa. Baadhi ya nchi kama India baadhi ya Miungu yao inaonekana na jinsia mbili na mikia kuonyesha kuwa  maumbile ya mchanganyiko yapo duniani.

Please kwa taarifa zaidi Google tafuta "Women or men with two sexual organs uone vituko vya ulimwenguni" Enjoy!!

On Wednesday, 25 June 2014, 17:05, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Uganda is the only country in the world with a national holiday commemorating its rejection of sexual perversion. Every June 3 it honors the 22 young men and boys who were tortured and roasted alive in 1886 by homosexual King Mwanga, because they refused to submit to sodomy. Is it any wonder, then, that Uganda has reacted violently against the army of agitators, led by George Soros, who now seek to re-homosexualize Ugandan culture? By Pastor Scott Lively -Defend the Family International

Uganda is being murdered. The nation once called "The Pearl of Africa" by Winston Churchill, a lush and beautiful country as fertile as the Nile Delta. It is the nation that retained its self-rule through centuries of African colonialism, the society that survived even the atrocities of the cannibal cultist Idi Amin, the culture that has been thriving in Christian revival for over a dozen years.
This great and honorable nation, alone in Africa to have all but conquered the scourge of AIDS through abstinence—and whose First Lady led a holy gathering of thousands of believers on the eve of the millennium, dedicating her homeland "to Jesus Christ for a thousand years"—this Uganda, a shining light in the Dark Continent, is being murdered.
The murderers are the lavender Marxists, the now-global network of sexual revolutionaries bent on remaking the entire world in their own perverted image, whose juggernaut has toppled even once mighty Britain, crushing under their lavender boots after eight centuries the symbol of its Christian power: the Magna Charta, whose first principle had proclaimed "The English church must be free!" These revolutionists of Sodom, who march triumphantly through all the major cities of the western world to flaunt their defeat of moral law, and who hold both Hollywood and the heart of America's president in their iron grip: These very same zealots have fixed their malevolent gaze on Christian Uganda.
Uganda is the only country in the world with a national holiday commemorating its rejection of sexual perversion. Every June 3 it honors the 22 young men and boys who were tortured and roasted alive in 1886 by homosexual King Mwanga, because they refused to submit to sodomy. Is it any wonder, then, that Uganda has reacted violently against the army of agitators, led by George Soros, who now seek to re-homosexualize Ugandan culture?
It is as if the militant ranks of "Code Pink" were transported back to 1890s America to agitate for "sexual freedom." Our great grandparents would not have countenanced this. There would have been violence, as there has now been in Uganda. And that is, of course, the strategy: the agents provocateur are goading unsophisticated natives into over-reacting, while the "gay" media lie in wait to catch the images and spin the propaganda that is even now poisoning the gullible against the Ugandans.
Ugandan homosexual activist David Kato was recently beaten to death with a hammer, a horrific crime. These very media have rushed eagerly to judge this a hate crime and to blame those, like me, who have spoken against homosexuality in Uganda. It is the central (but patently false) narrative of the left that all criticism of homosexuality leads inevitably to violence and murder.
Yet the killer has now been caught and confessed that he was a live-in male prostitute who murdered Kato for failing to pay him as promised. The "gay" hate-narrative has failed, the Ugandan rejection of "gay" culture has been vindicated, and the finger-pointing media have pulled quietly back into the shadows—for now.
There is indeed evil in Uganda today, but it is not the reaction of Christian and Moslem citizens to the rape of their culture. It is the pink-gloved hand of western powers that are cutting the throat of Africa's most God-fearing country, and one of the world's most promising Christian democracies.
 
On Wednesday, June 25, 2014 4:23 PM, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

Hahahahaha, mnaaanz kulainisha definition?

Tutafika tu.

2014-06-25 15:30 GMT+03:00 mngonge <mngonge@gmail.com>:
Say no to USHOGA, tunapopinga ushoga hatuna maana ya kuwatenga watu wenye matatizo ya kibiolojia. Ushoga tunaoupinga ni ule wa mtu kujiingiza kwenye matendo hayo na mwisho kujijengea tabia hiyo na kuiona kama ni ya kibailojia kwake. Binafsi ninapendekeza sheria ya kuukataa ushoga itungwe haraka iwezekanavyo. Mambo ya kusema eti ni haki ya minority binafsi naiona ya kiwendawazimu na mwisho hatutatakiwa kuwa na sheria hata moja kisa ni haki za hao wachache.
Kama tunaogopa kupeleka mswada wa kuukataa ushoga bungeni maana yake tunaukubali ushoga katika nchi yetu. Ni vyema tukaukataa ushoga na kama ni misaada isiletwe ili tuweze kufanya kazi inavyotakiwa badala ya kukaa au kushindwa kutumia rasilimali tulizonazo kwa sababu ya kuwategemea hao wanaume

2014-06-24 16:16 GMT+03:00 'rigonzi@yahoo.co.uk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Asante sana Ms Hildegarda kwa darasa hili la ajabu.
Kumbe tuwapigao mawe si wapaswao! Tena shatani mwenyewe tunamuacha miongoni mwetu!
Mi ni mmojawapo niliyekuwa sijui chochote kuhusu haya, na nikiwa miongoni mwa wenye kulaani vibaya waathirika hawa bila kujua kuwa kuna wanaowaathirisha. Mungu atusaidie.
Kwa hali kama hii, inafaa katiba tunayoitafuta ilenge katika kuhakikisha kuonyesha kuwa ni msimamo wa jamii ya ki-tanzania kutokuruhusu dhuruma kama hizi kutokea, na wale waliokwisha kudhurumiwa tuwape provision ya ki-katiba kuwasaidia kutokana na halo hizi kwa resources zetu walipa kodi. Wale walioumbwa vile, nakubaliana kabisa na ushauri wa jamii kutambua uwepo wao, lakini pia kutoa mianya ya kujitambulisha ama kutambulishwa bila kunyanyapaliwa na kupewa misaada ya kimatitabu ya ki-homoni.
Itawzekana kutoa elimu kwa wazazi kuweza kuzibaini hali za maumbile ya watoto wao na kuzishughulikia wakiwa bado wadogo. Wakijua kuwa kuna mlango wa kutokea hawatawaficha.
Pia kuna tatizo la maonevu shulen ambalo hupelekea watoto kujikuta wametendewa matedo kama hayo. Zikiwepo incentives na waalimu maalum wa kutambua haya kisaikolojia itatusaidia sana kuyakomesha. Atamuendea mtoto anayeonekana kuwa katika mazingira yanayopelekea na kumsaidia Ku UA jinsi ya kutambua hatari za vishawishi aka watu wanaojisogeza karibu naye kwa malego shetani na kutoa taarifa kwa waalimu maalumu kama hawa.
Serikali siku zote ni ya kulaumiwa kwa kuwa inakosa utashi na uwezo was kutazama mbele ya kwa niaba ya watu. Hawawezi kukwepa hukumu itawajia tu wale walio katika dhamana na badala yake hawatimizi wajibu. Siku hiyo tutayatambua haya kwa hakika. Mungu yupo na kukawia kwake si ujinga.
Mungu atusaidie.
Tibu.

From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Tanzania kuwekewa vikwazo ikiwa itakataa ushoga
Sent: Mon, Jun 23, 2014 2:30:58 PM

Ryoba-Mimi ni kati ya wale wanaokataa kunyanyasa na kunyanyapaa mashoga na watu wa mapenzi ya same sex kwa sababu nimefanya utafiti wa kuenea kwa sodomy Tanzania, nimesaidia matibabu na kusaidia kisheria watoto ndani ya shule  waliopata kunyanyaswa ktk masuala ya sex-sexual violence.
Nimeelimika katika sula hili na hawa mashoga wamenielimisha sana. Nina marafiki ambao huwasaidia kimawazo wabadilike na kuwaunganisha na misaada ya matibabu na kuwasaidia fedha za matibabu.
 
Ninaona huwa tunachukua mchecheto na kupanda mori kuhusu suala hili. Mimi nnaona USA inasema au kutuomba tusiwanyanyase, kuwabagua, kuwaua au kuwafunga. Sidhani kama USA inatutaka tukubali ushoga ndio issue kuu-Ni kunyanyasa na kuonea ndio inataka tuahe maana community au biological formation ndio inawatengeneza hawa. Hawa tunawatengeneza wenyewe pia kwa kulawiti vitoto au watu wenye mahita
ji tunatumia sex kama weapon.

Malezi ya nyumbani-kulaza watoto wadogo wa kiume na wakubwa wanaonea sexually wadogo kisha wanazoea (80%). Mlinzi, dreva wa watoto, houseboy analawiti ukiwa hu
jui kisha umbague?  Dreva humfungi maisha unamfukuza kazi unapokuja kufahamu mtoto kazoea. Humsaki aliyemfanya hivyo. Housegirl au dada anasaga vitoto au wadogozake.

Katika utafiti wangu wa sodomy na pia ule wa sexual violence na wakutembea na wazoa taka mchana na usiku dsm nilipata ufahamu kuwa siku hizi kupata employment hata ya kuzoa takataka dsm rushwa ni ngono sio tena hela na ni hiyo sodomy. Kwa changu doa ngono bila condom au ya sodomy ndio highly paying. Wafanyayo haya ni waume za watu, waheshimiwa, watu wa dini, wenye hela, makampuni, hoteli wana kipato. Boyfriend anamwambia ukinipa TIGo nitakuoa. Lakini ilionyesha-boyfriend hakuoa yule aliyeanza naye sodomy (100%). Msichana aliharibika pia kuzoea mchezo huo na kuzoesha wengine na shoga hata kukubali kumlipa mtu amshanyie hivyo. Wapo shoga ambao ni impotent, shoga double (anafanya mchezo na anafanywa hivyo), shoga shoga na kuna basha-apendao mashoga; basha
jambazi-anayewarape mashoga; kuwavunja uume shoga double na kupiga mashoga. Mashoga wanasimulia wanavyolawitiwa wanapokamatwa na kuingizwa mahabusu TZ. Wanabaka na polisi kukomolewa na mahabusu wanaowaambia wawashughulikie si wanataka mchezo huo. hii sihaki ni uonevu mtu ambaye ana bwana mmoja
anabakwa na watu mbalimbali wenye maumbile wengine ya mateso makubwa-wanasimulia wenyewe.

Kama ikitokea Mungu awape uwezo mashoga waweze kusimama na ku
jionyesha na kuweza kuta
ja mabwana zao-hii nchi haitakalika, itaingia vitani watu kuchomeana nyumba na kupigana mawe mtu na jirani yake, mume wa mtu na bosi wa mkewe ay mwanae, kijana wake.

Tuombe hii isitokee kufahamu nani alimharibu mtoto wa nani, ni mtu wa category gani lakini amempangia shoga mtoto sana au shoga msomi na baba mtu mzima ni mwanaume hawara ya mwanaume mwingine. Tutafahamu mwanasheria gani huwa anatembea na mashoga ndio mchezo wake. Au kiongozi gani ni basha na kamsaidia madaraka shoga wake gani ambaye yupo katika madaraka ya chama gani.

Watoto walalao mitaani wanateswa sana na watu na akili zao kulawitiwa. Watoto in rural areas wanaotembea mwendo mrefu kwenda na kurudi shule wanateswa na mibaba mijitu mizima inawalawiti kwa kuwavizia na kuwatiska kama watasema. Pamoja na kuwa kuwa watoto wanaoonea wenzao, watu wazima ni waovu zaidi.
Hatusaidii wanawake na wanaume wenye kasoro za maumbile  kwa homoni. Wapo wanawake na wanaume n
je
ndani homoni za jinsia tofauti zinawasumbua. Wapo wale ambao wana sex organs mbili. Huyu ana msaada gani kutoka kwetu? Wazee wa mila walikuwa wanawavunja lakini siku hizi tunawaficha hatuna tribal customs tunazozifuata na kuwasaidia. Hospitali gharama, privacy ndogo. Mbona wapo wanaume wenye mbili na wana matiti wameoa? Wake zao wanawafichia siri na wapo wanawake wenye 2 nao wamezaa na wanazalisha wanawake wenzao? Tena kundi hili na wanawake wenye 2 wanaonewa sana na wanaume ktk kunyanganyiana wanawake na kuwafanyia mipango ya kuwabaka ili kuwakomoa. Wapo wanaume wameoa wanafamilia lakini pamoja na hayo hisia kutokana na homoni walizonazo nyingi za estrogen zinawafanya wawe na partners wa kiume wenzao. Wapo mke anafahamu nyendo hizo na wale ambao mke hafahamu kabisa. Nilimgundua dada mwenye matatizo ya homoni nikaomba muuza genge aniunganishe. Alikuwa mkali kama mbogo kwanza alitaka nimfahamishe nimemgunduaje kama ana matatizo, matatizo gani nimueleze ndio akubali kuongea na nami. Nikamtumia ka sms na kumueleza nimemuonaje na kama anataka nimsaidie au laa hiyari yake. Kweli aliniita na tulikaa muda mrefu akanieleza alivyoteseka maishani kutoka baba na ndugu kumtenga na alivyo jisomesha mwenyewe hadi form 6 lakini anaosha magari. Alinieleza anavyoishi kwa tabu kiwarani. Huyu ana wasichana-girlfriends. Utalia akikusimulia maisha yake yalivyokuwa. Kwa nni tuwatese? Tuwasaidie medically and socially kwa kujiajiri. Cha kufurahisha, anakosha magari katika open space fulani ni employment na anakoga na wavulana waoshao magari bafu moja, anavaa nguo wapo, wamemkubali na wala hawambaki. Walimbagua mwanzoni lakini sasa ni kama mwanaume mwenzao pamoja kwamba ana maumbile yote ya kike nje.
Huyu dada, alinionyesha wengine kama yeye na wenye mbili pia ambao nilikuwa nikipishana nao nikiwatazama kwa mashaka kumbe sahihi.

Bisexual, transgender na gays-ni wengi hapa bongo kama walivyo sehemu nyingi duniani. Misaada i
jayo kupitia taasisi na vyama fulani vilivyo mafichoni haiwafikii inaliwa na wachache bila kuwapa huduma ya hospitali, employment.

Ni upumbavu wa wanawake-pumba kabisa kama wakifumania gay na waume zao humpiga gay na kuharibu vifaa vya chumba chake badala ya kumpiga mume aliyeharibu katoto na aliyefumaniwa-eti analinda ndoa!! Unalinda ndoa gani kwa upumbavu wa kumlea basha? Mbona mabasha hawafungwi au kuonewa? TUSIWAONEE, TUWASAIDIE HATA KUGHARIMIA MABIBABU YA HOMONI, OPERESHENI, KUWAPA ELIMU WALIOTENGWA NA WAZAZI KWA KUWA NA SEX MBILI WANAONEKANA MKOSI KUMBE WANGEKUWA MAPACHA BALI BIOLOGOCAL FORMATION IMECHANGANYIKIWA/KUCHANGANYWA KUTOKANA NA MATATIZO YA MAMA WAKATI KIUMBE KIKITENGENEZWA.

Tunapokuta mtu mzima au ki
jana amebaka ktoto, kulawiti-kwa nini apewe dhamana na ndugu wamuwekee dhamana atoke rumande mahala ambapo evidence zipo katenda. kisha tumuonee shoga au aliyebakwa/lawitiwa kwa stigma? Ndio maana wazazi wengine mtoto akibakwa au kulawitiwa wanaficha kesi na kutaka imalizwe kienyeji ili wasipate stigma ya kutoka jamii na mtoto wao akose mume au adharauliwe. Ukifuatilia kesi hizi in villages-hata viongozi wa villages hawapendi eti unaaibisha kijiji chao na uongozi wao. Walawiti na wabakajei wanabaki wanapeta mnamuona na kitoto kinakuwa mcharuko kamezoea. Issue ni tusiwaonee, ukiwanea kama nchi na kutunga sheria za ukatili-hutopata misaada ya Obama na wale wanaounga sera zake za kukataa uonevu jinsia na hawa wenye hisia tofauti. Sikubaliani na kuhalalisha bali tuwasaidie katika kuleta mabadiliko. Mungu alichoma sodoma na gomora, akatunga ari zake 10 kukataza pamoa na matendo ya ulawiti/usagaji, wizi michepuko etc. Hatutobadili tabia mbaya kwa kuua au kufunga na ndio maana pamoja na kunyonga, kuua kwa kupiga mawe mwanaume au mwanamke kwa nchi za siasa kali na zetu-wizi wa silaha upo, ubakaji,mauaji yapo, vita haviishi, kuua albino kupo, kupora kwa silaha mchana kweupe na kulawiti kunakofanywa hata na watu wa dini wa imani mbalimbali. Tutafute mbinu mbadala ya kuleta mabadiliko sustainable.
Samahani-huwa inaniumiza kuona wanaonewa wakati tunawatengeneza. Katoto ka std 3 kana kuandikia-kaka huwa ananiingiza mdudu wake matakoni ananitishia nisimwambie baba au mama; nikienda mtoni kila mara mzee fulani ananifuata ananiingilia-mdudu wangu anawasha na matakoni nina vidonda na usaha ninaomba msaada!! File lime
jeaa maneno haya na matatizo ya kubakwa watoto vijijini sio mijini tu. Tubadilike. Yapo makabla yanaongoza kupangia mashoga kutokana na kutokutaka kuswagiziwa watoto au matunzo ya watoto. Huwezi kuamini na wanasali sana!

On Monday, 23 June 2014, 14:21, 'DAVIS FABIAN' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Elisa, I second you!

Davy 
 
On Monday, June 23, 2014 12:36 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Habari hizi licha ya kukosa chanzo kama ChingaOne anavyoonyesha lakini hatutegemei Marekani iwe na msimamo tofauti kwa Tanzania.

Kama kuna mahala Tunastahili kuonyesha jeuri yetu licha ya umaskini wetu (sisi sio maskini tuna utajili mwingi) ni hapa.
Tumegeeuzwa katika mengi lakini katika hili hapana. Kama kunakiongozi anaweza kulileta kama kunamswada unaweza kuletwa bungeni-kutetea ushoga kama haki ya kibinadamu bunge hilo heri likapasuka jengo wabunge wakaishia humo

On Saturday, June 21, 2014 12:24 PM, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

Watanzania sio waganda , na kikwete sio Museveni .

Hapa kwetu tunajadiliana na tutakubaliana kuhusu haki hiyo ya binadamu .

Kwa dalili nilizoziona suala hilo hapa kwetu limekubalika na litakuwa kwenye kipengele cha haki za makundi madogo yaani minority na haki binafsi za mtu ambazo hazipaswi kuingiliwa .

Sasa niwaambie , kwa sababu tunaenda kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 , hili itakuwa kaa la moto kwa baadhi ya watu haswa wale wanaitaka misaada toka nje kwa ajili ya kuendesha chaguzi ndani ya vyama vyao na gharama za uchaguzi huo , hiki ni kitanzi kikubwa kwao .

Mgombea urais na nafasi yoyote ambaye ataleta ujinga wa kutoheshimu haki za makundi mengine ya watu huyu hatumtaki atakuwa mbaguzi .

Tunangoja filimbi ipigwe .

On Saturday, June 21, 2014 11:10:31 AM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:
Waweke tu hivyo vikwazo....
On Jun 21, 2014 11:03 AM, "Jd ChingaOne" <chingaone@gmail.com> wrote:
Tuache kuishi kwa hisia ila tuishi kwa uhalisia... toa source ya habari yako na sio kumwaga sumu kwenye jambo lenye uharibifu kama hili... sio wote wenye upeo wa uelewa na uchambuzi kwenye habari za kusoma na kusikia..... kwa nini tuishi kwa historia zilizopita na kuhisi ujinga huu utakubalika kwetu? Kuna dalili gani zinazokufanya uamini hivyo?
On Jun 20, 2014 11:09 PM, "'Gikaro Ryoba' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Baada ya Uganda kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Marekani kwa kukataa ushoga, kuna taarifa za chini chini kwamba Marekani ina mpango wa kuzitaka nchi za Kenya na Tanzania kutunga sheria zinazounga mkono mambo ya ushoga, kama ilivyozilazimisha nchi hizo kutunga sheria zinazopinga vitendo vya ugaidi.
 
Msemaji wa wa serikali ya Marekani ameilaani Uganda kwa kutunga sheria inayokataza vitendo vya kishoga na pia kuwanyanyasa wapenzi wa jinsia moja. Ikulu ya White house imelaani sheria hiyo ikisema kuwa inakwenda kinyume na uhusiano kati ya nchi hizo ikitoa wito wa sheria hiyo kufutiliwa mbali. Waziri wa mambo ya nje John Kerry, amefananisha sheria hiyo na sheria za utawala wa zamani wa kinazi nchini Ujerumani.
 
Ndugu zangu, hivi kweli ikiwa Marekani itavalia njuga suala hili kuna uwezekano Tanzania kugoma kufanya hivyo? Nina wasiwasi kama kweli Tanzania itakubali kukosa fedha za maendeleo kwa sababu tu ya kugoma kuunga mkono vitendo vya kishoga, hasa ukizingatia uhaba wa kifedha unaoikabili nchi. Ngoja tusubiri tuone lakini sina uhakika kama Tanzania ina ubavu wa kukataa ushenzi huo kwa kuwa nakumbuka ilikuwa nchi ya kwanza kutunga mswada wa ugaidi kabla ya nchi nyingine za afrika mashariki kukubali kufanya hivyo.
 
Nina imani kwamba serikali ya Kenya inawezea kukataa ushoga kama ilivyofanya Uganda lakini ni vigumu sana kwa Tanzania kukataa kwa kuhofia kuharibu uhusiano na wafadhili wake na kukosa fedha za misaada ya maendeleo ya wananchi. Mungu epushia mbali ushenzy huo usifike Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

_________________________________________________
Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 7733, Mwanza.
 +255 782 315 688,  +255 767 48 32 71,    
 +255 719 451 850
Skype add: nkajungu

0 comments:

Post a Comment