Huwezi kusema waachwe wafanye wanavyotaka,
On Sunday, 8 June 2014, 23:32, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Wawaache wafanye watakavyo. wanafunzi wakifaulu au kuferi si shauri lao ni la uongozi wa shule na wazazi waliopenda shule ya namna hiyo ua kusoma siku 3 kwa wiki. Waache wafu wazike wafu wao.
On Saturday, 7 June 2014, 17:15, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:
Shule inayomilikiwa na Taasisi ya kiislam iliopo katika msikiti wa Mtambani Jijini Dar imetakiwa kutoa maelezo kwanini isichukuiwe hatua. Katika barua yenye kumbukumbu UKKC/DSM/E.2/37/04 imeleza kwamba shule hiyo imekuwa na utaratibu wa kuwapumzisha wanafunzi Alhamis na Ijumaa badala ya Jumapili ambapo ni kinyume cha Sheria.
Katika majibu ya shule hiyo kwa mkaguzi wa elimu imesema kwamba waliomba mwongozo kutoka kwa mkaguzi unaoanisha ni siku zipi rasmi za kazi katika wiki na siku zipi siku za mapumziko katika wiki. Wakuu wa shule hiyo wanadai hadi leo hawajapata majibu hayo.
uongozi wa shule hiyo wamedai tangu ianzishwe shule 2006 utaratibu wao ni huo huo.
Amedai siku ya Ijumaa wametoa fursa kwa wanafunzi kuafanya ibada.
uongozi wa shule hiyo wamedai tangu ianzishwe shule 2006 utaratibu wao ni huo huo.
Amedai siku ya Ijumaa wametoa fursa kwa wanafunzi kuafanya ibada.
Source: gazeti la Annur
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment