Friday 27 June 2014

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] UHAMIAJI WAMEONYESHA UWAZI KATIKA USAILI

Kama kuna watu wameajiriwa wanalipwa mapesa kibao wameshindwa kuja na sera basi mie siwezi kutoa bure! Kama tunavyosema vijana kujiajiri ni Muda muafaka kutangaza hii consultancy kama ni mhusika ili tujitokeze kuifanyia kazi! Pole sitaweza strategy bure hapa!

On Friday, 27 June 2014, 10:12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

Sera inayotakiwa hebu uioneshe basi siyo vibaya ukatoa mchango wako ili kuboresha hali iliyopo. Tunalo Tatizo la kukosa uaminifu, ktk mazingira hayo ni vigumu mtu/kijana kuaminika na kupewa mkopo. Ndiyo maana ukifuata Grameen model utagundua bila Watu kujiunga ktk vikundi siyo rahisi kusonga mbele.
On Jun 27, 2014 10:02 AM, "'tumaini bakobi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hao vijana kujiajiri inatakiwa sera itakayowasaidia kujiajiri lakini kama ni porojo tu kama ilivyo sasa bado litaendelea kuwa tatizo! Kwa mtizamo wangu ni kwamba bila kuwa na mitaji hasa ya kifedha ni vigumu sana kujiajiri. Hata kama ni kufungua consultancy firm mtajibado unaitajika tu! Ukiangalia mabenki yetu utaratibu wa kupata mikopo ni mgumu sana na interests zinazotozwa zinatisha! Ni muda muafaka kwa serikali kuweka mazingira yatakayosaidia vijana kupata mitaji ya kifedha ili wajiajiri kama kweli serikali ina nia ya dhati kusaidia vijana kujiajiri. TIB ni benk ya Serikali na natumaini  inapata ruzuku toka serikalini, kwa nini iwe vigumu kutoa mikopo nafuu kwa vijana? 

On Friday, 27 June 2014, 9:41, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

Maro na Hosea

Kuna taratibu za kitaalamu zitumikazo katika mchakato wa kufanya usaili,  kwa vile siku hizi mtu anaweza kujua mambo mengi kupitia njia ya internet au nyinginezo nawaomba mukajielimishe kidogo kuhusu taratibu kufanya usaili. Naamini idara ya uhamihaji inao wataalamu wa HR wa kutosha, sijui kwa nini wameamua kuudharau utaalamu wao. Naungana na mtoa hoja aliyesema hakuna justification ya kufanya usaili kwa watu elfu na ushee kwa sababu ya nafasi 70.

Zipo kazi nyeti kuliko hata hiyo ya uhamihaji na wameajiriwa watu wengi wazuri bila kuita umati wa watu kama hao. Mfano idara ya usalama wa taifa sijawahi kusikia wakiitwa watu wengi namna hiyo. Haiwezekani kuscreen watu elfu moja kwa usahihi na haki kama mahitaji ni watu 70. Kama walihitaji usahihi na haki kiasi hicho basi wangewafuata waombaji kwenye wilaya zao na kutangaza kuonana na kila aliyehitaji kazi hiyo na baada ya hapo kuiachia kazi idara ya upelelezi na usalama wa taifa kuwafuatilia waombaji wote. Binafsi sioni kama njia waliyotumia ina msaada wowote katika kuonyesha uwazi na kuepuka harufu ya rushwa na upendeleo.

Ninawashukuru uhamihaji jambo moja tu la kutufumbua macho juu ya idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi wasiokuwa na mchango kusudiwa katika uchumi wa taifa. There is a very big problem of educated unemployment in our country as opposed to fake data given by politicians.  Siri imefichuka na tuangalie namna ya kukabiliana na tatizo hilo haraka iwezekanavyo. Kila siku tunaongelea watu kujiajiri lakini bado tuna vijana lundo wanaotafuta kazi. Tunayo kazi kubwa mbele yetu na tusifikiri kwamba ni tatizo lao, ni tatizo letu sote. Nitumie nafasi hii kumkumbusha rais wetu kwamba tusipotafuta namna ya kulitumia hilo jeshi (nguvukazi) kuliingizia taifa letu kipato basi tujue tumekalia kuti kavu. Yeye anaogopa jeshi dogo la askari walioajiriwa wakati kuna jeshi kubwa sana lenye nguvu zaidi na lipo nje ya ajira. Tuache siasa tutafute ufumbuzi wa tatizo hilo haraka iwezekanavyo

2014-06-15 16:10 GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:
Wabongo twajua kuchonga tu. Wengine ni mabosi wamo ndani ya jukwaa kila kukichwa wao wanajua kutoa ajira za upendeleo kwa ndugu na jamaa zao halafu hapa wanalaumu utaratibu wa wazi. Kazi hizi za Uhamiaji hazina ujuzi mahususi ktk ngazi hii ya awali sasa utawachuja vipi Watu 20,000?
On Jun 15, 2014 1:51 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Walikuwa elfu 20, wakachujwa wakabaki elfu 10.

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 14, 2014 7:17:37 PM GMT-0400
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] UHAMIAJI WAMEONYESHA UWAZI KATIKA USAILI

Hivi ilikuwa lazima kuwakusanya kwenye uwanja wa taifa? Si wangetangaza tu
hizo nafasi halafu watu watume cv ambazo zingeshughulikiwa na HR badala ya
kuwakusanya watu elfu kumi wakati mnajua mna nafasi 70 tu?
em

2014-06-14 17:03 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <
wanabidii@googlegroups.com>:

> Nami nauita upuuzi mwingine wala sijui kama una qualify kuuita unyanyasaji
> hata kama wasailiwa walinyanyasika. Hii inaonyesha jinsi idara isivyo na
> mfumo wa kuchuja mpaka watu elfu wajihuzurishe uwanjani. Kwa kuwa ni idara
> ya usalama basi wangewachuja wilayani walikotokea kama ambavyo miaka miwili
> hivi iliyopita ??JKT walifanya.
>
>
>   On Saturday, June 14, 2014 2:50 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
> Yaah Yunus;
> Issue hapa kwanini watahiniwa wengi namna hiyo.
> Hata TANAPA huwa wanaita watu zaidi ya hao na nafasi ni chache kuliko za
> uhamiaji
> Ajira kwa sasa ni msala ndo mana kuna Wasiasa wanataka kupandia hapo bila
> hata ya kutuambia mikakati gani watatumia kupunguza hili changamoto,ukiwa
> nako kaajira hata kadogo kama sisi wengine dawa ni kukang'ang'ania
> kasitoroke.
> Kumaliza chuo/shule ni issue moja na kutafuta ajira ni issue nyingine
> inayojitegemea completely,vyuo vinaingiza mitaani wasomi maelfu kila mwaka
> na nafasi za ajira ni makumi kama ilivyo Uhamiaji,hivyo hata ajira zinakuwa
> za kujuana hakuna mfano.
> Lakini tutafika tu, pamoja na kwamba tutakuwa tumechoka sana.
>
> *Reuben*
>
>
>   ------------------------------
>  *From:* 'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> *To:* wanabidii@googlegroups.com
> *Sent:* Saturday, June 14, 2014 1:41 PM
> *Subject:* Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] UHAMIAJI WAMEONYESHA UWAZI
> KATIKA USAILI
>
> ----- Forwarded Message -----
>
>  [image: Boxbe] <https://www.boxbe.com/overview> This message is eligible
> for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule
> <https://www.boxbe.com/popup?url=https%3A%2F%2Fwww.boxbe.com%2Fcleanup%3Ftoken%3DPaJQcfFOMQEbJsYhBGL7S%252B4FQuqM9x%252BB0LYIvJwYL0ZYstUpLFim3ddHFrrmSkUqZCE9ZEt6dyxSOVg2O1sML%252FCgp9UPlm1TimKf4W4%252Bdzzm6VLmgLztgajbIy2i7XTi9Ubg7relfSHlG4wib0bhQg%253D%253D%26key%3DiIkFqDNiv8YWPllfVWjqSTSDFX0%252FeaHXpTUGLBC%252B0Os%253D&tc_serial=17591782158&tc_rand=1886960522&utm_source=stf&utm_medium=email&utm_campaign=ANNO_CLEANUP_ADD&utm_content=001>
> | More info
> <http://blog.boxbe.com/general/boxbe-automatic-cleanup?tc_serial=17591782158&tc_rand=1886960522&utm_source=stf&utm_medium=email&utm_campaign=ANNO_CLEANUP_ADD&utm_content=001>
>  Msigombane. Naona wengine tayari wanasema "Huo ni upuuzi... unyanyasaji
> mkubwa.
>
> Ina maana Uhamiaji hakuna mtaalamu wa Raslimali Watu? Hakuna mtaalamu wa
> Public Admini? Ina maana Wizara ya Mambo ya Ndani hakuna DFA? Head wa
> Recruitment? Kwamba mtu ajitape tu utaratibu wa Uhamiaji ni upuuzi...
> unyanyasaji mtupu?
>
> Wakati naendelea kutafakari, kitu interesting sana kwangu in the process,
> ni kwamba unemployment problem is growing unncontrolable.
>
> Jabir+
> --------------------------------------------
> On Sat, 6/14/14, 'mruahdeo@yahoo.co.uk' via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] UHAMIAJI WAMEONYESHA UWAZI KATIKA
> USAILI
> To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>, "wanabidii" <
> wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Saturday, June 14, 2014, 2:27 AM
>
> Hakuna justification ya huo upuuzi
> uliofanywa na uhamiaji ndugu yangu Maro. Huo ni unyanyasaji
> at its best.
>
> Sent
> from Yahoo Mail on Android
>
>
>
>
>
>
>
>
>                                 From:
>
>                             Yona Maro oldmoshi@gmail.com
> [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>;
>
>
>
>                                 To:
>
>                             wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni
> <wanazuoni@yahoogroups.com>;
>
>
>
>                                 Subject:
>
>                             [Wanazuoni] UHAMIAJI WAMEONYESHA
> UWAZI KATIKA USAILI
>
>
>                                 Sent:
>
>                             Sat, Jun 14, 2014 8:26:56 AM
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>       Ndugu zangu ,
> Toka juzi nimeona watu kadhaa
> wakiponda hatua ya Idara ya uhamiaji kuita kwenye usaili
> watu zaidi ya alfu 1 wakati wanaotakiwa ni watu 70 tu
> .
>
> Kuna jamaa wamechukulia hili kama ajenda ya kisiasa na
> kuanza kuhoji au kurushia vijembe vyama vingine vya kisiasa
> kusuatia kadhia hiyo .
> Tunachopaswa kujua ni kwamba idara
> ya Uhamiaji ni Nyeti kama zilivyo idara nyingine za kiulinzi
> na usalama nchini , mchujo wake unahusisha vitu vingi sana
> kuliko ilivyo awali , sio elimu tu na afya tu kuna masuala
> ya uelewa wa vitu mbalimbali , historia yako ya nyuma ,
> mahusiano yako na hata kwenye mafunzo na mazoezi kabla ya
> kuanza kazi rasmi .
>
> Kwahiyo ukichukuwa watu hao
> alfu 1 au 2 , ukiwaweka kwenye mizani hiyo unaweza kupata
> hao 70 au usipate kabisa kutegemeana na vigezo vilivyowekwa
> na idara yenyewe .
> Naipongeza idara kwa hatua yake ya
> kuwa wazi kwa kuita watu kwa mkupuo sehemu moja kwa ajili ya
> usaili , maana pale msailiwa anaangaliwa toka wakati
> anaingia uwanjani , atakavyowasiliana na wenzake na masuala
> mengine mengi , ndio tupo kwenye dunia hiyo ya kuangaliana
> kabla ya majukumu .
>
> Tumeona operesheni ya
> kuondoa wahamiaji haramu ilivyoleta madudu mengi nchini
> mpaka kuundwa kamati na wengine kujiuzuru , hatupendi hiyo
> itokee tena ndio maana usaili unatakiwa uwe wa makini ,
> wawazi na wenye viwango .
>
> Tusipende kuponda na
> kudharau kila kitu haswa hivi vinavyohusu usalama wetu
> wenyewe .
>
> --
>
> Yona Fares
> Maro
>
> Institut d'études de sécurité
> - SA
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>     __._,_.___
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>         Posted by: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>
>
>
>
>                           Reply
> via web post
>                       •
>
>                 Reply to sender
>           •
>
>               Reply to group
>           •
>             Start a New
> Topic
>           •
>                             Messages in this
> topic
>                 (1)
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>     Visit Your Group
>
>
>
>
>
>
>
>     • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   .
>
>
>
>
>
>
>
> __,_._,___
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment