Asante Yona
Juz kati hapa huyu huyu tapeli alihijack email address ya ndg Kibanda akijidai kua na kitu kinachoitwa social credit co.....eti kibanda akajidai kapata mil 3
kuna mshkaji wangu baada ya kusoma aakaamua kujaribu but akalipa ada as per requirement walizosema hao matapeli nguli......alipoweka hela ikasoma hvo imesajilwa kwa jina hilo,social credit co, jamaa akaletewa majibu umepokelewa naunaombwa utume tena laki na nusu ambayo ni bond baadae angerejeshewa mara mbili.......jamaa akashtuka,....nikaamua kumpigia mh kibanda akashtuka akaniambia kaka hao ni matapeli wakubwaa, so jamaa akalireport tgo, hata hivyo hakuna kilichoendeelea
Sasa nachoshangaa hawa matspeli wanajulikana na wanahifadhiwa hata na mitandao ya tgo, voda ....kiukweli nasema hvo kwasababu wao wanaambiwa and thdey don't take any action, just imagine Tangazo la voda lipo ktk mtandao wao wa kitapeli why don't they take trouble ya kuwashtaki? uone http://www.socila-company.wapka.mobi.......soma/
sasa kuanza crdb sishangai
Tutaibiwa sana na hakuna ulinzi....hela zangu ntazichimbia chini kama waarabu kwa namna hiiii maana vyombo vyetu havitulindi....usalama wa Taifa ule wa mwalimu Nyerere umeondoka kila kitu shakala bangalaaaaaaa...tumeisha
On Sunday, June 22, 2014 12:38 AM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
TAHADHARI – UTAPELI KUPITIA CRDB INTERNET BANKING
Ndugu zangu ,
Kuna Utapeli umeanza kusambaa saa chache zilizopita kupitia CRDB INTERNET BANKING .
Anayefanya utapeli huu ametengeneza majina bandia ya watu maarufu kama wanasiasa na wanamuziki kisha anaingiza watu kwenye contact list yake halafu anawatumia ujumbe huu kama vile yeye ni mtu halisi .
Mtu anapokubali anampa huyu jamaa taarifa zake za benki halafu mwisho wa siku hela zake zinaweza kuhamishwa kwa njia ya mtandao .
MFANO WA UJUMBE NI HUU
-----------------------------------------------------
Habari za wakati ndugu watanzania! Kwa yoyote ambae amejiunga na huduma ya CRDB Bank kupitia Online. Internet Banking sio SIM BANKING alie jiunga na Internet Banking. Tafadhali naomba tuwasiliane kuna project maalum yenye faida kwangu nakwako pia kwa kushirikiana nao CRDB Bank. Malipo ni kila wiki katika hiyo project. Nitumie meseji inbox kama umejiunga na internet banking na unahitaji kushiriki katika hii project
==============================================================
Mpaka sasa hivi nimegundua majina 2 ya Kala Jeremia ambaye ni mwanamuziki na Jerry Silaa ambaye ni mwanasiasa .
Tuchukuwe tahadhari na tusambaze ujumbe huu .
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment